Waheshimiwa Viongozi wetu wa vyama na Wagombea,
Waheshimiwa viongozi wetu wa Dini zote,
Wadau wa uchaguzi.
Amani iwe kwenu.
Wapendwa viongozi wa dini na viongozi wa vyama vya siasa vinavyogombea urais mwaka huu, kwa unyenyekevu mkubwa ninaomba kutoa pendekezo kwenu, ikiwapendeza mkaufanyia...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema inafuatilia zoezi la kuchukua fomu za uteuzi na kubaini kuwa kuna changamoto ambazo zimejitokeza kutokana na vyama vya siasa kutokujipanga na kuweka utaratibu mzuri wa Wagombea wao kuchukua fomu za Utezi
Tume imesema kutokana na hilo watu ambao...
Vyama vya siasa vimepewa mamlaka makubwa kikatiba kuliko Wananchi katika kuchagua wawakilishi wao, ingawaje wana uwezo wa kutowachagua hao wateule wa vyama. Sababu ni kupindua maamuzi ya baadhi ya wananchi wakati wa kura za maoni kwa vigezo ambavyo wananchi hawapewi mrejesho, na kutopewa taarifa...
Tokea katika mkutano ulioshirikisha wadau wengine wa uchaguzi Dar, kamanda Sirro amenukuliwa akisema vyama kulinda kura ni kosa la jinai.
Kwa mujibu wa kamanda huyu kazi ya kulinda kura ni kazi ya polisi peke yao.
Kwa nini kamanda Sirro haoni umuhimu wa wenye mali yaani yenye kura zao...
Ndiyo maana sijutii na kamwe sitokuja Kujutia kuwa mwana CCM Chama ambacho ni 'Kikongwe' kabisa nchini Tanzania kutokana na kwamba Wapinzani wengi Barani Afrika nimegundua japo wakiwa hawajapata Madaraka na Kushika 'Dola' huwa wanatuaminisha Watu tuliochoka na 'Mifumo' Kandamizi iliyopo na...
Kiongozi mkongwe wa Upinzani nchini Uganda Dkt. Kizza Besigye ametangaza kwamba atatumia mbinu tofauti kumuondoa madarakani Rais wa sasa Yoweri Museveni na sio kupitia uchaguzi kwa madai mazingira ya sasa hayawezi kuhakikisha uchaguzi ulio huru na haki.
ITV Tanzania
Mpaka Dkt. Kiiza Besigye...
Ndugu zangu watanzania,
Kwakweli Mungu ni mwema kwa ametupa siku ya leo tena.
Ndugu zangu, inapotekea vipindi kama hivi, watu wanatafuta kura, watatumia mbinu mbali mbali, hasa wale ambao wenye sera mfirisi. Nimejiuliza maswali kadhaa hivi:
Je, ni kweli Chama Cha Mapinduzi (CCM), wachome moto...
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ( NEC) mh Jaji Kaijage amesema baada ya kuhakiki daftari na kuondoa majina yanayojirudia sasa wamebakia wapiga kura 29,188,347
Source East africa radio
My take; Kumbe nyomi ya Tundu Lisu si chochote si lolote.
Maendeleo hayana vyama!
======
Daftari la wapiga...
Tangia aingie madarakani November 2015, Rais John Magufuli amekuwa akinukuliwa mara kwa mara akitamka kwamba “Maendeleo hayana Vyama”. Kauli hii imeendelea kuleta mjadala mkubwa katika siasa za nchi. Lengo letu leo ni kudadisi kwa undani kupata ukweli juu ya suala hili. Ili kufikia lengo letu...
Vyombo vya habari kutangaza kwa usawa kampeni za vyama vya siasa ni moja ya vigezo vya uchaguzi ulio huru na wa haki.
Siyo sawa hata kidogo kwa CCM kuvikataza vyombo vya habari kutangaza kampeni za vyama vingine vya siasa.
Tume ya Uchaguzi inapaswa kuingilia kati suala hili.
Kutokana na figisu figisu na yanayoendelea na yanayotegemewa kutokea kuhusu wapinzani kunyimwa airtime kwa maagizo toka juu ili wananchi wasipate kusikia sera za upinzani baada ya wao kutamba miaka 5 pekee yao wakiongelea vitu vilivozoeleka kwa wananchi huku wakiwa hawana kipya cha kuwaeleza...
Zitto kaandika kupitia ukurasa wake wa Twitter.
NEC wachukue tahadhari sana wasifanye huu upuuzi ambao haujawahi kufanywa katika uchanguzi wowote mkuu huko nyuma tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Kwa muktadha wa hii tweet ya Zitto Kabwe, NEC ikifanya hivyo inaweza kulipasua taifa vibaya sana!
SUALA LA CHADEMA TUMEMUACHIA MSAJILI WA VYAMA
Masuala yote yanayohusu maudhui ya utangazaji kisheria yapo chini ya Waziri mwenye dhamana ya habari, Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 pia imefafanua hilo, Sheria inatungwa lakini Kanuni zinatungwa na Mamlaka inayotekeleza sheria hiyo...
Historia ya ndani ya nchi ya Tanzania katika kipindi cha uchaguzi wa kisiasa, tasnia ya Habari pamoja na waandishi wa habari mara zote nao wanajumuhishwa kama vyama vya upinzani hususani vyombo binafsi vya habari, waaandishi wanaojitegemea pia huwa katika wakati mgumu katika kutekeleza majukumu...
Kama Kuna Jambo litakalonipa amani wakati huu wa uchaguzi ni kuona wanasiasa wanajikita kwenye siasa za masuala( politics of issues).
Na kweli kiasi unaweza ona wanasiasa cut across wanaeleza issues.
Tatizo ninaloliona ni mashabiki wao au wanachama ukipenda. Wengi hawafuatilii issues na naona...
Nauliza tu kwa nia njema kwa sababu malezi yana maana pana.
Mara ya mwisho nilimuona msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi kwenye mkutano mkuu wa CCM.
Baada ya hapo amekuwa akiwakilishwa na msaidizi wake mh Nyahoza katika Mikutano yote ya Vyama vya Upinzani iliyofuatia huku akitoa udhuru...
Mbunge wa Rombo aliyemaliza muda wake Joseph Selasini, ameviomba vyama vyote nchini kuhakikisha vinawapokea vijana wote waliohama vyao vyao na kuhamia vyama vingine lakini wakashindwa kwenye kura za maoni kwa kuwa walishaonesha wanao uwezo wa kufanya kazi.
Selasini ametoa kauli hiyo hii leo...
Mkurugenzi wa mawasiliano wa NCCR Mageuzi Dr Edward Simbeye amesema chama chake kiko tayari kushirikiana na vyama vingine vyenye mrengo wa demokrasia katika uchaguzi mkuu.
Source: East Africa Radio
Habari wakuu?
Ipo hivi kelele zote hizi za upinzani sijui CHADEMA au ACT-Wazalendo pote huko kuna watu wanajua kabisa hiki chama kikiingia madarakani mmoja wapo wagombea wao akapata Urais basi lazima anajua kuna cheo lazima atapata, Muangalie mtu kama Sijui wanamwita shangazi jana anaonekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.