vyama

  1. KijanaHai

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania inahitaji Ilani ya Taifa na si ya vyama vya siasa

    Utangulizi Tanzania inalindwa na katiba kama sheria kuu na kilanja mkuu wa sheria zingine zote zilizopo na zitakazotungwa nchini. Maendeleo ya Tanzania yanaratibiwa na kulindwa na mihimili mitatu Serikali, Bunge na Mahakama lakini yanapangwa, kutungwa kuongozwa na kutekelezwa kwa kufuatwa...
  2. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya vyama vya upinzani ndio mafanikio ya kipekee kabisa ya Awamu ya 6 ya Rais Samia

    Sikumbuki ni utawala wa awamu ya ngapi hasa tuliona polisi wakiyalinda maandamano ya vyama vya upinzani,hata nchi jirani ya Kenya maandamano Yao yamejaa vurugu mauaji na damu kumwagika,hata awamu ya nne ilioulea upinzani tunaouona hadi Leo haikuruhusu maandamano ya amani,Bado nakumbuka mauaji ya...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Unadhani vyama vya siasa vibebe kauli mbiu gani tunapoelekea chaguzi chaguzi mbalimbali?

    Vyama vya kisiasa na wanasia, hasa katika nyakati za uchaguzi huibua na kuibuka na catchphrases, slogan au kauli mbiu za kusisimua wanainchi, kuwatambulisha au kuelezea hisia, uelekeo au shauku za uongozi wao na vyama vyao, endapo watapewa ridhaa kuongoza na wanainchi. vyama na wanasiasa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ilikuwa Mecca ya vyama vya ukombozi, pia jiji la mapigano baina ya vyama hasimu vya ukombozi Afrika ya Kusini

    MAKALA SEHEMU YA KWANZA: TANZANIA ILIPOKUWA MAKAO MAKUU YA VYAMA VYA UKOMBOZI NA CHANGAMOTO ZAKE MWAKA 1959 CHAMA CHA MRENGO MKALI PAC PAN AFRICANIST CONGRESS https://m.youtube.com/watch?v=k9CSA0eN00s Mnamo 1959 Walioamini kuwa Afrika ya Kusini ni Kwa Waafrika siyo nchi mchanganyiko...
  5. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 kuelekea Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025: Hizi ni Katiba mbali mbali za vyama

    Kazi kwenu wananchi na watia nia
  6. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Nina ulakini kwa vyama pinzani wa TANZANIA, huenda ni lele mama

    World always ins't fair. Ulimwengu unabadilika kadri ya saa na dakika zikigonga tik tok muda unakwisha, miaka 10 iliyopita nilikuwa kijana wa makamo niliyependa kusikiliza sana hutuba za upinzani (CHADEMA) hoja zao was so emotionally and tactically wakiwa katika viunga vya bunge. Waliibua hoja...
  7. M

    JamiiForums Tanzania CCM ijitahidi kutenda mambo mazuri ili kutoviharibu vyama vingine vinavyoiga yanayofanywa na CCM

    CCM ni baba wa vyama vyote vya siasa Tanzania. Vyama vyote vinaitazama CCM kama kioo chao. Iwe kwenye jema au baya. Mara nyingi huko CHADEMA kukitokea mambo ya kipuuzi hukimbilia kujitetea kuwa CCM wanafanya mabaya zaidi. Kwa mfano ukiuliza kuhusu michango na ruzuku utajibiwa kwa kuambiwa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyama mamluki matawi ya CCM

    Kwa maoni yangu hivi hapa ni vyama mamluki ambayo ni matawi ya CCM ADA TADEA CCK NLD Demokrasia Makini NCCR- MAGEUZI TLP UPDP SAU UMD NRA ACT CUF Pamioja na Chama cha DP
  9. B

    JamiiForums Tanzania Siku hizi Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi wanateta Serikali na kuweka pembeni maslahi ya Wafanyakazi

    Asalaam Aleykum. Kwa kweli kama kuna watu wana maisha magumu nchi hii, basi ni wafanyakazi. Wengi wao mishahara haijapanda kwa muda mrefu huku gharama za maisha zikipaa kila siku na viongozi wao wa vyama vya wafanyakazi wapo wapo tu kazi kuiba michango ya wafanyakazi wenzao wanayokatwa kila...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Upenzi uliotopea na ufia vyama vya siasa ndio kiini na chimbuko la kusuasua kwa uchumi wa nchi yetu! Iko tutapatiwa kiongozi mbovu sana

    Kama mada inavyojieleza hapo juu, nchi yetu imejaaliwa kuwa na kila fursa ya kuifanya iongoze uchumi wa Afrika Mashariki na hata Afrika nzima. Lakini tatizo kubwa sana tulilo nalo kama nchi ni mfumo wetu wa uongozi. Mfumo wa uongozi wa nchi tulionao, hautoi nafasi ya watu kuwa huru na mawazo...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Utitiri wa vyama vya wafanyakazi chanzo cha kukosa umoja wao

    Kuelekea maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani,wafanyakazi nchini wako kwenye mjadala wa kikokotoo,bima ya afya,nyongeza ya mishahara,kupanda n.k. huku wakikosa umoja na mtetezi atakayesimama kuwasemea ili kufika pale wanapotaka. Kwa miaka kama tisa au kumi tangu utawala wa Rais...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Siasa vya Upinzani vipo wapi?

