vpn

  1. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania VPN imenirudisha tena JF

    Hello ndugu zangu, Am back from cell, nilikua sielewi why siwezi reach jf tena then nikagundua baada yakuingia jf Facebook kuwa kuna Barn, then @Tatizo_la_pre_ejaculation akanitonya baada ya kuanzisha group lengine la kutoa huduma na elimu ya afya kwakua yeye alishakuwa kwenye cycle yangu...
  2. 100 others

    JamiiForums Tanzania Tunaiheshimu sana TCRA lakini hatushindwi kutumia mitandao iliyofungiwa pasipo kutumia VPN

    Kwa heshima kubwa, tungependa kuwafahamisha kwamba katika ulimwengu wa teknolojia ya mawasiliano, hatua za kuzima au kufungia domain moja ya tovuti si suluhisho la kudumu. Tunajua mna uwezo wa kufanya deep packet inspection (DPI) na kufungia domain.. Lakini hilo lisiwape kiburi.. Jamii ya IT...
  3. LUKAMA

    JamiiForums Tanzania VPN: Mungu awabariki wazungu kwa hii kitu

    Kwema hapo wakuu, nimekaa nje ya JF toka waifungei Sasa natafakari tangazo la kuifungia JF Kuna statement moja inasema hatutapatikana ndani ya Tz kwa muda wa siku tisini. Wazo likaja kumbe nikiwa Malawi naweza ipata JF, kwa Sasa nipo Malawi waku na wasalimu.
  4. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Lazima Kutakuwa na Wafanyakazi wa TCRA Wanaoendelea Kutumia JamiiForums kwa VPN

    Watu wa namna hiyo wanaitwa WANAFIKI, ni watu wabaya sana. Wewe si umezima, sasa unafuata nini huku? Si uende huko FB?
  5. Isaka James

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Imezuiwa Siku 90? TOR Ndiyo Suluhisho Bila Form ya TCRA!

    Habari za Jumapili wadau wa JamiiForums! Leo nimekujieni na hii thread, haswa baada ya jana kusikia kuwa JamiiForums imepigwa ban ya siku 90 na TCRA kwa kile wanachodai ni maudhui yanayopotosha! (Kulingana na taarifa rasmi za TCRA Septemba 6, 2025, hii suspension inaanza mara moja na...
  6. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Kimahesabu, hakuna tofauti ya kutumia VPN iliyosajiliwa TCRA na kutotumia VPN

    Ikiwa nisipotumia VPN, digital address yangu inakuwa uchi uchi TCRA wananiona eneo niliko na nafanya nini mtandaoni, then TCRA hao hao wakanilazimisha nitumie VPN ili kuzifikia baadhi ya huduma mtandaoni walizozifungia, utaniambiaje tena nijisajili kutumia VPN ili unione nafanya nini mtandaoni...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kufungiwa kwa JF ila utashangaa wale chawa nao wakaja wanatumia VPN kueleza mama kaachia uhuru

    Hii nchi kuna watu akili hawana hawa chiembe ChoiceVariable Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa usije shangaa baada ya mda wanakuja na nyuzi zao kusifu CCm. Kama mnabisha subiri mjionee na wao wanatumia VPN
  8. Mafunzo ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Ukiongalia idadi ya Guests ambao wapo online , ni kubwa sana leo licha ya watu kutumia VPN

    Muda mwingine serikalini kuna watu wanashangaza hawaoni kuwa wameipa Promo JF ya bure Ebu tazamane maudhurio yalivyo Makubwa Leo muone wenyewe.
  9. bob_fundi

    JamiiForums Tanzania Unatumia VPN gani?

    Habar za muda huu . Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu. Na hali inayoendelea sasa JamiiForums tuambie unatumia VPN gani kuingia kwenye hili jukwaa. Mm natumia thunder VPN ipo vizuri inanisaidia X zamani twitter na hapa JamiiForums. Tuambie wewe unatumia ipi hivi ikitokea moja imezingua tuwe...
  10. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Tunateleza na VPN sasa hapa JF

    Mambo ni mengi mda ni mchache twende kazi
  11. brave Mwafrika

    JamiiForums Tanzania VPN gani nitaitumia?

