Maneno yako ni watumishi wako waaminifu

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2023
4,695
6,398
Inategemeana na unavyoyatumia!

Yanaweza kukufanikisha!
Yanaweza kukukwamisha!
Yanaweza kukutajitisha!
Yanaweza kukufukarisha!

Leo yako ni matokeo ya maneno ya Jana. Kesho yako haitakuwa tofauti na maneno yako ya leo. Kama hujajizoesha, bora uanze sasa. Tumia kinywa chako kwa makini sana. Yathamini maneno kuliko unavyothamini fedha. Maneno ni zaidi ya fedha.

Maneno Yana nguvu sana. Imethibitishwa Kisayansi. Wanasaikolijia wamelikiri hilo. Na misahahfu ya dini ilishaeleza huo ukweli siku nyingi sana.

Tumia maneno yako kwa manufaa.
 
Mbona kuna watu wengi sana nawafahamu wanajenga nyumba kwa maneno lakini hawafanikiwi mwaka wa 30 sasa?
 
Binafsi huwa inakuwa vice versa.
Nikisema No inakuwa Yes , pia Yes inakuwa No.
 
Back
Top Bottom