vyuo

  1. F

    JamiiForums Tanzania Wazungu wanafanyaje mpaka Watoto wadogo chini ya miaka 13 wanahitimu degree kwenye vyuo vikuu majuu

    Habari wadau. Sio kitu cha ajabu kukuta mtoto wa miaka 10 anasoma chuo kikuu majuu. Tena degree za kibabe kama Engineering , Medicine, Mathematics etc. Wazungu wanatumia mbinu gani kuwapa admission kwenye vyuo vikuu vyao hawa watoto. Je Tanzania hatuna watoto wenye akili wa miaka 10 mpaka...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Karibu asilimia 70% ya maswali ya baadhi ya waandishi wa habari Bongo ni ya ovyo; nina wasiwasi na ubora wa vyuo vya habari

    Nimefuatilia mahojiano (interview) nyingi za waandishi wa habari Tanzania! Wengi wao wanamaswali ya hovyo na kipuuzi kuliko mahitaji ya jamii inachohitaji kujulishwa! Maswali yao mengi yapo kwenye mlengo wa taharuki kwamba Flani kasema vile na vile almradi tu jambo lionekane la kuishangaza...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali yaipa TCU bilioni 6.1 kuimarisha ubora vyuo vikuu

    SERIKALI imeipatia Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) Sh. bil 6.4 kupitia mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) kwa ajili ya kuimarisha uthibiti ubora na uhuishaji wa mitaala ya vyuo vikuu ambapo zaidi ya mitaala 300 ya vyuo vikuu iko katika hatua mbalimbali za kufanyiwa mapitio...
  4. JamiiForums Tanzania Joseph Musukuma: Vyuo 11 vinanitaka nikafundishe uchumi, UDSM Ikiwemo

    Hello Wadau.. Mbunge wa Geita Dkt. Musukuma amesema Hajalipa dola 2500 kununua PhD Bali amelipa ada tuu ya dola 200. Musukuma amesema yeye ni Mchumi wa heshima na mwenye maarifa na alipenda heshima ya udaktari wa falsafa baada ya waliompa kufanya utafiti wa uwezo wake. Dkt. Musukuma amesema...
  5. JamiiForums Tanzania Kwenye Vyuo vya VETA RVTSC, DVTC na VTC inamaanisha nini?

    Nimeona vyuo vya VETA vimecategorized mara RVTSC, DVTC na VTC, Je! vinatofautianaje kwa utoaji wa coarse mbalimbali hapa Tanzania.
  6. JamiiForums Tanzania Serikali inaanda mpango wa kuwakopesha vijana wa vyuo vikuu pale wanapohitimu masomo ili kuwasaidia katika kujiajiri

    Serikali ya awamu ya sita ya Rais Samia inaanda mpango wa kuwakopesha vijana wa vyuo vikuu pale wanapohitimu masomo ili kuwasaidia katika kujiajiri.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Serikali kujenga kampasi za vyuo 6 katika mikoa 14 nchini

    Wakati wa mkutano wa Rais Samia Suluhu Hassan na Serikali za Wanafunzi wa Vyuo Vikuu (TAHLISO) uliofanyika Ikulu ya Chamwino, Dodoma jana, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita imeanza kujenga kampasi za vyuo vikuu katika mikoa...
  8. JamiiForums Tanzania Nigeria: Vyuo Vikuu vyatakiwa kufungwa kupisha Uchaguzi Mkuu

    Tume ya Vyuo Vikuu vya Kitaifa ya Nigeria (NUC) imetangaza maamuzi hayo ya kufungwa kuanzia Februari 22 hadi Machi 14, 2023 wakati Uchaguzi Mkuu ukitarajiwa kufanyika Februari 25, 2023. Wamesema maamuzi hayo yamefanyika kwa ajili ya kulinda usalama wa wanafunzi na Wafanyakazi wa Vyuo, lakini...
  9. JamiiForums Tanzania Vyuo vya Kati visipandishwe kutoa Degree

    Miaka ya hivi karibuni kulikuwa na wimbi la kupandisha Vyuo vingi kutoka hadhi ya kutoa cheti na Diploma hadi ngazi ya kutoa Degree. Vijana wengi wa kidato cha nne na cha sita wakipikwa kwa Ngazi ya Diploma kwa miaka mitatu wanatoka wakiwa watendaji/ wazalishaji wazuri sana. Hiyo Ngazi ndiyo...
  10. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya mtaala yasisahau kuzifuta kozi ambazo hazitoi ajira kwa wahitimu wa vyuo

