familia mlioko TZ vipi JF mnaipata vyema huko? Maana burn yao walisema inaisha leo, au bado hamuipati mpaka mhame nchi? Maana serikali yetu hii bila kukumbushwa hamna kazi hapo.
Wakuu kwema? Wale wenye Droid VPN hakuna hata dakika 1 mtandao ulisumbua, napenda kufahamu orodha ya VPN nyingine zilizoweza kuhimili kadhia ile ya vilaza, najua kuna uwezekano wa internet kutolewa Dar na Arusha kwa nia ya long range point to point radio links kama tulivyo ahidiwa, lakini nivema...
Nimeamka leo asubuhi VPN yangu ikawa imejizima nilipolala. Kabla sijaiwasha kwa bahati mbaya nikawa nimebonyeza notification moja ya Twitter. Heeeh, cha kushangaza ikafunguka, narudi nyuma na kurefresh TL yangu nashangaa kila kitu kinafanya kazi bila shida.
Nikaingia Tiktok nako vilevile, kila...
Ni elimu tu
Simu ambayo inaweza kukaa chaji siku nzima, ukiwasha vpn chaji inashuka kwa speed kali sana,
Ukiendekeza matumizi haya kwa muda mrefu unaua battery
Kwa wimbi hili kubwa la matumizi ya vpn hata unaponunua simu used hakikisha unajiridhisha na ubora wa battery
TRA walisema wafanyabiashara walioko online au wanaofanya biashara online walipe kodi ni sahii kwa asilimia 100
Siku za hivi karibuni kuna site unahitaji VPN ili uaccess jamiiforums ni mojawapo swali hawa watu wanaofanya biashara sehemu kama jamiiforums na twitter wanatakiwa kulipa kodi...
Kwa mujibu wa taarifa za NetBlocks, takwimu za moja kwa moja zinaonyesha kuwepo kwa vikwazo vikubwa kwenye mitandao ya kijamii na programu za ujumbe nchini Tanzania, hata baada ya huduma za intaneti kuanza kurejea taratibu kufuatia kukatikwa kwa mtandao kwa zaidi ya siku tano tangu Oktoba 29...
JamiiForums Kenya, JamiiForums TanzaniaKazi ya VPN
Naomba nijaribu kueleza matumiz ya vpn kwa uchache sana
Vpn haipo kwa ajili ya kuleta mtandao mahala ambapo hakuna mitandao kwa maana ya internet
Vpn ni mahususi kwa ajili kuingia kwenye website ambazo zimekuwa restricted ku access
Mfano jf imefungiwa ili usipate wala kuona maudhui yake...
GT
Haya mambo haya walizani tunatania kubabake sasa ni mwendo wa VPN Mpaka kieleweke
Pia soma > GE2025 - Mitandao ya YouTube, TikTok na Signal imeliwa kichwa kama X na Telegram. Facebook, Instagram na WhatsApp kufuatia?
Ni wazi kuwa matumizi ya mtandao yameminywa sana Tanzania kwa sababu za kisiasa zinazowekwa kwenye mtazamo wa kiusalamaua na kimaadili, tumefikia kipindi mtu anahitaji kutafuta mbinu za kuweza kupata taarifa kutoka kwenye majukwaa muhimu ya habari kama X na hata sasa Baada ya kusitishwa kwa muda...
Jamani rafiki zangu jilipotea nikijua nina shida kwenye app yangu hahaha na nilijua labda JF wameniblock jaman kumbe na huku mpaka VPN hahahha.
Ila fisiemu wanatangatanga jaman, kwani hamtaki kukosolewa mbapokesea? Watu hawataki kupiga kura kwanza maana hawawataki so mkae kwa kutulia, VPN...
Naona humu kuna watu wanapambana kudownload VPN ili waingie Jf kusapoti na kupigia debe wale walio ipiga pini, yaani wandeleze uchawa wao hata kwa VPN.
Hizi haziwezi kuwa akili zakawaida, yaani kwa normal akili ni jambo lisilo wezekana aisee.Kwamba mtu ananinyima uhuru wa kujieleza ila...
Ndugu zangu tupewe nini tena? Hapa Tungekinya ukishaweka VPN unaona vyote duniani. Huna haja ya kukimbizana na wapiga mizinga ni mwendo wa bundle, sabuni na mkono wako tu
Hello ndugu zangu,
Am back from cell, nilikua sielewi why siwezi reach jf tena then nikagundua baada yakuingia jf Facebook kuwa kuna Barn, then @Tatizo_la_pre_ejaculation akanitonya baada ya kuanzisha group lengine la kutoa huduma na elimu ya afya kwakua yeye alishakuwa kwenye cycle yangu...
Kwa heshima kubwa, tungependa kuwafahamisha kwamba katika ulimwengu wa teknolojia ya mawasiliano, hatua za kuzima au kufungia domain moja ya tovuti si suluhisho la kudumu.
Tunajua mna uwezo wa kufanya deep packet inspection (DPI) na kufungia domain..
Lakini hilo lisiwape kiburi..
Jamii ya IT...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.