KERO Bei za vyakula kwa wasafiri ni kubwa

KERO Bei za vyakula kwa wasafiri ni kubwa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
22,769
Reaction score
31,249
Kumekuwa na bei kubwa/ghali sana ya vyakula kwa wasafiri nchini. Sehemu ambazo magari yanapeleka abiria kula yamekuwa yakitoza gharama sana za vyakula, Wahusika walifuatilie hili, watu wanaumia sana.

Watanzania ni kama hakuna wa kuwasaidia kiuongozi na kiutawala.
 
Kumekuwa na bei kubwa/ghali sana ya vyakula kwa wasafiri nchini.Sehemu ambazo magari yanapeleka abiria kula yamekuwa yakitoza gharama sana za vyakula,Wahusika walifuatilie hili,watu wanaumia sana.
Watanzania ni kama hakuna wa kuwasaidia kiuongozi na kiutawala.
Mimi Huwa sigusi chakula Hadi mwisho wa safari!
 
Kumekuwa na bei kubwa/ghali sana ya vyakula kwa wasafiri nchini.Sehemu ambazo magari yanapeleka abiria kula yamekuwa yakitoza gharama sana za vyakula,Wahusika walifuatilie hili,watu wanaumia sana.
Watanzania ni kama hakuna wa kuwasaidia kiuongozi na kiutawala.
Wasafiri anzisheni mgomo wa kutokula kwenye hayo maeneo angalau kwa week. Mkirudi kwa mnaopenda kula njiani nina uhakika mtakuwa mmepunguziwa bei.
 
maana unaweza kubanwa na haja kubwa halafu kituo cha kujisaidia kipo mbali, ukichukulia siku hizi hakuna kujimba dawa vichakani/msituni/porini
Inakera sana aisee. Kula njiani tangu nikiwa mdogo nilishaacha kabisa kwa sababu niliona watu wanaoheshimika wakidhalilika kwa kujisaidia hadharani (tena akina mama).
 
Back
Top Bottom