vizuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Mnaoandika R badala ya L Ni kwamba hamuoni vizuri ama?

    Wale wa chakura, Kurara, kumariza, kura, arisema, arikuwa. Binafsi nikishaona mtu anaandika hivyo nampunguzia alama.
  2. JamiiForums Tanzania Masingle Mothers wakimjua Mubabazi Ambae yuko vizuri na hajaoa au haishi na familia wanatamani kunasa kwenye Jimbo

    Sina mengi ya kusema ila sisi wakataa ndoa na kuoa wanaume ambao Age yetu ni level ya Mubabazi basi huku mtaani patashika ukiwa mtu wa gusa achia tumepachikwa Cheo Cha Ubahili. Wewe huyo bahili ndiomana anatabia ya kumalizana yaani Gusa Achia, hataki kugandana huyo yeye anakupa chako usepe...
  3. JamiiForums Tanzania Utasikia "Hybrid zinatumia mafuta vizuri mjini, ila ukienda highway zinatumia vibaya sana!"

    Usilahumu gari, mlalamikie dereva. Na ilikua 36 km/L sema kuna sehemu barabara ikawa inatengenezwa tukawa mwendo wa kobe ndio ikashuka hadi 32 km/L.
  4. JamiiForums Tanzania Viwanja vizuri vinauzwa,loliondo-kilimahewa, Kibaha(Pwani)

    ....
  5. JamiiForums Tanzania Hisa Zilizofanya Vizuri Zaidi - 2024

    ✅ Tanga Cement (TCCL) – Faida ya 93% Hisa ya Tanga Cement iliongoza kwa ongezeko kubwa la thamani, ikipanda kwa asilimia 93 mwaka 2024. ✅ KCB Bank (KCB) – Faida ya 108.57% Hisa ya KCB Bank, ambayo ni kampuni iliyoorodheshwa pia katika masoko mengine, iliongezeka kutoka TZS 350 hadi TZS 730...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kwa uzoefu wangu ni majina ya AMOSI wengi wana uelewa mdogo kiasili ,huwa hawako vizuri kwenye reasoning,ni wazito kiakili, na ni wakurupukaji sana

    Hili ni baada ya kuwafahamu kina amosi wengi sana nilio kutana nao katika maisha yangu ya kawaida , nadhan ndugu msomaji hebu na wewe wakumbuke kina amosi ulio kutana nao kwenye maisha yako kisha toa ushuhuda.
  7. JamiiForums Tanzania kama unataka kiwanja nunua kipindi hiki cha mvua ulijue eneo vizuri

    usinunue kipindi cha kiangazi kama unataka kiwanja tafuta msimu wa mvua eneo unaliona vizuri kama lina asili ya matope au kuna maji yanapita chini kwa chini ili kuepuka changamoto.Na bora matope kuliko ununue kiwanja sehemu ambayo ni wetland.kiangazi hutagundua .
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kutaka kila mtu akuongelee vizuri ni kutafuta msongo wa mawazo kuwa mwema ila usijali watakavyokuongelea

    KUTAKA KILA MTU AKUONGELEE VIZURI NI KUTAFUTA MSONGO WA MAWAZO KUWA MWEMA ILA USIJALI WATAVYOKUONGELEA Zama zinaenda kasi na vifo vitokanavyo na matokeo ya msongo wa mawazo vikiongezeka ikiwemo kujiua au shinikizo la juu la damu hata magonjwa ya moyo. Msongo wa mawazo hautoki mbinguni bali ni...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini kwenye nyumba za kupanga ujenzi wa vyoo vizuri hauzingatiwi?

    Ujenzi wa choo kizuri na salama kwa matumizi sio jambo linalozingatiwa sana hasa kwenye nyumba za kupanga hasa hizi za bei za kawaida (10K-150K). Unakuta nyumba nzuri na mazingira n mazuri ila chooni utadhani kulisahaulika wakafosi kujenga ili choo kiwepo. Vyoo vingi ni vidogo sana, na namna...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Lissu mnacho mfanyia shujaa wenu sio vizuri

    Hero wenu Lissu amekamatwa na nyinyi mmekaa Kimya hamfanyi chochote. Please ingieni barabarani Lissu aachiwe. Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno
  11. JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto ajitabiria kuwa baada ya miaka mitano atakuwa mwanamke wa ndoto yake, atastawi kiuchumi, mwenye furaha na aliyefanikiwa

    Hamisa Mobetto ajitabiria kuwa baada ya miaka mitano atakuwa mwanamke wa ndoto yake, atakua kiuchumi, mwenye furaha na aliyefanikiwa Baada ya kutoa kauli hiyo walimwengu wameenda mbali na kusema kuwa wanaelewa anachomaanisha, wanasema kuwa anamaanisha hivi sasa yupo kwenye shamba la AK baada ya...
  12. JamiiForums Tanzania Hangaikeni naye vizuri..

