vyeti

  1. Huyu 'Masanja Mkandamizaji' amechemka hapo, kwanza ana vyeti vya shughuli zake?

    Kuna nchi nyingine wanafanya mahojiano na wananchi kwa namna alivyofanya 'Masanja', lakini maudhui yote inawekwa hewani, sasa huyu iweje afanye censorship - kuchagua hasi tu? Kwanza alihoji wangapi? Na wangapi walikuwa hawajui? TCRA wanatakiwa kumhoji pia kwa suala hili. Pia je ana taaluma ya...
  2. Utambuzi wa vyeti feki (Al-Maarufu vya Kariakoo)

    Naomba kuongezewa maarifa au ufaham juu hili swala la vyeti fake. Namaanisha hiv swala la kutambua vyeti fake linafanywa kwa style gan? Je, watumia macho ya kawaida kwa kutazama tu au kuna mashine maalum inayotumika kuvitambua? Kama ni macho ya kawaida bas ni sawa lakin kuna njia tofaut bas hapo...
  3. Kuwa na vyeti vingi sio kigezo

    Naomba waheshimiwa mnielewe kwenye huu uzi nilioandika hapa... Kumekua na tabia ya watu waliosoma degree au masters au level zingine za elimu ya juu kuwakatisha tamaa wale ambao hawaja fanikisha kupata elimu hizo. Leo nataka tuwekane sawa ili kama ulikatishwa tamaa na kuhis huwez kupata...
  4. Kagera: Muuguzi mbaroni kwa tuhuma za kuua mwanafunzi wakati akimtoa mimba

    Jeshi la Polisi mkoani Kagera, linamshikilia Dezber Kahwa (49), mkazi wa Kijiji cha Kibengwe, Bukoba Vijijini, kwa tuhuma za kusababisha kifo cha Alinda Leverian (14), mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Kilima, kwa kumtoa mimba kienyeji. Kamanda wa Polisi mkoani Kagera...
  5. Jafo Ataka Wanafunzi Kutozuiwa Kuandikishwa Sababu Ya Kukosa Vyeti Vya Kuzaliwa

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo (Mb) amesema ni marufuku mwanafunzi kuzuiliwa kuandikishwa darasa la kwanza kwa sababu ya kukosa cheti cha kuzaliwa. Jafo ameyasema hayo wakati wa ziara yake Wilayani Bahi kukagua uandikishaji wa wanafunzi wa...
  6. Naomba ushauri nifanye nini baada ya kupoteza vyeti

    Habari za asubuhi wadau! Nimepoteza cheti changu cha form four, form Six na cha chuo pamoja na transcript. Nimejaribu tafuta contact za Wizara ila naona namba hazipo active, najua hapa wote mpo, nisaidieni tu kujua official means za kutafuta vyeti vyangu! Natanguliza shukrani, naomba tu...
  7. M

    Waziri wa Elimu tunaomba uingilie kati vyeti vyetu Chuo cha Bandari, Tandika

    Tulimaliza Chuo tangu Nov, 2017. Ilipofika June 2018 Vyeti vikagawiwa kwa Wahitimu wote, lakini katika Vyeti vile kulikuwa na makosa ya kukosewa majina baadhi ya Wahitimu, tukaambiwa na Mkuu wa Chuo kuwa wote ambao majina yetu yalikosewa yatupasa tujiorodheshe baada ya miezi mitatu tukachukue...
  8. M

    Umihimu Wa Kitambulisho Cha NIDA ni nini?

    Mi swali langu limenyooka sana. Umihimu wa kuwa na kitambulisho cha NIDA ni nini? Maana tukienda kutengenezesha Passport mpya tunahitajika ku wasilisha vyeti vya kuzaliwa na vinginevyo. Mimi kwa akili yangu nilikuwa nafikiria kuwa tukishapata Kitambulisho cha NIDA basi tena kutakuwa hakuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…