vumbi

  1. A

    Responded Mrejesho: Barabara ya Mtaa wa Isevya – Muhimbili imerekebishwa, sasa hatulii na vumbi tena. Tunawashukuru JamiiForums

    Mwezi Januari niliandika kuhusu changamoto ya Barabara kwa sisi Wakazi wa Mtaa wa Isevya, Muhimbili – Ilala, Dar es Salaam, nilieleza kuwa kipande cha barabara kimefukuliwa kwa zaidi ya miezi miwili na kutelekezwa baada ya kumwaga kokoto mara moja tu, tangu hapo hakuna kilichofanyika. Tulikuwa...
  2. A

    KERO Wakazi wa Isevya – Muhimbii (Dar) tunaathiriwa na vumbi la barabara iliyotelekezwa

    Sisi ni Wakazi wa Mtaa wa Isevya, Muhimbili – Ilala, Dar es Salaam. Kuna kipande cha barabara kimefukuliwa kwa zaidi ya miezi miwili sasa. Baada ya kufukuliwa walimwaga kokoto mara moja tu, tangu hapo hakuna kilichofanyika. Kwa sasa tunaoga vumbi kama maji 😔Watoto, wazee na wagonjwa tunaumwa...
  3. amshapopo

    Kiwanda cha kahawa CMS Mbozi hakidhibiti vumbi la pumba za kahawa, NEMC fuatilieni

    Habari, Hiki kiwanda kipo mji wa Mlowo kina husika na kukoboa kahawa ila cha kushangaza hakidhibiti vumbi la pumba ya kahawa lisiende kwenye makazi ya watu. Hali hii imekuwa ni kero kwetu sisi wakazi na kutusababishia vifua vya mara kwa mara. Tunaomba NEMC mfuatilie na mchukue hatua stahiki
  4. Dalton elijah

    Weka utabiri wa top four yako kabla ya ligi hazijaanza kutimua vumbi

    Ligi kuu nchini Tanzania inatarajiwa kutimua vumbi mwezi september ambapo atakuwa anatafutwa bingwa mpya ya NBC premire league kabla ya ligi kuanza nimeona isiwe na shaka nije na moja ya top four yangu kabla ya ligi kuanza kutimua vumbi ..licha ya hivyo hii pia nimetabiri top four kwa baadhi ya...
  5. A

    KERO Mkandarasi wa Daraja la Mkuyuni anashindwa kumwaga maji, vumbi linatutesa sana

    Hivi huyu mkandarasi anayejenga Daraja la Mkuyuni hapa Mwanza anakuwa na shida gani ya kutomwaga maji kwenye barabara ya muda. Unakuta inaweza kuchukua mpaka siku mbili Watu tunateseka na vumbi hii, kwanza watumiaji wa vyombo ni hatari kwao kwa kuwa vumbi likiwa jingi ni vigumu kuona...
  6. Dennis Robert Shughuru

    Sasa hivi kila kona ya miji yetu ni vumbi kwa kwenda mbele

    Kuanzia mwezi huu wa saba mpaka wa kumi kila kona ya nchi yetu ukienda maeneo ya mjini ni vumbi kwa kwenda mbele sitaki kuongelea vijijini sababu huko ndo habari ñyingine Mfano sehemu kama posta, kariakoo kunakuaje na vumbi, mji kama tunduma unakuaje na vumbi, mji kama makambako unakujae na...
  7. Valencia_UPV

    John Mrema CCM hatukutaki kimbilia NCCR ukapigwe vumbi

    Kama ulikua Una wazo la kuja Veggies Sisi kwenye list yetu tumeshajaza vijana jobless wenye matarajio ya vyeo vya ulaji. Nakusihi wahi NCCR kama Selasini. ACT usijaribu maana sio mvaa kobazi
  8. Doyi

    Uongozi serikali ya mtaa babati mjini kwa hili vumbi mnalotulisha wapiga kura wenu ni haki?? Mkurugenzi na timu yako mjitathmini

    Tunafahamu kuna ujenzi wa daraja maeneo ya msasani barabara ya kuelekea stendi mpya inaendelea na ni sehemu ya juhudi za serikali katika kuboresha miundo mbinu,ila kosa la kwanza mlilofanya ni kumpa tenda mkandarasi asiye na weledi kabisaa kabisaa,kwa maarifa yangu madogo alipaswa ajenge njia...
  9. R

    Ni sababu ipi iliyokufanya ukate tamaa kulitengeneza gari lako ukaliacha likusanye vumbi na kutu

    Huwaga inafikia steji watu wanayakatia tamaa magari yao wanaamua kutatelekeza magerejini, majumbani, n.k. Ni sababu ipi iliyokufanya ukate tamaa kulitengeneza gari lako ukaliacha likusanye vumbi na kutu
  10. R

    Maeneo gani Morogoro hayana vumbi kali

    Unakuta nyumba nzuri ila vumbi la mazingira linaingia Hadi ndani ni tabu tupu. Wapi kwenye unafuu? #Morogoro manicipal
  11. M

    Mwigulu Nchemba agiza gari la maji limwagie uwanjani. Vumbi litawaumiza mashabiki wa Singida big stars.

