vyama

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Tokea Tanzania ianzishe mfumo wa vyama vingi, uchaguzi wa mwaka huu utakuwa rahisi kwa CCM na itashinda kwa 100% ngazi ya urais

    Ukilinganisha na uchaguzi wa kwanza nchi yetu ikiwa inafuata mfumo wa vyama vingi mwaka 1995 chama cha upinzani kikubwa wakati huo kilileta upinzani na hata CCM iliogopa maana Nccr mageuzi ilikuwa almanusra wachukue nchi. Ukaja uchaguzi wa mwaka 2000 CCM walijipanga kivingine hivyo walishinda...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msajili abaini usiri fedha vyama vya siasa

    OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa imemaliza kuhakiki vyama 19 vya siasa vyenye usajili wa kudumu na kubaini 18 havina uwazi katika masuala ya fedha kutokana na kutokuwa na mifumo sahihi ya kuweka fedha na kumbukumbu ya mapato na matumizi. Aidha, tathimini ya uhakiki huo uliofanywa na ofisi...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara awa lulu mkoani Mara aweka historia ya kupokea wanachama zaidi ys 1400 kutoka CHADEMA na vyama vingine vya upinzani

    Mbunge wa ukonga mh Mwita Waitara amepokea wanachama wapya zaidi ya 1400 waliojiunga na CCM wakitokea Chadema na vyama vingine vya upinzani. Waitara ameweka historia ya kuwa kiongozi wa kwanza mkoani Mara na pengine Tanzania nzima kwa kuweza kupokea " Lundo" la wapinzani wanaojiunga CCM kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo kazi za vyama vya siasa

    Salaam wanajamvi, Tukiwa tunaendelea kupambana vita dhidi ya kirusi Covid 19 au Corona, nimeona tukumbushane kidogo baadhi ya kazi za vyama vya siasa pamoja na asasi zisizo za kiserikali. Pamoja na mambo mengine kazi za vyama vya siasa ni pamoja na kuelimisha wananchi juu ya haki za binadamu...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Eti ‘tunataka Tume huru’ wakati chaguzi za vyama vyenu hazina huo uhuru, wanafiki wakubwa!

    Katika kutafakari juu ya agenda ya vyama pinzani hapa Tanzania tunapoelekea Uchaguzi, nimewaza na kawazua bila kupata majibu juu ya yale yanayojiri kwenye vyama vyenyewe na kile wanachojaribu kushinikiza kifanyike! Katika yote vifanyavyo hivi vyama vinajaribu kuhadaa watz kama mtakavyoona...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vyama vya upinzani: Msirudie Makosa, atakayekatwa CCM asipewe nafasi yoyote ya kugombea upinzani

    Bila Shaka mtakuwa mmejifunza kutokana na makosa. Mwaka 2015 mliwapokea wanaccm wengi waliokatwa kwenye kinyanganyiro Cha Urais, ubunge na udiwani na wengi wao walifanikiwa kushinda kwenye uchaguzi. Cha kushangaza karibia wote Hawa wamerudi Chama cha Mapinduzi. Napenda kuvishauri vyama vya...
  7. JamiiForums Tanzania Benki kuu inasemaje kuhusu utaratibu wa kuchangia vyama?

    Ili kuondoa uwezekano wa kufanyika kwa utakatishaji fedha je Benki kuu imeweka utaratibu gani wa vyama kuchangiwa?
  8. JamiiForums Tanzania Wana-CCM vileeni vyama vya upinzani visife

    Kuna watu bila kujali itikadi yao ya kisiasa ambao kazi yao ni siasa. Watu wa aina hii lazima wafanye siasa maana maisha yao yote yanategemea siasa. Kuna tofauti kubwa kati ya chama cha siasa na mwanasiasa. Mwanasiasa anaweza kufukuzwa na wenzake kutoka ndani ya chama au anaweza kukihama chama...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Mwaliko wa vyama vya siasa Kwenda Ikulu ulikuwa ni mkakati wa kuwagawa wapinzani hasa CHADEMA na ACT-Wazalendo

    Kwa mtazamo wangu,mwaliko wa baadhi ya vyama siasa kwenda Ikulu ulikuwa ni mpango mkakati wa kuwagawa wapinzani na hasa CHADEMA na ACT-Wazalendo lengo likiwa ni kuwafanya wasiaminiane na pia ili waje wagawane kura. ACT wamealikwa sambamba na vyama vingine ambavyo baada ya kikao cha huko Ikulu...
  10. JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa kuhakikiwa nchini kabla ya Uchaguzi Mkuu

    MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, amesema watafanya uhakiki wa vyama vya siasa ili kuangalia uhalali wao kabla ya kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Amesema katika uhakiki huo, vyama vya siasa ambayo vitakuwa havijakidhi vigezo na matakwa ya ofisi yake, vitakuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Je, kikao cha Rais na Wenyeviti wa Vyama vya siasa isipokuwa CHADEMA ni mpango wa kuzigawa kura za Urais za Tundu Lissu?