    Kuna utitiri wa kozi zinafundishwa vyuoni zinazosababisha unemployment rate katika taifa letu kukua kwa kasi. Nabadala yake watoto wanahitimu hizo kozi wanabaki hawana ajira lawama zote zinabaki kwa serikali. Tupo kwenye mchakato wa kubadili mtaala wetu ili uendane na mazingira yetu. Basi...
  11. JamiiForums Tanzania Walimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo na Teknolojia cha Mwl.Nyerere wakaa Miaka 14 bila kufundisha kwa kukosa Wanafunzi

    Moja kwa Moja kwenye mada.. Walimu na wakufunzi wa Chuo Kikuu Cha Kilimo na Teknolojia Cha mwl.Nyerere kilichopo Butiama Mkoani Mara wamekaa miaka 14 Bila kufundisha huku wakipokea mshahara.. Hali hii imetokana na Kukosa Wanafunzi na madarasa.. Swali, Kwanini Serikali isifute hivi vyuo vikuu...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kitatokea kwa wahitimu wa vyuo pindi michezo ya kubashiri ikipigwa marufuku?

    Nauliza hili swali nikiwa kwenye kibanda cha kubet huku mtaani kwangu
  13. JamiiForums Tanzania Vyuo anzisheni kozi fupi za usemaji wa club ya mpira

    Mpira una wadau wengi wa aina tofautitofauti wenye umri, jinsia, uchumi, kada za siasa, utumishi na hadhi mbalimbali. Kwenye upira wamo hata marais wa nchi. Unapokuwa kiongozi wa timu ya mpira ujue kuwa unaongoza treni yenye mabehewa yaliyobeba wato mbalimbali. Msemaji wa timu huwezi kuongea au...
  14. JamiiForums Tanzania Una Walimu wengi hadi wa akiba bado vyuo vinaboreshwa na kudahiri Walimu Hapo malengo ya serikali nini?

    Una Walimu wengi Hadi wa akiba bado vyuo vinaboreshwa na kudahiri Walimu Hapo malengo ya serikali nini? hao Walimu wakajiajiri vipi au wakajenge shule Msaada, jamani Mimi sielewi naombeni mawazo yenu?
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Vyuo vikuu kutumia case ya Fei Toto kama reference kufundishia law of contract

    Tofauti na case ya Benard Morison ambaye case yake ilikaa kimagumashi. Kwamara ya kwanza case inayohusisha mikataba itatoa precedent kutoka kwenye mpira wa miguu, Young African Sports Club VS Feisal Salum Japo swala lake liliamriwa na TFF ambayo ilijivika kuwa tribunal .tofauti na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania TCU inatambua degree na diploma za mtandaoni?

    Naomba kujua kama hizi degree na diploma zinazotolewa mtandaoni na vyuo vya nje kama TCU inazitambua.
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: Vyuo vikuu vya Umma Tanzania viko hoi kifedha, skuli, ndaki, Idara hata Karatasi shida

    Habari! Niende moja Kwa moja maada, habari kutoka kwa wahusika, hali ya kifedha vyuo vikuu Tanzania so njema, inasemekana, ndaki, skuli, idara toka mwaka jana mwezi Juni hawapati pesa za uwendeshaji, mathalani hata karatasi tu za kuchapishia mitihani ya mazoezi ni shida tu, je hazina na Waziri...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya China na Afrika wavutia vyuo maarufu duniani kuanzisha utafiti wa ushirikiano kati ya China na Afrika

    Kwa muda mrefu utafiti wa kitaaluma kuhusu Afrika halikuwa ni jambo linalofikirika kwa watafiti wengi, kwani utafiti kuhusu bara la Afrika ulikuwa na wigo mdogo na matokeo yake kitaaluma hayakuwa makubwa, na hivyo utengaji wa fedha zinazohusu masomo au utafiti unaohusiana na bara la Afrika...
  19. JamiiForums Tanzania Kujiajiri/Ujasiriamali ni homa ambayo ikikushika haitoki, ila wahitimu wengi vyuo vikuu wana chanjo tayari!

    Graduates wengi tunachanganywa na vyeti vyetu na zile picha za majoho kwamba tukimaliza tunategemea kwenda kufanya kazki katika shining new office, tupige picha na kupost kuonyesha colleagues kwamba tumefanikiwa. Hii inatokeo kwa baadhi ya watu wanabahatika wanapata kazi mapema na wengine ndio...
  20. JamiiForums Tanzania Wahitimu wa form six masomo ya Sayansi (PCM, PCB, CBG) wana uelewa zaidi kuliko wahitimu wa vyuo waliosomea ualimu

    Maoni yako ni yepi juu ya hili: Wahitimu wa form six masomo ya Sayansi (PCM, PCB, CBG) wana uelewa zaidi kuliko wahitimu wa vyuo waliosomea ualimu. Kuna mdau ameshauri wahitimu wa form six wawe wanaajiriwa moja kwa moja kufundisha shule za sekondari bila kupitia chuo wanakoenda kugoogle badala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…