    Ni mzalendo wa kweli Ni mpenda haki Ni mcha Mungu wa kweli... Lakini ni mzee wa rula.. Hapendi konakona Hangaikeni naye vizuri, atawafaeni huko mbeleni.. Nyie na wana wenu na vizazi vyenu Ni mtu mwema mwenye kibali machoni pa Muumba wetu.. Hangaikeni naye vizuri ni kizalia cha Ibrahim Troule...
  13. JamiiForums Tanzania KWA MTINDO HUU HEZBOLLAH INABIDI WAJITAFAKARI VIZURI.

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon katika mahojiano na waandishi wa habari: "Tuliweka wazi kuwa msaada na ujenzi mpya utakuja mara tu silaha zote nchini Lebanon zitakapokuwa mikononi mwa serikali." Kimsingi anasema kwamba ujenzi upya wa kusini mwa Lebanon na Dahiya utaanza tu baada ya Hezbollah...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna jamaa hapa mtaani anashinda ndani asubuhi mpaka usiku ila anakula na kuvaa vizuri kazi yake haijulikani

    Wakuu hapa mtaani Kuna jamaa tunashindwa kumuelewa aisee kiufupi kama mnavyojua Ili mtu uishi vizuri ni lazima ufanye kazi Sasa huyu mshikaji yeye anashinda ndani asubuhi mpaka usiku akitoka kutembea siku Moja Moja na hapo ni misele tu kijiweni sio kwamba labda anaingia kazini ila anakula...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Taja maneno ambayo yanatumiwa sana na watu wasiojua lugha ya kiingereza vizuri

    Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye elimu
  16. JamiiForums Tanzania ZINGATIA HAYA MMBO, UISHI VIZURI

    Kuna njia tulipita ndefu,zenye maumivu Makubwa na majuto, tusingependa nawewe upite huko! 1) Upo shule/ Chuo achana na issue za mapenzi,zitakupotezea focus ,kukupa stress na gharama 2) Upo mtaani epuka Mahusiano ya Kila unaye muona,ukilala na wanawake/ wenaume wengi unakuwa na majuto mengi...
  17. JamiiForums Tanzania Simba ndiyo wakali wa hizi kazi, inafuzu kwenda nusu fainali vizuri tu

    Ni kweli, njia ambayo Simba imetumia kufuzu ni ngumu sana. Baada ya kuona goli la ugenini halipatikani, badala ya kuendelea kulilazimisha ilitakiwa kujihami zaidi ili walau irudi ikiwa na deni la 0-1. Yote kwa yote, yaliyopita si ndwele. Sitaki tena kuangalia kilichotokea kule Misri. Hizi mechi...
  18. JamiiForums Tanzania Karibu upate kuhifahamu Vizuri Biashara ya 'Car wash' Gharama za vifaa pamoja na faida kwa kila gari, ndogo, kubwa ,pikipiki na bajaji.

    Wakuu habari . Mimi ni kijana mtafutaji age 20s (Early) ambaye nipo natafuta fursa ya kufanya Kazi katika 'Car wash" Ila pia Endapo atapatikana MTU anahitaji kuwekeza katika huu mradi nipo tayari kufanya nae Kazi kwa makubaliano maalumu yenye tija kwa pande zote kwangu na kwake. Hivyo...
  19. JamiiForums Tanzania Nimewahi kuishi mwaka mmoja bila kufanya kazi yoyote ila nilikuwa nakula vizuri , nalipa kodi , nasaidia ndugu na wazazi

    Katika MAISHA kuna mambo mengi Nilikaa mwaka mmoja bila Kazi ya kuamka Ahsubui Ila mishe mishe za udalali Mara yes Mara no Ila nilikuwa nakula Navaa Nalipa kodi Nasaidia ndugu na wazazi Pasipokufanya Kazi yoyote ya mshahara Kipindi hiki nilijifunza kuwa haitaji kufanya Kazi kwa bidii ili...
  20. JamiiForums Tanzania Watu wanaofanya vizuri online hapa Tanzania, utakubaliana na ukweli kwamba wanajua sana kuhusu sales and marketing.

    Ukifatilia watu wanaofanya vizuri online hapa Tanzania, utakubaliana na ukweli kwamba wanajua sana kuhusu sales and marketing. Biashara zote za online zinahitaji uwe na uwezo mzuri wa kutafuta wateja. Hii ndiyo siri ya mafanikio yao. Fanya hivi ili kupata sales 1. Kutengeneza Authority kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…