Usipomfanya vizuri mpaka kiuno kikateguka na utando ukatoka lazima awe na kinyongo.
Lazima aishi kwenye wimbi la hasira.
Kuna wanaume wamejisahau, wanadhani wakimpa mimba mwanamke ndiyo wamemfikisha mlima Kilimanjaro.
Unaweza kuzaa watoto 10 yet ndani ya miaka 20 ya ndoa yenu ikawa umemfikisha...
Muislam kufa akipigia nchi yake au dini yake kwake huona ufahari mkubwa.
Wakati wa mtume kuna vijana wadogo walikua wakimuomba mtume waende vitani ili waue au wakafe huko huko.
Kuna waislam wakifa vitandani walikua wakilia wakitamani sana wafe ktk vita.
Wakiristo wakiwaua waislam wanaona kama...
Habari wakuu! Nina shida na fundi mzuri wa auto electrical mwenye cheti kwa ngazi ya diploma sio lazima awe vizuri kwa upande wa practical, uzoefu ataupata kazini!!
Kama unamjua mtu wa namna hiyo au ni wewe mwenyewe unaweza Kuja dm au comment namba ya simu, nitakupigia
KUTOTUMIA MIGUU YAKO VIZURI KUTAKUFANYA UZEEKE MAPEMA NA HARAKA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Forever young kama ndio unataka kuonekana na kuwa hivyo basi hii mada inakuhusu Sana. Yaani unataka uonekane Siku zote kijana shupavu usiyezeeka.
2. Wakati wengine wa rika lako wakizeeka na...
Rais wa Marekani, Donald Trump, ameashiria kuwa serikali yake bado inalenga kuiondoa madarakani serikali ya Cuba, licha ya vita vinavyoendelea kati ya Israel na Marekani dhidi ya Iran kuingia wiki ya pili sasa tangu Februari 28, 2026. Akizungumza Jumatatu, Trump alisema Wizara ya Mambo ya Nje ya...
Kwa hapa Africa maeneo mengi yenye muonekano mzuri ni maeneo ya mijini. Hapo kwenye miji yetu kidogo utakuta kuna mitaa ya kishua, kuna town centre iliyokaa unyama, yani miji yetu huwa na baadhi ya mitaa mizuri at least, ingawa bado inasumbuliwa na slums pia
Sasa ukija kwenye vijiji vyetu, ni...
Sanaa ya ukunaji ni wachache wamejaliwa nayo .Ukunaji sio lazima uwe dushe kubwa ila ufundi tu Asa utakuta unampatia mwanamke unamkuna vizuri mpaka anaridhika ila huna mavumba huwezi kutatua mambo yake ya kifedha apo unamchanganya sana mwanamke.
Mheshimiwa Spika wa JF. kwanza napenda kumpongeza mungu kunichagua mimi kuwa mbunge na kumshukuru mama kunipitisha kwa ushindi wa kishingo.
Kwa kweli mama mitano tena. Tumeona maendeleo ambayo amefanya toka uhuru hayajawahi fanyika.
Swali kuu. Je baada ya kampeni kali za kumtembeza Mch...
Kauli ya Samia kumuita Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Ki-Petro Magoti kuwa kinafanya vizuri huko Kisarawe ni sawa na kumdogodisha.
Najaribu kuwaza, mtu kama John Heche angemuita DC wa Kisarawe Ki-Magoti (Ki-Petro) kutokana na ulemavu wake, naamini watetezi wa haki za binadamu huko sisiem leo mapovu...
Rais haramu ni yule anaye fanya wajibu usio muhusu na hata akifanya vizuri kwa mazingira kama haya hawezi kusifika kabisa ni haramu.
Raisi samia asifiki ni haramu kwenye hiyo nafasi ameuwa watanzania wengi sana na kuteka watu wengi sana kwenye utawala wake haijawai kutokea mtu kama huyu huwezi...
Traditionally chakula huwa tunakula pamoja it means kwamba msosi unawekwa kati mnakula wote sasa watu wanakula vibaya sana yaani ukichukua nyama na yeye anachukua anatafuna vibaya then anarudia nyingine kama mashindano fulani ivi, aisee mjilekebishe ulaji wenu sio mzuri kama mnakimbizwa kupanua...
Nikiwa naperuzi mtandaoni nimeikuta hii orodha ya mikoa
SAT ni idadi ya wanafunzi waliofanya mtihani
Nimeshangaa sana kuona kuna mikoa ambayo hatuizungumzii sana imefanya vizuri na kuna mikoa ambayo ilikuwa navuma hapo zamani lakini kwa sasa hali ni mbaya,
Dar es salaam shule za day zina...
Tangu tarehe 29.10.2025 ,Tanzania ilipata doa ,nchi ilichafuka ,Taifa limelaaniwa.
Hatuwezi kupata chochote kama Taifa tuka toboa .Iwe mpira, muziki ,biashara na uwekezaji .
Tunahitaji toba ya kweli kutoka hapa.
Simba na YANGA mwambieni Rais wenu aombe toba Kwa Mungu
Changamoto hii inasababishwa na nini?
Kiss FM
RFA
CLOUD FM
CAPITAL RADIO
RADIO ONE
TBC 1 N.K
Hizi ni moja ya radio zilizosikika vizuri sana iwe kwenye simu au radio yenyewe.
Radio zibgine kama wasafi fm, na chipukizi zote hazisikiki vizuri ukiwa kwenye gari au ukiwa na simu au radio kuna...
Ufaulu Umepanda.
Futatilia hapa.
https://www.youtube.com/live/uwbLeIIRXOc?si=m-Iyj06qeAYHlPCl
Kupata Matokeo fungua link hii: https://matokeo.necta.go.tz/results/2025/csee/index.htm
---
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia...
Sioni kama ni vyema mashabiki zetu kuwa na chuki na sisi wasanii wenu,wasanii wa mataifa mengine wameendelea kwa sababu mashabiki wa Nchini kwao wanawasapoti kwa moyo mmoja"Amesema Jux
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.