    Vimekwenda au kupotelea wapi? Yale majigambo na vishindo vya mikutano na maandamano hatuvioni tena? nauliza tu vipi vipooo? Hata vinara wao hatuwasikii kwenye mahojiano hakuna muendelezo wa mbinu na mikakati ,imekuwa kama hawapo. Hii ni 2024 tunahesabu miezi tu, au wanasubiri kesho uchaguzi...
  13. Black Legend

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Wafanyakazi Tanzania ni Kansa kwa Wafanyakazi

    Kwa muda mrefu nimefanya personal study kuhusu ubora na dhima ya vyama vya wafanyakazi Tanzania vikiongozwa na chama mama TUKTA na kuja na hitimisho kuwa , VYAMA VYA WAFANYAKAZI TANZANIA NI KANSA KWA WAFANYAKAZI. Kwa kuangalia haya machache ni dhahiri kuwa msaada wake kwa wafanyakazi ni sawa...
  14. Voltaire

    JamiiForums Tanzania Kwanini Vyama vya Wafanyakazi havipigi kelele suala la Kikokotoo?

    Kelele zimekuwa nyingi kuhusu kikokotoo, hamna kauli dhabiti iliyotoka toka kwa "Vyama vya Wafanyakazi". Kazi ya hivi vyama binafsi siioni zaid ya kuvalishwa sare na kuandamana Mei Mosi, serikali tafadhali ongeza kikokotoo mara buku hadi akili ziwakae! Kila mtu analalamikia chumbani kwake...
  15. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Historia Ngumu: Wagombea Urais 5, Rais mmoja, wamefariki ndani ya miaka 8 Tanzania

    Candidate Running mate Party Anna Elisha Mghwira[42] Hamad Mussa Yussuf Alliance for Change and Transparency (ACT) Edward Lowassa[42] Juma Duni Haji Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Fahmi Nassoro Dovutwa[42] Hamadi Mohammed Ibrahimu United People's Democratic Party (UPDP)...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Wakati wenzetu wanaongelea katiba mpya sisi wa Tanzania tunaongelea waongeaji wa vyama🤦🏾‍♂️

    Yaani ni lini tutaamka na kuanza kushindana kama nchi. Ni lini tutacha utoto kama nchi na kuanza kuleta maendeleo ya nchi. Badala ya kuongea vitu vya msingi wa TZ wengi wanaongelea waongeaji wa vyama🤦🏾‍♂️ Sijawahi kuona nchi nyingine yeyote ambayo watu wanaongelea waongeaji wa vyama kama TZ...
  17. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni muda sasa wa Katiba Mpya ipitishe kifungu cha mgombea Binafsi au Kuruhusu Katiba ya Warioba

    Ni miaka 62 sasa Toka Tupate Uhuru, Lakini matakwa ya Watanzania na Tanzania walioitaka Bado haijafanikwa kupatikana.. Walau hata kwa 40% Bado Nchi inajitahidi kufikisha angalau matakwa kwa 50% au hata zaidi ya hapa katika uchambuzi wangu binafsi.. Nimegundua Tatzo ni Sera,Ilani na Hata katiba...
  18. Melvine

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio CCM na wala tatizo sio mchakato wa uchaguzi yaani upigaji kura, tatizo ni wapiga kura wa vyama hivyo vya upinzani

    Unapozungumzia Demokrasia ni ile hali ya mtu kuchagua au kuchagulia, fairness, ulingo sawa wa kufanya shughuli za kisiasa, vyama kuwa na mchakato wa ndani wa kutafuta wawakilishi wao katika nafasi mbali mbali za uwakilishi katika levo tofauti tofauti za chaguzi. Demokrasia ni uwanja mpana na...
  19. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha vyama pinzani kususia uchaguzi hakina afya katika demokrasia. Suluhu ni mgombea binafsi?

    Kulingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano yenye kutoa muongozo wa kidemokrasia lengo ni kutufanya wananchi kuweza kushiriki katika maamuzi yetu kupitia chaguzi zetu, lakini kwa bahati mbaya kuna mkusanyiko wa matukio ya kususia uchaguzi ambao unafanywa na vyama pinzani mfano CHADEMA katika...
  20. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani vinaoneana wivu, ni nani mwenye urafiki na upinzani kwa CCM?

    Vyama vya upinzani vya Tanzania ni kama wapo kwenye league ya kuoneana wivu. Ni chama gani chenye urafiki na ushindani kwa chama tawala CCM, hii ni toka utawala wa Samia uanze. Hali hii inanishangaza sana.
Back
Top Bottom