vyombo vya habari

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Sitegemei kukosea tena kuhusu Sheria ya Huduma ya Vyombo vya Habari

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kwa awamu hii hatarajii kukosea tena kuhusu Media services act ambayo wadau wa habari wamekuwa wakiilalamikia tangu kuundwa kwake 2016. Nape amesema hayo alipokuwa akipokea mapendekezo ya wadau wa habari nchini katika...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari andaeni Makala kuhusu changamoto ya Upatikanaji wa Huduma za maji

    Habari za Leo wapendwa Binafsi nina familia na ninaona namna familia yangu jinsi inavyopitia kipindi kigum kutokana na hii changamoto ya Maji. Mimi nilikuwa nashauri Media zote nchini waandae Makala kuhusu upatikanaji wa Maji wazunguke mitaa yote jiji la Dar es salaam wahoji wananchi na...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Mrejesho Ziara ya Rais Samia Nchini China na Misri

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu (DPC), Zuhura Yunus akizungumza na Vyombo vya Habari Ikulu jijini Dares Salaam leo Tarehe 12 Novemba, 2022 ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI CHINA POLE ZA AJALI YA PRECISION AIR Ningependa tu kwa niaba ya Rais kutoa pole kwa wafiwa wote wa ajali ambayo...
  4. voicer

    JamiiForums Tanzania Sensa 2022: Kwanini Samia hakutangazia Taifa kupitia vyombo vya habari ili kuokoa mapesa yaliyoteketea?

    Ilikuwa rahisi zaidi Rais angetutangazia idadi yetu, kwa kulihutubia taifa, na Dunia nzima kupitia vyombo vya habari.Na tungeelewa bila kuharibu mapesa ya walipa kodi. Badala Kutumia Mamilioni kama sio mabilioni, eti kisa Sherehe ya kutangaza Matokeo ya Sensa,Ni ubadhirifu mkubwa kwa pesa za...
  5. S

    JamiiForums Tanzania BoT, toeni matangazo kupitia vyombo vya habari kukumbusha kuwa kufanya biashara ya kukopesha mitaani bila leseni ni kosa la jinai

    Nchi hii kuna sheria ambazo hutungwa halafu huwa zipo tu kwenye makaratasi na mojawapo inaweza kuwa ni Microfinanc ACT ya Mwaka 2018 na kanuni zake. Sheria hii, pamoja na mambo mengine, inapiga marufuku watu kufanya biashara ya kukopesha bila kusajaliwa na kuwa na leseni na inatoa adhabu kali...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Vyama 14 vya Siasa kuongea na vyombo vya Habari

    Leo wataongea na vyombo vya Habari. ================= Hotuba nzima ilikuwa ni kumjibu Mnyika na CHADEMA badala ya kuzungumzia ripoti ya Kikosi Kazi. "Tumesikiliza taarifa ya @ChademaTz ikielezea kupinga taarifa ya kikosi kazi, tunachoweza kusema kwa sasa, CHADEMA wamejawa na ubinafsi, choyo...
  7. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kwanini vyombo vya habari vya Magharibi havitangazi maandamano yanayoendelea nchi nyingi za Ulaya?

    Maandamano yanaendelea nchi kama Italy, France na Germany kupinga hali ngumu ya maisha pamoja na NATO, nastaajabu kuona habari hizi hazipewi headline, kwanini ?
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Taasisi zote zinatakiwa kutoa taarifa kwa wananchi na kutoa ufafanuzi mbalimbali kwenye vyombo vya habari

    Na Grace Semfuko, MAELEZO Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Bw. Gerson Msigwa amewataka Viongozi wa Taasisi za Serikali Nchini, kutoa taarifa za mafanikio ya utendaji kazi wa taasisi hizo kwa Vyombo vya Habari, ili kuwaonesha Wananchi maendeleo yanayofanywa na...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Tanzania kuna uhuru wa vyombo vya habari?

    Nimemsikiliza Shaka akiwa anaongea leo amesema kua Rais Samia Suluhu anastahili pongezi kwa kutoa uhuru kwa wananchi kutoa maoni yao, ushauri na kuimarisha uhuru wa vyombo vya habari, Ni kweli Tanzania sasa inauhuru wa vyombo vya habari maana magazeti mengi yanaandika kuikosoa serikali kitu...
  10. L

    JamiiForums Tanzania China yazifutia deni nchi 17 za Afrika, lakini vyombo vya habari vya Magharibi viko kimya

