Nchi tutampa visionary leader sio mwanaharakati. Ukweli mchungu ni kwamba bado upinzani hawana Visionary leader

Teslarati

JF-Expert Member
Nov 21, 2019
1,735
6,796
Sina la kuandika zaidi sababu title imejielezea.

Sijaona visionary leader yyt kutoka upinzani hadi sasa, endeleeni tu kutimiza wajibu wenu wa kuikosoa serikali na kuchangamsha mitandao ya kijamii lakini kule juu sidhan kama mtafika, labda miaka 100 ijayo.

Tuongee ukweli ndugu zangu, nani visionary huko upinzani?

Mbowe? Sitaki kucomment sabab mnajua, yy mwenyewe anajua ndo maana huwa hagombei.

Lissu? Huyu hana quality yoyote ya kiongozi ila anajua harakati tu, kakosa Integrity hata kwenye maneno yake. Mara alisema magu kampiga risasi leo anamtetea tena. A leader should not necessarily be good or bad, but HE SHOULD BE UPRIGHT.

Slaa? Hayuko upright hana integrity kama Lissu tu

Zitto? No integrity

Mtataja wengine lakini upinzani bado sana kuwa na kiongozi mwenye guts za kuongoza nchi
 
Huyu Tundu Lissu "aliyelobby" wabunge marafiki wa CDU wapeleke "motion" bundestag ili Ujerumani waiupinge mradi wa ujenzi wa bwawa la ufuaji umeme mwalimu Nyerere wenye kutuletea megawati 2115 ana maana huyu?!
 
Huyu Mbowe huyuuu....

Baba yake wa ubatizo ,hayati baba wa taifa JKN alipinga sana UBAGUZI WA KIKANDA NA KIKABILA.....

Huyu ndugu Mbowe huyu amenajisi misimamo yetu ya kitaifa kwa KUMBAGUA Rais SSH kisa ni Mzanzibari.....huyu hana maana "sengelepeni"

#SiempreJMT
 
Sina la kuandika zaidi sababu title imejielezea.

Sijaona visionary leader yyt kutoka upinzani hadi sasa, endeleeni tu kutimiza wajibu wenu wa kuikosoa serikali na kuchangamsha mitandao ya kijamii lakini kule juu sidhan kama mtafika, labda miaka 100 ijayo.

Tuongee ukweli ndugu zangu, nani visionary huko upinzani?

Mbowe? Sitaki kucomment sabab mnajua, yy mwenyewe anajua ndo maana huwa hagombei.

Lissu? Huyu hana quality yoyote ya kiongozi ila anajua harakati tu, kakosa Integrity hata kwenye maneno yake. Mara alisema magu kampiga risasi leo anamtetea tena. A leader should not necessarily be good or bad, but HE SHOULD BE UPRIGHT.

Slaa? Hayuko upright hana integrity kama Lissu tu

Zitto? No integrity

Mtataja wengine lakini upinzani bado sana kuwa na kiongozi mwenye guts za kuongoza nchi
Je visionary leader unayeweza kututajia hapa ndani ya CCM ni nani?
 
Wewe acha upofu wewe kwa hiyo unaona tuendelee na hayo majambazi yaliyopo? Ok tutabakiwa na nini cha kukwapua?
 
Huyu Mbowe huyuuu....

Baba yake wa ubatizo ,hayati baba wa taifa JKN alipinga sana UBAGUZI WA KIKANDA NA KIKABILA.....

Huyu ndugu Mbowe huyu amenajisi misimamo yetu ya kitaifa kwa KUMBAGUA Rais SSH kisa ni Mzanzibari.....huyu hana maanaJa "sengelepeni"

#SiempreJMT
Jambazi apingwe kwa nguvu zetu awa wa dini ile au kabila lile au ukanda ule ujambazi ni hatari!
 
Sina la kuandika zaidi sababu title imejielezea.

Sijaona visionary leader yyt kutoka upinzani hadi sasa, endeleeni tu kutimiza wajibu wenu wa kuikosoa serikali na kuchangamsha mitandao ya kijamii lakini kule juu sidhan kama mtafika, labda miaka 100 ijayo.

Tuongee ukweli ndugu zangu, nani visionary huko upinzani?

Mbowe? Sitaki kucomment sabab mnajua, yy mwenyewe anajua ndo maana huwa hagombei.

Lissu? Huyu hana quality yoyote ya kiongozi ila anajua harakati tu, kakosa Integrity hata kwenye maneno yake. Mara alisema magu kampiga risasi leo anamtetea tena. A leader should not necessarily be good or bad, but HE SHOULD BE UPRIGHT.

Slaa? Hayuko upright hana integrity kama Lissu tu

Zitto? No integrity

Mtataja wengine lakini upinzani bado sana kuwa na kiongozi mwenye guts za kuongoza nchi
Ccm mna visionary leader ?
 
Endeleeni mazalau yenu kwamba ni ile ile ya kila siku
 
Tunataka vision itoke kwenye KATIBA.

Kiongozi yeyote akichaguliwa aikute Dira ya nchi Kwa miaka 200 ijayo,

Vyama vya siasa vitoe wagombea wa kutimiza Dira ya nchi Kutoka kwenye KATIBA.

Sera za vyama vya siasa zitungwe kufuata Dira ya nchi Kutoka kwenye KATIBA. Na vyama vishindane ktk Kutoa mbinu Bora za kufikia Dira ya nchi.

Dira ya nchi haupaswi kuletwa na kiongozi pekee, ndomana tunaona Kila kiongozi anakuja na Dira na mawazo yake na anataka tuyafuate!!

KATIBA mpya ni sasa.

Amen
 
Ni kweli wapinzani ni Wana harakati
Lakin ccm pia hakuna visionary leaders,wamejaa makada na Wala rushwa🤣🤣
Sa utasema mwigulu ni visionary leaders?au jmakamba?au nape?
Tukakodi nchi jirani kama kagame aje atawale Tanzania kidogo
 
Uko sahihi

Lakini unategemea kiongozi ambae hata hana msimamo kwenye maneno yake anayosema hadharani atakua na credibility ya kuhakikisha anafuata hio vision iliopo tayari kwenye katiba.

Narudi palepale, INTEGRITY, Upinzani hawana hio
 
Mkisema hivo Mnawakosea sana heshima watu kama Magufuli, Lowassa, Kikwete na Mwinyi
 
Uko sahihi

Lakini unategemea kiongozi ambae hata hana msimamo kwenye maneno yake anayosema hadharani atakua na credibility ya kuhakikisha anafuata hio vision iliopo tayari kwenye katiba.

Narudi palepale, INTEGRITY, Upinzani hawana hio
Wapewe Nchi ndo utaona machinery zote zinakuwa upande wao kuwashape!!
 
Back
Top Bottom