Salaam, Shalom!!
Miaka ya zamani kidogo nilikuwa katika Taasisi Moja kubwa, Kuna kiongozi mmoja kazini akanialika twende tukapate supu ya mbuzi,
Tulipofikia eneo lile kumbe Bana, supu ya mbuzi ni Ile sehemu ya KICHWA, nilitoka macho sikuamini kilichoendelea, yaliletwa mabakuli matatu ya supu...