    Na Fadhili Mpunji Hivi karibuni mkutano wa uratibu wa utekelezaji wa makubaliano yaliyofikiwa kati ya China na Afrika kwenye mkutano wa 8 wa mawaziri wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika, ulifanyika kwa njia ya video chini ya uenyekiti wa waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi...
  11. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vyombo vya Habari na sheria nchini Tanzania tasnia ya habari kwa hapa nchini Tanzania inakuwa kwa kiwango kikubwa sana. Tofauti na zamani

    VYOMBO VYA HABARI NA SHERIA NCHINI TANZANIA Tasnia ya habari kwa hapa nchini Tanzania inakuwa kwa kiwango kikubwa sana. Tofauti na zamani, vyanzo vya habari vikuu vilikuwa ni Televisheni, Redio na Magazeti. Ila kutokana na ukuaji wa teknolojia na utandawazi kwasasa kuna vyanzo vya habari vya...
  12. Mu7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Mshindi wa Urais Kenya kutangazwa saa 9:00 mchana

    Stay tuned
  13. MAKA Jr

    JamiiForums Tanzania Suala la Karim Mandonga: Vyombo vya habari vimechemka

    Popote mlipo, vyombo vya Habari na waandishi wote wa Habari nchini hamjatumia weledi katika kuripoti Habari ya Mandonga. Hamjatusaidia na wala hamjatupa elimu ya kutosha katika hili. Mmekuwa kama kasuku. Lakini ni kawaida yenu. Imefika hatua sasa, kila mtu anataka kuwa hodari wa kuelezea jinsi...
  14. Daby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kwanini vyombo vya habari nchini Kenya vimeacha kuonesha matokeo ya urais?

    Toka juzi vyombo vya habari nchini Kenya viliweza kurusha matokeo ya urais. Leo asubuhi wameacha kuonyesha. Hii ni kwa vyombo vyote, Kilichobaki tu ni kuonyesha matokeo ya kila Kaunti. Nashindwa kuelewa shida nini maana tumekuwa tunafuatilia kwa urahisi. Sasa, Shida ni nini? Ni kweli mtandao...
  15. M

    JamiiForums Tanzania AJABU: Vyombo vya Habari Tanzania na Watanzania tunavyofuatilia uchaguzi Kenya, tuna maslahi gani haswa?

    Wana JF nisaidieni. Asubuhi mchana usiku taarifa za maendeleo ya Uchaguzi Kenya katika vyombo vya habari hapa Tz hadi kushangaza. Labda niko nyuma ya wengine lakini najiuliza ni lipi hasa la kutufanya tushabikie na kushobokea uchaguzi wa wenzetu kwa kiasi hicho? Ingelikuwa Marekani ama...
  16. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Tume ya Uchaguzi ya Kenya (IEBC) inajitengenezea bomu kupitia kile wanadhani ni Uhuru wa Vyombo vya Habari

    Habari wakuu! Najua kwa siku mbili tatu baadhii yetu tumekuwa tukifuatilia kile kinachoendelea katika uchaguzi wa Majirani zetu Kenya. Kwa tathmini fupi utabaini kwamba watu wengi nchini kenya na Tanzania wamepongeza kile ambacho IEBC imefanya kwa kuruhusu vyombo vya habari kujumlisha na...
  17. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Tume ya Uchaguzi Kenya yavitaka vyombo vya habari kuongeza kasi kuripoti matokeo

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Wafula Chebukati, amevitaka Vyombo vya Habari kuongeza kasi ya kujumlisha matokeo na kuyawasilisha kwa wakati. Vyombo vya habari vimeonesha takwimu tofauti za matokeo ya Uchaguzi wa Rais, na kusababisha wasiwasi kuhusu hitilafu hizo...
  18. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba yatakiwa kuheshimu na kuacha kubagua vyombo vya habari

    Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha Klabu ya Simba kimelalamikiwa kwa kitendo chake cha ubaguzi na kutoa kauli chafu dhidi ya wanahabari kitendo kilitafsiriwa kuwa ni ukandamizaji wa tasnia ya habari. Hayo yamejili jana katika uwanja wa Benjamini Mkapa, lilipokuwa likiendeshwa zoezi la...
  19. benzemah

    JamiiForums Tanzania Baraza la habari Tanzania (MCT): Uhuru wa vyombo vya habari nchini unaimarika

    Baraza la Habari Tanzania (MCT) limetoa taarifa ya tathmini ya uhuru wa vyombo vya habari nchini kati ya kipindi cha mwezi Januari hadi Juai 2022. Taarifa hiyo imeeleza kupungua kwa kiasi kikubwa kwa matukio ya ukiukwaji wa haki za waandishi wa habari ukilinganisha na miaka iliyopita...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vyavamia kambi ya Simba SC

Back
Top Bottom