vyeo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu amjibu Amos Makalla kutojiandikisha kwake "Nashangaa wanapewaje vyeo vikubwa na hawana uelewa"

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu amezungumza sababu ambazo zimemfanya kutoshiriki kujiandikisha kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa huku akieleza kuwa kutojiandikisha kupiga kura hakumuondolei mtu yeyote kuzungumzia uchaguzi...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari bado ni wachache kwenye vyeo muhimu Tanzania, waongezwe wafike at least 30%

    Kwenye vyeo vya wakurugenzi wa taasisi, mashirika, n.k. unaweza kuwakuta wazanzibari wawili tu kati ya 10. Mfano kuna mabalozi 9 tu kati ya 45 Mawaziri wapo wachache Kwenye nafasi za ajira haitoshi kabisa kuna tetesi hupewa 2 kati ya 10, bado ni chach sana hizi, at least ziwe 4 nitoe pongezi...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ukiwa Muadilifu Vyeo Vitakufuata Ulipo

    Ndugu zangu watanzania, Haya ni Maneno ya Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA...
  4. Richard

    JamiiForums Tanzania Raisi Kagame leo ateua mabrigedia jenerali wawili na makanali 14. Pia waziri wa ulinzi awapandisha vyeo mbalimbali wanajeshi wapatao 4392

    Raisi Paul Kagame leo mchana ameridhia kupandishwa vyeo vya ngazi ya brigedia jenerali na cheo cha kanali kwa maofisa kadhaa wa jeshi la Rwanda. Hatua hii yafuatia hatua ya raisi Kagame kumteua waziri mpya wa ulinzi Juvenal Marizamunda, mkuu mpya wa jeshi la Rwanda Meja Jenerali Mubarak Muganga...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Forest Service vyeo vyao vya kijeshi vinasomekaje au vinafanana na JW?

    Habari wakuu Mimi shida yangu kubwa umu ndani NI kutaka kujua vyeo vyao kijeshi vya watunzaji misitu au Tanzania forest service vipoje kuanzia vyeo vyao Askari mbaka maofisa maana nimeona wanatumia mbaka zile saa za mteule daraja la kwanza na la pili nawasilisha madame kwenu wakuu
  6. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kabudi na Lukuvi kurudishwa kwenye Baraza la mawaziri: wamepandishwa vyeo au wameshushwa?

    Alipowaondoa, alisema kawapandisha vyeo ili wawe viranja wa mawaziri wote isipokuwa Waziri Mkuu. Sasa kawarudisha tena. Hiyo inamaanisha nini? 1. Kazi ya kuwasimamia mawaziri imeisha(wameshuka) 2. Wameongezewa majukumu hivyo wataendelea nayo yote(wamepanda)
  7. FORBIDDEN HISTORY

    JamiiForums Tanzania Eeh Mungu, sijui kipi kinachofuata, natumaini ni chenye unafuu kidogo zaidi ya ugumu huu

    Nini maana ya maisha?, Nini sababu ya uwepo huu?, Ni ipi siri ya safari hii? Nini maana yangu? Nini sababu ya uwepo wangu? Ni ipi siri ya uundaji wangu? Ni ujinga wangu au ni hatma ya safari yangu? Ni mapungufu yangu au ni ubabe wao? Ni dhambi zangu au ni laana yangu? Je hii safari yangu hadi...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Usahihi ni upi katika vyeo vifuatavyo vya kisiasa

    Cabinet- Kwa nini ni Baraza la Mawaziri na sio Baraza la taifa la uongozi wa nchi? Ministry of Finance- Kwa nini inaitwa Wizara ya Fedha badala ya Wizara ya hazina kuu ya kitaifa? Secretary of State(US)- Kwa nini media huwa zinamuita Waziri wa mambo ya nje badala ya Katibu wa taifa wa mambo ya...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni awataka Askari kuvitendea Haki Vyeo

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amewataka Askari na Maafisa wa Vyombo vya Usalama vilivyopo chini ya Wizara hiyo kutenda kazi kwa kufuata haki na uadilifu katika kuwahudumia wananchi baada ya Askari na Maafisa hao kupandishwa vyeo na Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wenye vyeo serikalini wanalipwa mishahara mingapi?

