waajiriwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Waajiriwa wa sekta binafsi hatuna Afya ya akili

    Wana Jf mko poa? Aisee wale wenzangu namimi wa sekta binafsi, tuambizane kama nyie mna Afya ya akili makazini kwenu. Picha linaanza unaingia ofisini saa2 unaondoka saa11, ni lazima sio matakwa tu. Halafu mshahara wako ambayo ni haki Yako, unapata tarehe 37, 38, 39 sometimes mpaka hata tarehe...
  2. G

    Kundi kubwa la watanzania wanao ishi maisha standard ya uhakika ni waajiriwa, wafanyabiashara wengi hali ni mbaya

    N:B: Waajiriwa wa serikalini Nakupa mfano mdogo tu, Nenda mitaa inayosifika kuwa na watu wanaoishi maisha standard, mfano kwa Iringa Nenda Gangi Longa, Mbeya nenda Forest, Dar nenda Mbezi, utarudi hapa na data kwamba almost 75% ya wanaoishi ni waajirwa, Hao 25 % waliobaki wanaweza kuwa...
  3. profesawaaganojipya

    Mikopo ya waajiriwa serikalini inaumiza. Benki gani inatoa mikopo yenye riba nafuu kwa waajiriwa wa serikali?

    Ndugu wataalam wa fedha, wachumi na wabobevu wa mambo ya pesa. Nauliza ni benki gani inatoa mikopo walau yenye riba nafuu kwa waajiriwa wa serikali, kuna mfanyakazi mwenzangu amekopa benki moja kongwe hapa nchini, naona kama riba kubwa sana, angalia hapa 1. MKOPO-16,000,000/ 2. MUDA-MIEZI 60...
  4. Copro mtego

    DOKEZO Shule ya Atlas school inatesa waajiriwa wake kwa kutowalipa mishahara

    Hii ni shule ya mtu binafsi ina matawi mawili Madale na Ubungo. Mmiliki wa shule hizi anatumikisha vijana bila kuwalipa anawalisha tu chakula cha wanafunzi na kuwatunza kama wanafunzi ila hawapati posho zao kama wanavyoahidiwa mwanzo. Mtu ameanza kazi miezi mitano bila kulipwa ukidai anakujibu...
  5. G

    Waajiriwa motivation ya kwenda kazini huwa inapungua sana biashara zinapoingiza faida inayolingana na mshahara ndani ya wiki or less, ni basi tu uoga

    Lets say take home yako baada ya makato yote ni shilingi X per month. Umeanza biashara yako au umetoka nayo mbali, upepo unavuma wa pesa direction yako yani kila wiki au kwa siku kadhaa chache unafunga hesabu kwa faida ya X. Kusema kweli hapa ndipo unapoanza kuona ajira ni utumwa hasa zile...
  6. BUSH BIN LADEN

    Kwa nchi ambayo 60% ya waajiriwa wanalipwa chini ya laki 5 kwa mwezi haya ndiyo matokeo

    ========= Africa is buzzing with lively economies, all thanks to the hard graft of its people. The continent has even been dubbed the world's future workplace due to its ballooning young population. However, beneath the surface of economic growth lies a huge challenge, stress in the workforce...
  7. Technophilic Pool

    Utaratibu wa kukata bima NHIF kwa wasio waajiriwa ukoje? Gharama zake za kila mwezi ni zipi?

    Wakuu, Nataka nikatie Bima familia lakini sijaajiliwa. Gharama zikoje? Shilingi ngap kuchangia kila mwezi?
  8. Mgeni wa Jiji

    Hivi Mbunge Shabiby alifikiria kuhusu waajiriwa wanaokatwa bima ya afya?

    Wakuu mimi sina mambo mengi sana hapa najaribu kufikiria, hivi Mh. Shabiby aliwaza kweli kuwa kuna watu ambao wao wanakatwa bima moja kwa moja kwenye mishahara yao? Hawa wataondolewaje kwenye huo mfumo aliopendekeza sababu na wao ni wamiliki wa simu watakaokatwa bima mara mbili. Labda...
  9. M

    KERO Mashirika ya kigeni yanayojiita Humanitarian au International NGO's na kasumba za ubaguzi kwa waajiriwa wazawa!

    Habari za Asubui wana JF, Naomba kuleta mada kwenu kuhusu haya mashirika ya kigeni yanayojiita ya kusaidia binadamu (humanitarian) au kujiita mashirika ya kimataifa yasiokuwa ya kiserikali (INGO). kwa mfano; Medecins sans frontieres, Medecins du monde na mengine mengi. Kwanza kabisa mimi ni...
  10. R

    Familia ya Mramba ni waajiriwa wa TANESCO au ni wanahisa?