    Nimesoma mitazamo mbali mbali ya kikao hiki lakini bado sikupata mwanga wa moja kwa moja kuhusu dhumuni kuu la kikao hiki. Lissu ndio mwanasiasa pekee ambae anauzika kwa sasa kuliko wakati wote ule! Kama mbobezi wa sheria,kama mwanasiasa mwenye utashi na uwezo mkubwa wa kujieleza,mwenye...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Makinda ataka ubunge wa viti maalum uwe na kikomo, adai baadhi ya vyama ukisikia wanavyopatikana unaweza kuhuzunika

    Spika mstaafu wa bunge mama Makinda amesema wakati umefika wa kuweka ukomo wa mbunge wa viti maalum kuhudumu kwa upendeleo huo. Makinda amedai utaratibu wa viti maalum ulianzishwa ili kuwaandaa wanawake waweze kwenda kugombea majimboni lakini sasa mbunge anakaa zaidi ya miaka 10 katika viti...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aitikia wito wa maridhiano wa Mbowe, leo akutana na viongozi waandamizi wa vyama pinzani

    Ni dhahiri kuwa Mbowe na Chadema wamezichanga na kuzicheza karata zao vyema sana. Kitendo cha Mbowe kutamka hadharani umuhimu wa maridhiano kati ya serekali na wapinzani kililenga ku draw attention ya sympathizers wa mustakabali wa mwenendo wa kisiasa na utawala bora hapa nchini. Sympathizers...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Vyama vya Upinzani msipoteze muda kuweka wagombea Urais

    Natoa ushauri tu kwa vyama vya Upinzani kujitafakari na kutopoteza muda na pesa kuweka mgombea urais. Hii ni kwa sababu utendaji kazi wa rais JPM tayari umeshampa ushindi mkubwa. Kudhibiti mianya ya rushwa kwenye halmashauri, ujenzi wa miundo mbinu kama daraja la busisi (umeashaanza) kurudisha...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Vyama vya wafanyakazi Tanzania vinakwama wapi?

    Kwanza nitangaze wazi kwamba Mimi ni Kiongizi Mwandamizi wa Chama cha wafanyakazi sekta ya Nishati na Madini (Sekta ya Uziduaji) Tanzania, kinaitwa kwa ufupi NUMET. Pamoja na kwamba hatuhusiki sana na wafanyakazi wa sekta ya umma ambayo inalalamika sana kwasababu za kutoongezwa mishahara, na...
  16. J

    JamiiForums Tanzania 80% ya Watanzania waliokataa mfumo wa vyama vingi walikuwa sahihi, kizazi cha Upinzani wa kweli bado hakijazaliwa

    Ikumbukwe kuwa ni takribani 20% ya wananchi ndio walisema wanapendelea mfumo wa vyama vingi uanzishwe nchini na 80% waliukataa kwa madai kuwa kwa wakati ule taifa halikuhitaji na wala halina wapinzani wa "kweli". Baba wa taifa akasema wachache wapewe na wengi wasikilizwe, ndipo ukaanzishwa huu...
  17. JamiiForums Tanzania Mh, Waziri Mkuu: Vyama Vikuu vya Ushirika vya SHIRECU na NCU vilitia umasikini wakulima wa Kanda ya Ziwa kwa wizi; kama wahusika wapo, wakamatwe.

    Awali ya yote, niipongeze TAKUKURU kwa namna wanavyoshughulikia wezi wa fedha na mali za vyama vya ushirika. Nimeona kule Kusini hasa zao la Korosho, wezi wakiamriwa kurejesha mamilioni ya fedha, Tabora nako nimeona. Kwa Mikoa ya Shinyanga na Mwanza, kuna Vyama viwili vya SHIRECU (Shinyanga) na...
  18. JamiiForums Tanzania Je, Wabunge Viti Maalum ni wa kubebwa? Mnaonaje iwe ni awamu moja tuu kisha waendeni jimboni, kupisha wengine, au waendelee kubebwa tu?

    Wanabodi, Kwanza angalieni hii picha More than 60% of Rwanda’s parliamentarians are women. Photo: Sam Ngendahimana Nimesoma kwenye Ripoti ya WB, Bunge la Rwanda ndilo Bunge linaloongoza Dunia kwa gender equality baada ya kuwa na asilimia kubwa ya wabunge wanawake kuliko wanaume, wakati Bara...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane: Katika mfumo wa vyama vingi zamu za kugombea Urais kwa misingi ya dini na kanda hazina uhalali

    CCM imekuwa na utamaduni usio wa kikatiba wa kuwepo zamu za kugombea urais wa nchi kwa misingi ya dini na kanda. Wakati wa mfumo wa chama kimoja utaratibu huu ulikuwa muafaka lakini katika mfumo wa vyama vingi zamu za kidini na kikanda zimepitwa na wakati. Nitoe tu angalizo kwa Dr Kigwangalla...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Mike Pompeo wa USA amaliza ziara yake barani Afrika, akemea viongozi wa vyama vya siasa wanaoongoza kiimla

    Waziri Mike Pompeo wa serikali ya Marekani leo amemaliza ziara yake ya nchi kadhaa barani Afrika huku akiwataka viongozi wa kisiasa barani humu kuacha mara moja tabia ya kuongoza kiimla. Pompeo amezuru nchi za Senegal, Ethiopia, Namibia na Afrika ya Kusini. Chanzo: Star Tv Habari
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…