    Huwa najiuliza kwa mfano mawaziri wetu wote ni wabunge. Je, wanapokea kila mwezi mishahara miwili? Mshahara wa mbunge na mshahara wa waziri? Na sasa tunaye naibu waziri mkuu ambaye ni 1. mbunge 2. Waziri 3. Naibu waziri mkuu. Huyu analipwa mishahara mitatu kila mwezi??
  11. D

    JamiiForums Tanzania Hivi vyeo vyote vya nini kutishana tu

    Ukiingia Kanisa Katoliki unaweza kudhani we ni fala wa hali ya juu na mungi hakutambui kabisa kwa vyeo hivi walivyojipachika hawa watu. 1. His lordship, Askofu mkuu 2. His grace, Askofu 3. His eminence, Kadinali 4. His holiness, Papa 5. The most honorable, Padre Upuuuzi mtupu
  12. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mzee Jaji Warioba alirundikiwa vyeo vingi sana enzi ya Mwalimu Nyerere

    Mzee alipata kuwa Jaji Mkuu Makamu wa Rais Waziri Mkuu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Na badae Tena akaja kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba Hivi nauuliza huyu mzee ndio alikuwa msomi pekee na hadi Mwalimu kumpachika vyeo vyote hivyo kasoro uspika? Nataka kuelewa kwanini...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi walipanga kuingia nyumba za ibada na vyeo vya jana mchana ila asubuhi waliposoma mkeka hata ibadani wamesusa

    Hakuna jambo la kibabe alilofanya mama kama kuharibia watu mwaliko wa Pasaka. Kuna watu wamegoma kwenda kanisani kwa sababu title zao zimebadilika au hazipo tena. Wengine walitamani madereva wawapeleke sehemu ila wanaamini wao sio mabosi wa hao madereva tena. Wapo waliowaalika wananchi na...
  14. Mwadu Nkuva 2

    JamiiForums Tanzania KERO Nchi hii Dharau zimezidi! Watumishi wa serikali Vyeo sio Misifa, ni Dhamana

    Dhahiri shahiri bila kupepesa macho nanyoosha malalamiko yangu Ofisi ya halmashauri Njombe mjini Kuwa Cheo ni Dhamana sio sifa na lawama hizi ziende moja kwa moja kwenye kitengo cha NIDA, Mjue tumeteseka Mashambani na makazini na viwandani, mikono yetu ikapasuka pasuka kwa kazi ngumu tukajituma...
  15. Kayabwe

    JamiiForums Tanzania Vyeo vya mserereko kwa walimu vimefikia wapi? Mei Mosi inakaribia

    Wakuu tunaomba kujua kama madaraja ya mserereko mwezi March na April yatekelezwa kwa waliokidhi vigezo.May mosi ibakaribia!
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hamis Mgeja adai kuna waliopandishwa vyeo kwa sababu ya ‘kumtukana Lowassa’

    Ameyasema hayo alipozungumza na gazeti la Mwananchi kufuatia Msiba wa Rafiki yake Lowassa Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Sinyanga na rafiki wa karibu wa Hayati Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, Hamisi Mgeja amesema kiongozi huyo alikuwa na uvumilivu wa hali ya juu kiasi cha...
  17. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa serikali, Wakurugrnzi na Mawaziri, je vyeo mlivyonavyo ni vya asante hamna mamlaka navyo?

    Nimekuja hapa ninayo machache sana ya kuongea japo naona kama niongee mengi! Nasikitika ninapoona Katibu itikadi na ueneziwa CCM, akiwakalipia Wakurugenzi,DC,Waziri na Wabunge nabaki kinywa waz,i sielewi kile cheo cha uitikadi kikubwa kiasi kiribia na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maanadamano yasiyoifanya Katiba Mpya kuwa ni ajenda kuu ni maandamano ya wasaka vyeo

    Katika nchi yetu tatizo la msingi siyo sheria za uchaguzi, Tatizo la msingi ni katiba mbovu inayozaa mfumo mbovu wa uongozi na utawala, mfumo mbovu wa haki na mfumo mbovu wa uwajibikaji. Nashangaa chama kikuu cha upinzani ambacho kinajua wazi kuwa mzizi wa fitina ni katiba mbovu, hakina...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini 90% ya Maafisa wa Vyeo vya Juu wa JWTZ Wakistaafu Ugonjwa wao mkubwa huwa ni 'Stroke: tu?

    Tafadhali naomba huu Uzi uwe na Mjadala wenye Mantiki kwa Faida ya Wengi kwani kwa Utafiti wangu GENTAMYCINE nikienda Kuona Wagonjwa Lugalo Military General Hospital na hata Majumbani / Mitaani 90% ya Wagonjwa wa Kiharusi ( mliosoma mnauita Stroke ) huwa ni Wanajeshi Wastaafu ( tena waliokuwa na...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Hayati Dr Magufuli Alipiga Stop Vyeo vya Watoto UVCCM, alijua ni mbinu za Undugunisation

    Ktk kile kinachodaiwa kuwa ni Uzalendo ndani ya Chama cha Mapinduzi Dr Magufuli( R.I.P) alikomesha na kuonya Tabia ya kurundika watoto wadogo kwenye vyama na kuwanyima haki yao ya Kusoma na kufanya mambo yao ya Utotoni. Dr Magufuli alijua hizo ni mbinu za Vigogo( mafisadi) kupenyeza watoto wao...
Back
Top Bottom