vyombo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vyavamia kambi ya Simba SC

  2. JamiiForums Tanzania Baada ya tukio la Japan, Vyombo vya dola vifanye mapitio ya kiusalama mikutano ya barabarani

    Dunia imeshuhudia tukio baya sana dhidi ya kiongozi mpole, asiye na makuu, lakini hayawani mmoja kamuondolea uhai. Nashauri vyombo vya dola vifanye review ya kiusalama hasa kwa mikutano inayofanyika barabarani. Kuna watu kama Mdude na Masese huwa wanajiapiza mambo mabaya dhidi ya nchi hii...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Siku ya pili ya ziara ya Mwenezi Shaka Hamdu Shaka katika vyombo vya habari

    SIKU YA PILI YA ZIARA YA MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KATIKA VYOMBO VYA HABARI. Leo Jumanne Julai 05, 2022, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka atatembelea katika Vyombo vya Habari mbalimbali kwa Kuanzia TBC, Raia Mwema na Mwanahalisi Online...
  4. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Dola, mdhibitini Barbara la sivyo ataleta sintofahamu kubwa huko mbeleni

    Huwezi kuongelea siasa ya nchi yetu Tanzania pasi na kuwepo vilabu vya Yanga na Simba na huo ndiyo ukweli. Sasa ndani ya Taasisi ya Simba kuna huyo binti Babra ambaye ndiye CEO wa klabu ile hakika ndani ya muda mchache ameshagombana na kila aliyehisi ni kirusi kwenye nafasi yake! Utulivu...
  5. JamiiForums Tanzania Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu yasema uwekezaji umeongezeka kutokana na Royal Tour

    Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu yazungumzia matokeo ya ziara ya Rais nchini Oman na matokeo ya filamu ya Royal Tour. Uwekezaji watajwa kuongezeka ikiwemo wawekezaji wanaotaka kuwekeza Serengeti, Kilimanjaro na Dar es Salaam na muwekezaji huyo ameshawasiliana na kituo cha uwekezaji...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Chimbo la Vyombo vya Nyumbani (JUMLA)

    Habari za leo wadau! Husika na kichwa cha nyuzi hapo juu. Naomba kujua kwa hapa Dar es Salaam - Kariakoo Ni Sehemu gani naweza kupata vyombo vya nyumbani kwa bei ya jumla ya chini. Nahitaji maelekezo yalipo maduka hayo. Natanguliza shukurani.
  7. JamiiForums Tanzania Manara anazungumza na vyombo vya habari

    JAMANI mnyamwez ndo anahutubia TAIFA hivi sasa karibuni tu DIGEST spichi yake
  8. JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza Vitu mbalimbali

    Kabati la vyombo linauzwa Linapatikana goba nashpark Bei 250000/= Call 0688942700
  9. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Ngorongoro: Tundu Lissu adai vyombo vya habari vimetishwa na kunyamaza

    Kayasema haya kupitia mtandao wa twitter masaa mawili yaliyopita:
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nauza kabati la vyombo na friji dogo

    Salaam kwa wote. Nauza kabati kubwa la vyombo (kama linayoonekana pichani). Bei ni shilingi 350,000/. Kabati limetumika lakini lipo kwenye hali nzuri sana. Pia nauza friji ndogo (kama inavyoonekana pichani). Bei ni sh. 195,000/. Friji limetumika lakini linafanya kazi vizuri sana. Vitu vyote...
  11. JamiiForums Tanzania serikali ipige stop vyombo vya habari vya kimataifa vinavyorusha habari kwa Kiswahili

    Wadau naleta hili kwenu, kwa sababu naona vyombo hivi siku izi watangazaji wake wengi ni wa Kenya, na wamekuwa na kiswahili cha ajabu ajabu sanaa sio kiswahili ichi chetu cha Tz Hawa jamaa wana misamiati yao ajabu ajabu sanaa mfano mufti mufti, venye, n.k ...hii misamiati haipo kabisa hapa...
  12. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Malawi vyajiwinda kumsubiri balozi Polepole aanze kusakata sebene, vimuandike, viuze magazeti