    Habari za jioni, naomba kujua nitumie VPN gani ili niweze kutumia network for free?? Mimi natumia laini ya Halotel pamoja yas
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kauli ya diamond na ommy kama mashaikh,basata,TCRA,JESHI LA POLISI, wasipojitokeza kumuonya basi ndo haya haya wanayoendeleza kubariki huu utawala

    Ni kwamba sasa washatuzarau kuonesha wanakula keki ya taifa na watala wa CCM mpaka kufikia steji ya kututukana. Hivi kwa nini wananchi na mashabiki kuweka ajenda kuunfollow na kutosupport kazi zake.
  13. Isaka James

    JamiiForums Tanzania Jaza Form ya TCRA Usijepatwa na Shida, Serikali Inakufuatilia Vipi? (Watumiaji wa VPN Special Thread)

    Habari wadau wa JamiiForums, Leo nimekuja na kichwa moto kuhusu hili swala la VPN ambalo limekuwa likiwaka kama moto wa gari la maji mitandaoni! Tangu 2023, serikali kupitia TCRA ikawavunja moyo wengi kwa kusema kila mtu anayetumia VPN, iwe mtu binafsi au kampuni, lazima ajaze form rasmi ya...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mnapozima Internet, Wanaoteseka ni nyie CCM. Watoto wa Kambo tuna VPN🤣

    Nashauri wahusika waache kunajisi Ofisi za Umma. Matumizi mabaya ya madaraka. Yaani kichaa kapewa rungu.. Ofisi za Umma waosimamia Tehama hawana hekima wala utu. Mnakata internet ili wananchi wasojue kinachoendelea. Matokeo wanaoteseka ni CCM wenyewe na Wananchj wasiojua nini I mnafanya...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna tatizo gani la kimtandao huko X? Ni ngumu kuingia huko hata kwa kutumia VPN

    Kumekuwa na changamoto za kuingia kwenye mtandao wa X . Je wanajukwaa tatizo hili ni mkakati tu wa dola kuzuia wakosoaji ama ni matatizo tu ya KIMTANDAO?
  16. I

    JamiiForums Tanzania Je, VPN ni kweli inalinda faragha yako? Au ni mbinu ya kibiashara inayouzwa kwa hofu badala ya ukweli?

    Katika miezi ya karibuni, Serikali ya Tanzania imekuwa ikichukua hatua za kusitisha au kudhibiti upatikanaji wa baadhi ya mitandao ya kijamii kama Telegram na X (zamani Twitter) hususan nyakati za uchaguzi, maandamano, au mijadala mikali ya kisiasa. Hatua hizi huchukuliwa kwa jina la “usalama...
  17. X

    JamiiForums Tanzania X (twitter) wameondoa mahudhui ya porno/ngono kwa wanaotumia VPN zinazosoma hosts mataifa ya Ulaya na U.K

    Kuondolewa kwa chudai ni kutokana na EU na UK kutaka age verification kwa watumiaji, hivyo wamepiga kufuli au censorship kwa mahudhui yote ya ngono. Majanja wa Ulaya na Uingereza wamekuwa waraibu wa porno kwenye X (twitter) Kwa wale wapenzi wa video za kirumi au pilau, watasha wanaita adult...
  18. Black nyeti

    JamiiForums Tanzania Wapenzi na watumiaji wa VPN tukutane hapa wale wa free internet kuna VPN zinanguvu sana na ndo zinanifanya muda wote sikauki online

    Wale ambao kununua bando kwao ni kipengele kuna VPN ambazo unaweza kuzitumia kama mbadala wa kununua bando. Kwa wale ambao tuliwahi kutumia VPN kama 1. ursa net vpn 2. biddinet vpn 3. ommanova vpn 4. geo tunnel vpn Sina shaka nafikiri munaelewa. sasa kuna VPN zingine mbali na hizo...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo kesho wanaachia X? Maana walisema hawajaifunga let us wait and see

    Wanakana hawajafunfa tweeter, ngoja tuone kama kesho tutaipata bila VPN! Proof ni moja: Ikipatikana bila VPN ujue walikuwa wameifunga
  20. R

    JamiiForums Tanzania Maria space leo haipatikani, naona hata VPN haifanyi kazi. Kwenu vipi? Hata JF kufunguka ni shida

    Maria kama inawezekana uwe una rwecord unatuwekea kwenye youtube. Naona wamebinya walposikia Heche atahutubia........ tumekwisha
Back
Top Bottom