    Kuna hawa wafu wanaitwa Mramba, kila likitokea tatizo la umeme lazima wajitokeze mbele na stori nyingi zisizobadilika. Ningependa kufahamu hawa ni wamiliki wa TANESCO au wanahisa au wamesomea sana umeme na kwamba bila wao umeme hautakuwepo Tanzania? Kuna siri gani kati ya familia ya Mramba na...
  11. M

    Mshahara wa Mwezi wa tisa na mwezi wa 10 haujaingia kwa baadhi ya Waajiriwa wapya, huko Karatu-Arusha

    Kwako waziri husika, sanasana hapo Tamisemi. Kwanza nitoe shukrani kwa Rais wa Tanzania, kwa kuweza kutoa ajira, hatimaye nikaitwa kufanya usaili na mwisho wa siku nikapata ajira na kupangwa halmashauri ya karatu. Kwakweli huu mchakato wa kuingia kazini kwa baadhi ya waajiri wapya umekuwa...
  12. T

    DOKEZO Nkasi, Rukwa: Watumishi Ajira Mpya hatujalipwa Fedha za Kujikimu

    Habari wana JF,leo napenda niongelee ubabaishaji wa halmashauri zetu kwenye kuwapa stahiki zao waajiriwa. Tunakumbuka mwezi wa 6 mwaka huu 2023 serikali iliajiri watumishi wapya kada ya afya na elimu na pia ikasisitiza wapewe fedha za kujikimu. Napenda nipongeze kwa halmashauri zote ambazo...
  13. naliwe

    Ushauri kwa waajiriwa wa Serikalini

    Nawashauri wadogo zangu wanaotafuta ajira na waliotayari wameshapata ajira za serikali kua MKOPO NI MMOJA TU kwenye maisha yako ya utumishi na ni ule mkopo wa kwanza kuchukua kwenye taasisi yoteyoe ya fedha. Mikopo mingine utakayokua unachukua ni ile wanaaiita TOP UP ambayo ni kiasi kidogo sana...
  14. T

    Malalamiko kuhusu pesa za kujikimu kwa waajiriwa wapya Halmashauri ya wilaya ileje

    Habari za leo wakuu, Moja kwa moja kwenye mada, pesa za kujikimu kwa waajiriwa wapya zimefika wilayani ileje yapata wiki mbili Sasa, hili lilithibitishwa na katibu ofisini ya DMO kupitia kundi lao la WhatsApp (idara afya). Lakini hadi leo pesa hizo hazijalipwa kwa wahusika na kila wakihoji...
  15. B

    Kwanini waajiriwa wengi wakistaafu lazima wapitie msoto mkali wa kiuchumi?

    Habarini, Mfano, Utakuta mtu amemaliza chuo kapata kazi yenye mshahara mzuri, kila mwaka anapanda vyeo kazini, anakuwa na akiba ya pesa nyingi benki, huku mshahara ukiendelea kuingia, ghafla mkataba wa kazi ukiisha au akistaafu hata kama ana akiba hata kama ni ya tsh millioni 400, na magari ya...
  16. Meneja Wa Makampuni

    Pendekezo la Mitihani ya Usaili kwa Waajiriwa katika Sekta ya Afya

    Napenda kutoa pendekezo muhimu kwa Waziri wa Afya na Waziri wa TAMISEMI kuhusu mchakato wa ajira katika sekta ya afya nchini. Pendekezo langu linahusu kuanzishwa kwa mitihani ya usaili kwa waajiriwa wote wa Ajira za afya kabla ya kuajiriwa. Hatua hii itakuwa na lengo la kuboresha viwango vya...
  17. nipo online

    Uzi maalumu wa kusubiri post za ajira za TAMISEMI

    Kwa wale walimu na wa afya tukutane hapa uku tukisikilizia PDF soon litashushwa hapa. Iwe tetesi ama laa karibuni wakuu. Nimesikia wiki ijayo linatema hapa pdf mishale ya tarehe 15 hapo June
  18. Amina68

    Tarehe ya kuripoti waajiriwa wapya kada ya Ualimu na afya ni lini?

    Amina anuliza Tarehe ya kureport lini kwa waajiriwa wapya,UALIMU na afya? Pia anaulizia ,Afisa lishe na ustawi wa JAMII wanalipwa tshs ngapi? Je Kuna marupurupu?
  19. Samedi Amba

    Ushauri wa bure kwa waajiriwa wote

    Habari wanaJF! Natumaini Jumapili imeanza vyema. Katika pitapita zangu, nimekutana na mawaidha yafuatayo yanaweza kukusaidia wewe mwajiri kuwa na mwisho mzuri na kufurahia maisha ndani (na baada) ya kazi. 1. Jenga nyumba mapema. Iwe kijijini au mjini. Usisubiri kufikia miaka 50. Usizoee nyumba...
  20. chiembe

    Ili kutunza maadili ya waajiriwa wapya, nashauri pia ufanyike usaili wa online content za waomba ajira ili kuona nini wanapost mitandaoni

    Ni vyema wasailiwa pia wachunguzwe kwa kupitia online content zao, Kuna suala la maadili Sasa limekuwa changamoto. Walioomba kazi pia wachunguzwe mambo wanayopost mitandaoni kama yanakidhi kimaadili. Baadhi wanapost mambo ya ngono halafu wanaomba nafasi za ualimu, wakakae na wanafunzi wetu, ni...
Back
Top Bottom