Kwakweli hili swali limejibiwa vizuri na Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika.
Lissu: Kuna kosa mtu akisema, “Msimamo huu unaashiria uasi”?
Mnyika: Sioni kosa, kwa sababu nilishawahi kuona nukuu ya Mwalimu Nyerere akiwaambia vijana:
“Tunataka katika taifa hili vijana waasi dhidi ya mifumo...