Marais wa EAC wako Arusha kuadhimisha miaka 25 ya Jumuiya. Mambo mawili kutikisa, Mosi kutekwa Besigye Nchini Kenya na pili Rwanda na Uganda vs DRC!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
93,817
163,818
Kongamano la miaka 25 ya Jumuiya ya Africa Mashariki linaanza Leo jijini Arusha chini ya mwenyekiti wake Rais wa Sudan Kusini

Wanaharakati wa Kimataifa wako Arusha kuhoji kiongozi wa Upinzani wa Uganda alitekwaje Nchini Kenya

Pili wanaharakati wanahoji kwanini Marais Kagame na Museveni wanaihujumu DRC ilhali wako Jumuiya Moja

Jumuiya ya Africa Mashariki ilianza na Wanachama 3 na sasa wamefikia 8

Citizen tv
 
Huu ni mjumuiko wa wakuu wa nchi waliopo madarakani kulindana, mikutano ya wakuu wa nchi na serikali ya EAC, SADCC, Umoja wa Afrika AU n.k ni usanii kwenye eneo la utawala bora, demokrasia.

Masuala ya uchafuzi wa uchaguzi, kutekwa wapinzani hayana nafasi .
 
Nani atamfunga paka kengele wamzungumzie besigye maana wote ndio siasa wanayoifanya. si ruto, si samy na wala si museven wala kagame hata huyu wa burundi
 
Huu ni mjumuiko wa wakuu wa nchi waliopo madarakani kulindana, mikutano ya wakuu wa nchi na serikali ya EAC, SADCC, Umoja wa Afrika AU n.k ni usanii kwenye eneo la utawala bora, demokrasia.

Masuala ya uchafuzi wa uchaguzi, kutekwa wapinzani hayana nafasi .
Uchaguzi Africa hata makanisani ni shida
 
Nashangaa kidogo..... Nilitaraji mjadala wa kisomi uanze hata wiki moja kabla ukihusisha vyuo vikuu vyote kwa kujadili mambo ya jumuiya hii, na irushwe live.

Yanayoendelea Arusha ni mambo ya hovyo tu
 
Back
Top Bottom