vyama vya upinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Unadhani ni kwanini vyama vya upinzani vikongwe nchini hawawaamini na hawapendelei kuwapa fursa za uongozi wa juu wanawake?

    Ni nini hasa huchangia vyama vya upinzani nchini, kuongozwa na wanaume pekee, na kutopendelea kabisa kuwapa fursa au kuchangamana na wanawake katika uongozi wa juu ndani ya vyama vyao vya kisiasa? Ni hawana uwezo, hawaaminiki wala kuthaminika ndani ya vyama vyao, hawana mipango madhubuti ya...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Bado hatujapata chama mbadala wa kuiongoza nchi hii

    Rais Samia aliyasema hayo akifunga Kikao Maalum cha Baraza Kuu la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) jana Septemba 28, 2024. "… mabadiliko yote yanayotokea ni katika kukiimarisha chama chetu tukitambua kwamba bado hatujapata mbadala wa chama cha kuongoza nchi hii, bado hatujakipata...
  3. Msanii

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024

    Leo ni siku iliyosubiriwa kwa hamu kubwa na Watanzania. Siku ya maandamano ya wananchi wakiongozwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa Chama hiko; amefafanua kwamba lengo la maandamano hayo ni kupinga wimbi na matendo mabaya yanayoendelea nchini ya utekaji...
  4. Accumen Mo

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani hususani CHADEMA rekebisheni makosa mdogo mtafika mbali, Watanzania watawaunga mkono

    Wasalaam ndugu zangu, Kufuatia hali ya waandamaji na maoni ya baadhi ya watanzania kwenye mitandao ya kijamii, nimegundua CHADEMA hawana nguvu wala watu wengi kutoka na kukosa ushawishi. Chama cha CHADEMA kina misingi mizuri hasa ukiangalia sera zake za awali hata jina lake ni zuri (CHAMA CHA...
  5. funaku

    JamiiForums Tanzania Chadema imedhihirisha kuwa haiwezekani kuwaamini wapinzani

    Hata iweje wapinzani wanabaki kuwa wapinzani tu.hawana zuri bali ni watumia fursa tu.Ni mafisi wanaosubiri mfupa. Hawana sera na hawataki kujielekeza kwenye hoja ya kuikwamua nchi kutoka kwenye makucha ya kikoloni. wapinzani ni zao la ukoloni. Hata wapewe nini watabaki hivyo tu. Je...
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kama kuna vyama vya upinzani viliuliwa Basi CHADEMA wamejiua wenyewe

    Wananchi wanahaha kufikiria maendeleo mpaka wanaona waunde vya vya upinzani. Baadhi yao vyama vikishaundwa wanavitumia vibaya na kuviua kwa mikono yao. Chama cha Demokrasia na maendeleo ni moja ya vyama vilivyojiua vyenyewe kizembe kabisa. Na kama kulikuwa na mtu alitaka akiue Chama hiki basi...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wamesahau Misukosuko Waliyoipata Hapo Nyuma Mpaka wakaikimbia Nchi na Mimi Kuwarejesha kwa 4R Zangu

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Daktari Samia Suluhu Hasssan,ameongea kwa uchungu sana,kwa maumivu makali sana na kwa hisia kali sana zilizogusa mioyo ya watu wengi sana. Pale alipoelezea juhudi zake kubwa za kuliunganisha Taifa na kuwaleta pamoja watanzania...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwa siasa anazofanya Mh. Luhaga Mpina kwa sasa, ni kuwaandaa kisaikolojia wananchi wa jimbo la Kisesa kwa ajili ya chama kipya au kuhama nao upinzani

    Friends, ladies and gentlemen.. Uelekeo wa kisiasa na mienendo ya siasa za mh.Lugaga Mpina mbunge wa jimbo la kisesa, inatiashaka na imebeba ujumbe mzito sana wa kisiasa nyuma ya pazia hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu 2025... Kwanza anatumia nguvu nyingi na kubwa mno kujieleza kwa...
  9. Mr-Njombe

    JamiiForums Tanzania Chungu na tamu ya wafuasi wa Vyama vya Upinzani Tanzania

    Salaamu wanaJF, Ni matumaini yangu mu wazima, naomba kuainisha mtazamo wangu kuhusu wafuasi na wanachama wa vyama vya upinzani nchini kama ifuatavyo. TAMU Asilimia kubwa ya wafuasi wa vyama vya upinzani tanzania wamekua mstari wa mbele kwenye kukemea maovu na kuishinikiza serikali kutengua na...
  10. amshapopo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa mwendo huu wa CCM na serikali kujitaja maovu yao, Wapinzani jipangeni 2025

    Ndugu zangu, Kwa yanayoendelea ya baadhi ya watu walio ndani ya serikali kutaja maovu yanayofanyika kipindi cha chaguzi zilizopita kuhujumiwa , napendekeza wapinzani msikubali kuwa kondoo. Daini haki yenu coz kwa kukaa kimya mnawapa vichwa hao wanaofanyia dhulma. Fanyeni mpango kuhakikisha...
  11. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyama vya Upinzani visije vikailaumu CCM kwa Chaguzi zinazokuja za mwaka 2024 na 2025