    Waandishi wa habari za udaku wa Malawi wanajiwinda kuanza kuandika habari za vituko ambazo balozi wa Tanzania Malawi atakuwa akiweka katika mitandao yake ya kijamii Balozi Polepole, ambaye atakuwa sura ya Tanzania na Rais wa Tanzania, ana tabia ya kushangaza ya kukata mauno akicheza sebene...
  13. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari vidhibitiwe kueneza Habari za Kijinga na za kizushi

    Inakera sana kusikia chombo rasmi cha habari, kilichoaminiwa na serikali mpaka kupata leseni kushiriki kueneza upuuzi kwa lengo tu la kupata Wasikilizaji au Wafuatiliaji. Tunaweza kuchukulia mambo kirahisi lakini amini amini nawaambia madhara yake yanaitafuna jamii taratibu na tutadhalilika...
  14. JamiiForums Tanzania Tafsiri ya Sticker za Walemavu kwenye vyombo vya Moto ni sawa?

    Wakuu naombeni Tafsiri ya hizi sticker za Walemavu wamekuwepo watu mbeya wakishimamisha magari na kutaka ukate sticker swali je zipo kisheria ilihali barabara zetu mara nyingi tunaona hizi za 50,zebra ,stand na zingine za kawaida tu?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kibali cha Ufungaji wa mfumo wa gesi Asilia (CNG) kwenye Vyombo vya moto

    Habari ndugu, kuna huu utaalamu wa Ufungaji wa mfumo wa gesi Asilia (CNG) kwenye Vyombo vya moto unaofanyika hapa Tanzania na DIT udsm-engineering (Sina uhakika kama kuna tasisi nyingine imeongezeka). Naomba kufahamu kama kazi hii ni ruksa kufanywa na yeyote mwenye weledi huo au kuna Taasisi...
  16. JamiiForums Tanzania TCRA ni kati ya vyombo vya kiserikali vyenye kujiendesha kienyeji sana.

    Ni aibu kuona chombo kikubwa kama hiki ndani ya serikali kikiendeshwa bila weledi na sembuse kisichopenda kuwajibika litokeapo kosa kati ya matawi inayoyasimamia. Mfano hai ni hiki kinachoendelea sasa kwenye mgogoro kati ya watoa huduma na wateja juu ya upandishaji holela wa bei za data...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Huku mnakoita Town magari machache sana kuna vyombo vya Usafiri tu

    Nimerudi siku chache zilizopita toka UK, nikaenda USA, nikapitia Canada, Egypt, China, Russia, Morocco na Saud Arabia kuna jamaa zangu walinialika kula sikukuu huko. Wadau hivi yale maziwa ya Camel mnawezaje kunywa? Mimi yalinishinda kabisa. Nyama yake huwa nakula mishkaki mara moja moja. Leo...
  18. JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza vyombo vya kupikia kwa 400k as capital inawezekana?

    I hope Wote wazima na walio wagonjwa Mungu awape Tumaini jipya wapate kupona na kurejea katika Majukumu yao Amina🙏 Tuje katika wazo Mimi Ni kijana 24Yrs naishi Dsm kwa sasa hivi nimepata wazo la kuanza kuuza Vyombo vya kupikia kwa capital ya 400k tu . Nahitaji kujua starting point Mimi...
  19. JamiiForums Tanzania Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari - 2022: Rais Samia awahimiza wanahabari kuzingatia mila na desturi za Kiafrika

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani (WPFD) ambayo inafanyika leo Mei 3, 2022 Jijini Arusha. Kabla ya Rais Samia kuanza kuzungumza, mijadala imeendelea ukumbini: DKT. RIOBA: MAMLAKA ZINAPATA UGUMU KUZUIA NGUVU YA DIGITALI...
  20. JamiiForums Tanzania WPFD 2022: Maadhimisho yaanza rasmi Nchini Tanzania. Ripoti ya Dunia yaonesha Uhuru wa Habari unazidi kuporomoka

    Kuelekea Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari (Mei 03, 2022), Maadhimisho hapa Nchini yameanza rasmi leo Mei 01, 2022 Jijini Arusha Kaulimbiu ya Siku hii kwa Mwaka 2022 inasema "Uandishi wa Habari na Changamoto za Kidijiti" Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema changamoto zipo katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…