vyama

  1. ryan riz

    Umewahi kuvielewa vyama vya siasa vya upinzani Tanzania?

    Moja ya vitu vya kustaajabisha hapa nchini,ni namna vyama vya upinzani vinavyoshindwa kula na kipofu na chama tawala na serikali pia Watanzania tunajijua na rahisi sana kutekwa kisiasa ni mbinu tu za mtekaji akijipanga vizuri,yaani wapinzani wanashindwa kutumia mbinu hizi kwa serikali na chama...
  2. P

    Vyama vya siasa nchini haviwezi kukua,vitakuwa vinachipukia kuweka mapingamizi kwenye uchaguzi

    Kumzuia mama mjamzito asipate vyakula bora tangu mimba ilipotunga halafu unampa mlo bora mwezi wakujifungua wewe ni muuaji kwa mama na mtoto.
  3. B

    Watambue Wanachama wa Vyama Mitandaoni

    Mabibi na mabwana kumekuwa na kasumba ya kuwafungamanisha wajumbe mitandaoni na vyama vya siasa labda kulingana na maudhui ya mabandiko yao. Dhana hii kwa hakika ni potofu sana, hasa pale wajumbe husika wanapokuwa hawajijitanabaisha hivyo wazi wazi na kwa IDs zilizokuwa verified. Itoshe kusema...
  4. Erythrocyte

    Mbowe na Lissu wahudhuria Mkutano wa vyama vya Kidemokrasia ukanda wa Afrika Mashariki Jijini Nairobi

    Pichani ni Mhe. Tundu Lissu akisalimiana na Mhe. Musalia Mudavadi wa Chama cha Amani National Movement cha nchini Kenya , walipokutana kwenye Mkutano huo Picha ya Chini ni Mwamba Mwenyewe Mh Freeman Mbowe akitoa mada kwenye Mkutano huo Muhimu wenye lengo la kukuza Demokrasia kwenye nchi za...
  5. S

    CHADEMA ku-survive bila ruzuku: CCM oneni aibu na iwe mwanzo wa kufuta ruzuku kwa vyama vyote vya siasa

    Kama CHADEMA wameweza ku-survive bila ruzuku mpaka leo hii, na zaidi wameweza kubuni utratibu mpya wa kuwaingizia mapato kupitia michango ya wanachama,basi CCM kama chama kikongwe kinapaswa kuona aibu na kuacha kuendelea kupokea ruzuku kutoka serikalini. Wakati umefika vyama vya siasa vianze...
  6. J

    Shaka atoa somo kwa vyama vya siasa nchini

    "Hakuna chama chochote cha siasa chenye wajibu wala haki ya kumuamrisha Rais wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama au kutoa shindikizo katika maamuzi ya Rais hususani juu ya muda, wakati na namna ya kuwaona Wananchi ndani ya nchi anayoiongoza. Madai ya kuandika barua na...
  7. Lyetu

    Kampeni dhidi ya Diamond Platnumz: Wanaharakati kuweni serious kidogo

    Habari za wakati huu wakuu. Naomba kuzungumza nanyi mnaojiita wanaharakati pamoja na wafuasi wenu. Hiki kinachoondelea huko mitandaoni sio tamko rasmi la Chama kuwa sasa wameamua kufanya vile, ila ukimya wa viongozi juu ya hili jambo unanambia kuwa chama kimebariki. Mi naomba mnifafanulie...
  8. Melubo Letema

    BMT, Msajili wa Vyama vya Michezo Wamkingia Kifua John Bayo

    Kaimu Msajili (Abeli Odena) naye ni ndg yake John Bayo. Je haki ya kumchukulia hatua Bayo itatendeka? Wote wenye mamlaka ya kimaamuzi ni ndg zake akiwemo Kaimu Msajili wa Vyama vya Michezo na Kaimu Katibu Mkuu wa BMT Bi Neema Msitha. Wote hao wanafuata maelekezo ya ndg yao (Filbert Bayi)...
  9. konda msafi

    Demokrasia na uhuru wa vyama vya siasa una raha yake

    Kusema ukweli demokrasia na uhuru wa vyama vya siasa kufanya kazi zake kwa uhuru kuna raha yake. Mama Samia rais wetu, wewe tayari ni rais huna cha kupoteza, huhitaji teuzi wala ajira yeyote. Ajira uliyonayo ni ya juu kabisa, hakuna ajira zaidi ya urais hivyo huna cha kupoteza wala kuogopa...
  10. J

    Kwanini Mbowe anashambuliwa kama mpira wa kona, huku Ndugai kule Sabaya? Au Freeman ni mti wenye matunda?

    Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa CHADEMA tu hana vyeo vingine nje ya chama chake. Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa? Yohana nauliza kwanini Freeman...
  11. Erythrocyte

    Pendekezo: Francis Mutungi na Sisty Nyahyoza waondolewe Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, wametumika kupandikiza migogoro kwenye vyama vya siasa

    Maadam sasa tumeamua kufanya mabadiliko basi ni vema Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ikaletewa watu wapya ili kuondoa manung'uniko. Mutungi ametumika mara kadhaa kupandikiza migogoro kwenye vyama vya siasa kwa kuyalinda makundi ya wahalifu , huku akisimamia kugawa ruzuku halali ya Cuf kwa...
  12. J

    Mzee Mwinyi: Nyerere alitaka pawepo mgombea binafsi lakini CC ya CCM ilimkatalia, pia CCM ilipinga vyama kuungana ikihofia itakufa

    Hiki kitabu cha mzee Mwinyi kimejibu maswali mengi sana na unaweza kuamini kabisa CCM inakwamisha mambo mengi kwa maslahi yake binafsi. Mzee Mwinyi anasema Nyerere alipendekeza pawepo na mgombea binafsi katika mfumo wa vyama vingi lakini kamati kuu ilikataa kwa madai anaweza kutokea mtu maarufu...
  13. J

    Nafasi ya Jeshi la Polisi katika Demokrasia ya vyama vingi vya siasa

    Kukua kwa demokrasia katika nchi yenye mfumo wa vyama vingi kunategemea utendaji bora wa Jeshi la Polisi. Kanuni za Kudumu za Jeshi la Polisi zimeweka bayana kuwa shughuli za kisiasa ni miongoni mwa mambo ya msingi katika jamii ya kidemokrasia. Hata hivyo, harakati za kisiasa zisipowekewa...
  14. Stroke

    Woga wa vyama vya Upinzani kuhusiana na Somo la Historia Ya Tanzania unatokana na nini?

    Mchakato wa kuanzishwa somo la historia ya Taifa letu umepingwa sana na wafuasi wa vyama vya upinzani hapa nchini. Inashangaza kwa Raia kutotaka kujua historia ya Taifa lake. Jambo la kusikitisha mno katika baadhi ya mijadala hapa jamvini unakutana na comment ya mtu ambaye anasema kwamba...
  15. OLS

    Je, Vyama vya wafanyakazi vimeshawahi kuzungumzia Usalama mahala pa kazi

    Ni kweli kwamba mishahara huongeza ufanisi wa kazi, lakini usalama wa kazi huongeza vitu vingine ikiwamo kuepusha majanga ambayo yangepelekea mtu kulazwa hospitali kwa muda mrefu ambayo kwenye long run inapunguza utendaji kazi. Tunaweza sana kuheshimu mishahara lakini nikitazama mazingira...
  16. T

    Siasa za Tanzania zinapitia upepo mbaya sana

    Ukiangalia mwenendo wa uchangiaji wa hoja humu ndani ni vigumu sana kupambanua kama mchangiaji ameegemea mrengo gani wa kisiasa yaani kaegemea upinzani ama ccm. Tungekua na magenious ya game za kisiasa basi huu ndio uliokua muda muafaka kujijenga na kutengeneza mkondo mpya. Na nikiri kwamba...
  17. beth

    Hasunga: Ushirika unalazimisha wasio wanachama kuuza mazao yao kupitia Vyama. Serikali ina mpango gani kuruhusu Wafanyabiashara kununua kwa wakulima?

    Mbunge wa Vwawa, Japhet Hasunga amesema kwa mujibu wa Sheria, Ushirika ni kwa Wanaushirika wenyewe lakini hali ilivyo sasa, Ushirika umekuwa ukiwalazisha watu wasio Wanachama kuuza mazao yao kupitia kwenye Vyama vya Ushirika. Akiwa Bungeni Dodoma, Hasunga ambaye amewahi kuwa Waziri wa Kilimo...
  18. T

    Nini na siri ya vyama vingine vya siasa kuwa dhaifu sana huku vingine vikiwa imara sana?

    Naomba wajuvi wa mambo wanisaidie kuelewa kwani kila nikitafakari kwa kina sipata jibu linaloniridhisha. Hivi tofauti kubwa sana ya vyama vya siasa iko kwenye Nini? 1.Wanachama na viongozi kwa maana ya hulka za wanaokiunda chama!? 2.Muundo wa chama kwa maana ya jinsi chama...
  19. tpaul

    Hoja 5 ambazo viongozi wa vyama vya siasa watazungumza na Rais Samia Hassan

    Bila kuchoshana na maneno mengi, naomba niingie kwenye mada moja kwa moja. Kwa maoni yangu, nadhani hoja zifuatazo ndizo zitakuwa ajenda kuu kipindi viongozi wa vyama vya siasa wakikutana na Rais Samia Hassan ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, kama Rais mwenyewe alivyoahidi kukutana na wanasiasa...
Back
Top Bottom