    Niseme ukweli CCM imejipanga kwa chaguzi zinazokuja. Huku Mitaani kwetu wanachama wanamiminika kila asubuhi kujiandikisha na kupewa kadi, semina na mikakati ya kushinda chaguzi zijazo. Vyama vya upinzani siwaoni huku Mitaani kwetu wakijipanga kwa chaguzi hizi. Vyama vya upinzani msije...
  12. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni sawa na transfoma pozo, hutumika na CCM kuupoza Upinzani unapokuwa na nguvu kama enzi za UKAWA

    Hata sasa ACT Wazalendo ndio wanaweza kuleta mabadiliko kupitia Zanzibar na tayari Chadema wameshaanza kuipunguza Nguvu kwa kuwahadaa wasishiriki Mdahalo wa Odemba. Hata wakati wa Bunge la Katiba Mpya lile vuguvugu la Upinzani na kukubalika kwa Prof Lipumba, Mchungaji Mtikila na Dr Slaa...
  13. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boniface Mwabukusi: Tuna Vyama vya upinzani havijajiandaa kuwa mbadala wa CCM. Vipo kugaiwa neema ndogo ndogo kutoka CCM

    Nikiri kuna changamoto kwenye vyama vya siasa, mimi sipendi kuumauma maneno kwa sababu mimi kweli ni wakili, lakini mimi ni mwanasiasa ninavijua hivi vyama, vina changamoto kubwa, vinaumiza na kukatisha tamaa wananchi. Ni vyama ambavyo kwa kweli havionekani kujiandaa hasa kuwa mbadala wa CCM...
  14. J

    JamiiForums Tanzania 31 Agosti, 2024 kufanyika Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa Maktaba ya UDSM. Dr Nchimbi, Mnyika, Shaibu na wengine Watashiriki

    Utakuwa ni Mdahalo muhimu sana kujua yaliyomo yamo Chief Odemba ndiye ataongoza Mdahalo huo kupitia Medani za Siasa Star tv Ni Jumamosi 31/08/2024 na Makatibu Wakuu wa Vyama vyote Watashiriki wakiwemo Dr Nchimbi, John Mnyika, Ado Shaibu na wengine Muda ni saa 3:30 Usiku hadi saa 5 :30 Usiku...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Taswira ya nchi yetu imechafuka sana hivi karibuni. Ni wakati muafaka kuwa na serikali shirikishi kwa kuzingatia maridhiano na Vyama vya Upinzani

    Taswira ya nchi yetu kimataifa imechafuka sana ndani ya kipindi cha miezi miwili iliyopita kuliko wakati mwingine wowote tangu 2021, na tunakoelekea inaonesha hali itakuwa tete zaidi. Suluhisho sio matumizi ya nguvu za dola, suluhisho ni masikilizano. Ili maridhiano kati ya chama tawala (CCM)...
  16. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tumaini lililo jema kwa sasa ni kama Upinzani kutupa mbadala wa CCM au CCM kubadilika kwa maslahi ya Taifa

    Tuna vyama vya siasa lakini kiuhalisia vyama hivyo kuna wana harakati tu ndio wengi hakuna watu ambao kama chama kinaingia madarakani basi watakuwa ndio engine ya serikali Hivyo tunalalamika kuwa CCM hawafai ,ufisadi umeshamiri ,maliasili zinatumiwa vibaya lakini hakuna Chama kinachojipanga...
  17. Trinity

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi ni mimi pekee siwaelewi Hawa wapinzani?

    Nawasalimu kupitia jina kuu lipitalo majina yote. Moja Kwa moja, mimi sio mwanaharakati na sitaki kujihusisha. Pamoja na hayo nikipata nafasi ya kuwasikiliza Hawa jamaa ni kama hawana mwelekeo wala mpango wowote. Ukiwasikiliza sana utasikia vijembe na matusi pekee dhidi ya serikali na...
  18. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Ninahisi nguvu ya sasa ya CHADEMA ni kwa hisani ya CCM, tunahitaji Upinzani halisi

    Tanzania ina Jumla ya vyama vya Siasa 19, ACT Wazalendo kikiwa ni chama mwisho kusajiliwa May 2014. CUF na NCCR MAGEUZI ya kina Mbatia walijaribu kuwa wapinzani halisi lakini wakadhohofishwa. CCM ni chama kikubwa na kina mbinu Nyingi sana ninahisi kinaipa nguvu ya kifedha CHADEMA kwa faida...
  19. Mla Bata

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Je, Siasa hizi za mihemko na kufuata "trends" za mitandao zitawafikisha wapinzani nchi ya ahadi?

    Wasalaam, Appease, Propitiate and Placate! Tuliza, Fidia, wape waone na kusikia wanachotaka kusikia! Kwenye sayansi ya siasa hizi ni nguzo zitumikazo mara kwa mara kuongoza, ebu leo tujikite kwenye Placate. Placate (play-cat), it's a mind game, una control akili za watu kwa kuwaonyesha...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Si kwamba vyama vya upinzani ni bora zaidi, lakini ni muhimu Watanzania kuiondoa CCM madarakani to teach the Police a lesson

    Watu wengi wamekuwa wakivitazama vyama vya upinzani katika mtazamo wa kuwa mbadala wa CCM katika uongozi, na wengi wanasema kwamba bado havijakomaa kuongoza nchi, jambo ambalo siku zote nasema, tulipopata uhuru TANU haikuwa imekomaa kuongoza nchi. Sasa mimi naona kama imefikia mahali jeshi la...
Back
Top Bottom