    Vumbi limetawala hapo Namfua Stadium. Misomisondo amefunika ila tatizo vumbi la Singida. Mwageni maji basi.
  12. KING MIDAS

    Akayabagu ni hatari, vumbi la Congo linasubiri

    Hatari sana hii mambo
  13. Yoda

    Utaratibu wa kufagia ardhi ya udongo, mchanga au vumbi ni usafi gani?

    Ni aina fulani ya kukosa maarifa, upotezaji muda au ujuha kuamka kila siku asubuhi kufagia uani kwako, mbele ya nyumba yako au katika biashara yako kama hakuna pavement blocks, sakafu ya zege,/cement, tiles au lami. Unakuta mtu anatimua vumbi mtaa mzima kwa minajili kwamba anafagia kufanya...
  14. Abraham Lincolnn

    Video; Wanafunzi wakifanya mitihani wakiwa wameketi chini nje kwenye vumbi

  15. ngara23

    Ligi ya Muungano kuanza kutimua vumbi Aprili 23, 2024

    Ligi ya Muungano limerejea sasa litaanza kutimua vumbi 23/4/2024 Kwa Tanzania bara zitashiriki team mbili ambazo ni Simba na Azam pia upande wa Tanzania visiwani zimetoka KMKM naKVZ. Yanga hatashiriki mashindano haya kwa kuwa hakualikwa labda angealikwa angebeba kombe lenyewe na mtani msimu huu...
  16. Sildenafil Citrate

    SI KWELI Maziwa fresh ni tiba ya sumu ya vumbi linaloingia kwenye mfumo wa upumuaji

    Umewahi kunywa sumu yoyote ile kimakosa kisha baadhi ya watu wakakushauri utumie maziwa fresh kama sehemu ya tiba? Madai ya maziwa fresh kuwa na uwezo wa kuondoa sumu mwilini yamekuwepo wa muda mrefu. Katika kujadili ufanisi wake, mdau mmoja wa JamiiForums amekosoa vikali tiba hii kwa kusema...
  17. comte

    Maandamano ya amani! takwimu zinaonyesha yaweza kuishia kwenye machafuko

    Armed Conflict Location & Event Data Project (ACLED) provides that while a majority of the events analysed did not feature contestation by competing sides, roughly 7 per cent involved some sort of interaction. The police or military were deployed in 5 per cent of events, a substantial number at...
  18. peno hasegawa

    Nimepata kusomea Ratiba ya Makonda mikoa 20, anapita barabara zenye lami tu? Kwenye barabara za maeneo yenye vumbi hakuna wanaccm?

    Huyu bwana ni msaani! Anatumia Kodi na fedha za chama kupitia na gari Kila mkoa Kwa siku Moja! Cha kunifurahisha Sasa , hapiti maeneo yenye matatizo mfano , maeneo ambayo hakuna maji, shule, barabara, umeme bali anapitia maeneo ya barabara kuu penye lami TU. Cha kujiuliza huko kusiko na lami...
  19. Erythrocyte

    Profesa Janab ukithubutu kukubali kuwa Katibu Mkuu wa CCM, heshima yako itapukutika kama vumbi la majivu

    CCM kwa sasa ndiyo mahali ambako Waungwana wote wanaoingia huko moja kwa moja, wanageuka na kuwa kituko. Nafahamu kwamba wewe Profesa wangu ni CCM, lakini suala la wewe kuwa Katibu Mkuu wa ccm litakuondolea heshima yako yote uliyojijengea kwa miaka yote, hicho chama kimekwisha na wala huwezi...
  20. Stephano Mgendanyi

    Chege Cup Kuanza Kutimua Vumbi Mkoa wa Mara Desemba 2023

    CHEGE CUP NGAZI YA MKOA KUANZIA KUTIMUA VUMBI DESEMBA 2023 NDANI YA WILAYA YA RORYA MKOA WA MARA "Nimeamini tunaweza kutengeneza timu nzuri sana ya Wilaya ya Rorya na tukashindana kokote. Michezo ya leo siyo mwisho, lengo ni kukimbizana na Michezo ya Fainali ambayo tunaenda kuandaa Chege Cup...
Back
Top Bottom