viwanja

  1. JamiiForums Tanzania Viwanja vya ndege vyalipuliwa huko Ukraine

    Makombora zaidi ya 20 yamepiga mji wa Lviv na Stryi na kulipuwa uwanja wa ndege za kivita na kulipua air defence Kambi za mafunzo , maghala ya silaha na visima vya mafuta kwa Sasa mji unawaka moto ili kuweza kuwachoma wanamgambo wa Ukraine walijificha kwenye mapango [🖼 Telegram channel...
  2. JamiiForums Tanzania Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

    1. Maryland Bar, ITV, Mwenge. 2. Hongera Bar, Shekilango Road, Kijitonyama. 3. Chagga Bite Bar, Makumbusho. 4. Mori Bar, Sinza. 5. Nakaleshi Bar, Sinza Madukani. 6. 5N Night Club, Sam Nujoma Road, opposite Mlimani City 7. Karembu Bar, Barabara ya Tano, Soko Matola, Mbeya. 8. Meeda Night Club...
  3. JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Yataka Maeneo ya Viwanja vya Ndege Yawe na Hatimiliki

    KAMATI YATAKA MAENEO YA VIWANJA VYA NDGE YAWE NA HATIMILIKI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imeitaka Serikali kuhakikisha inasimamia upatikanaji wa hatimiliki za maeneo ya Viwanja vya Ndege vyote nchini ili kudhibiti uvamizi katika maeneo hayo na kupelekea ucheleweshaji wa utekelezaji...
  4. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vinauzwa Turiani Morogoro

    VIWANJA, VIWANJA. viwanja vinne vikubwa vinavyouzwa katika eneo la Turiani, Morogoro vyote vipo block b karibu na barabara kubwa,Viwanja hivi vina ukubwa wa square meter 1150, 1270, 1149, na 2478, vyote vina hati . Viwanja vimezungukwa na huduma muhimu kama maji, hospitali, na umeme. Viwanja...
  5. JamiiForums Tanzania Kama mliaminishwa kufungua Chaneli ya WhatsApp ni Mafanikio, sasa watawaaminisha Viwanja vya Mikoani ndio chanzo cha Matokeo Mabovu

    Mkishaonwa HAMNAZO mtakuwa mnapewa kila sababu na mtakubali because nyie ni HAMNAZO. Yaani jitu linavuta Oxygen hii ya buree saiv zaidi ya miaka 20 halijawahi ilipia linakuja danganywa kuwa tunapata matokeo mabovu viwanja vya mikoani kwa sababu wachezaji wetu hawako comfortable na viwanja hivi...
  6. JamiiForums Tanzania No consistency no ubingwa viwanja tutahama sana safari hii

    Uwezi kutegemea ubingwa Kama timu yako aina mwendelezo wa kupata matokeo, Leo timu inadroo kesho inapigwa keshokutwa inashinda! Timu zinazocheza kibingwa zinapata matokeo ata zikiwa kwenye Hali ngumu kudondosha alama kibwege ni marufuku! Sasa timu imekimbia kutumia chamazi kwamba auwapi matokeo...
  7. JamiiForums Tanzania Priscus Tarimo alilia maboresho viwanja vya Soka na gofu

    Kilimanjaro, Serikali imeahidi kutuma watalamu kwa ajili ya kufanyia tathimini uwanja wa michezo wa Memorial ulioko Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro ili kuuwekea nyasi mbadia na kuwezesha uwanja huo kutumika kwa ajili ya mechi za kitaifa. Kauli hiyo imetolewa na waziri wa utamaduni...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Tusipokuwa makini AFCON 2027 itatukuta hatujajenga viwanja vyetu vya mpira!

    Ni chini ya miaka mitatu sasa kabla ya AFCON 2027 kufanyika na tunajua Tanzania, Kenya na Uganda watakuwa wenyeji wa mashindano hayo maarufu barani Africa. Tuliambiwa Tanzania itajenga viwanja vipya vya mpira Arush na Dodoma. Ujenzi wa viwanja vizuri na vikubwa vya kimataifa huchukua muda...
  9. JamiiForums Tanzania Picha ya Siku, imepatikana kwenye Msiba wa Lowassa

    Huyu ni kiongozi wa Taasisi ya Mama ongea na Mwanao Steve Nyerere, akisaini kitabu cha Maombolezo nyumbani kwa Lowassa, huku akilindwa na Mgambo wa UVCCM, wanaofahamika kama GreenGuard.
  10. JamiiForums Tanzania Watu wenye maeneo au viwanja huwa wana maringo, nyodo na dharau

    Watu wenye maeneo, wanapoamua kuuza, au unapoamua kutafuta kiwanja, yaani wanao miliki viwanja au maeneo huwa wanaringa sana, wanapotaja pesa utadhani wanataja majani au kitu kilicho rahisi sana. Kukipata! Wanaongea kwa kujiamini, lipa nusunusu utamalizia hiyo milioni 2, 3 au 4 utamalizia Baada...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Shughuli ya kuaga mwili wa Hayati Edward Lowassa Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kwenye shughuli kuaga mwili wa Edward Lowassa inayofanyika leo tarehe 2/23/2024 katika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam. https://www.youtube.com/live/aF_0GKdRJYI?feature=shared Salamu kutoka kwa viongozi mbalimbali Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Washindi wa Kilimanjaro Marathon kuzawadiwa viwanja kutoka Lapex Properties

    Lapex Properties imetangaza kuwazawadia viwanja mshindi wa kiume na wa kike wa mbio za kilometa 42 za Kilimanjaro Premium Lager International Marathon 2024. Zawadi hizi zinatolewa kwa kushirikiana na mdhamini Mkuu wa Mbio za Km 42- Kilimanjaro Premium Lager na waandaaji wa mbio hizi. Tangazo...
  13. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vinauzwa roundabout ya East Africa chini Njiro - Kwa Mkono

    Nauza Viwanja kwa bei nafuu . 10 kwa 10 ml 1500000 15 kwa 10 ml 2500000 Hivi vipo karibu na barabara ya huko sio lami Ndani kwa ndani Ml laki 1 unapata 10 kwa 10 20 kwa 20 ml 7 mpaka 10ml Heka Inaanza ml 50 nusu heka ml 20 Mahitaji yote ya kijamii yapo kutoka impala mpaka kwa mkono ni km 5...
  14. JamiiForums Tanzania Uuzwaji wa viwanja vya serikali mtandaoni ni hatua kubwa sana

    Ukiingia kwenye huu mfumo wa Tausi kupitia tausi.tamisemi.go.tz una vitu vingi sana ndani japo vingine naona havifanyi kazi. Nimefurahishwa sana na uuzaji wa viwanja ambapo unanunua kiwanja unakiona kwenye ramani kama ilivyo google map, tofauti na ile ya kwenye karatasi. Wengi tuna viwanja...
  15. JamiiForums Tanzania Iran warusha satelite 3 kwa mpigo na kwa mafanikio.Saudi Arabia wafungua bar ya mwanzo ya ulevi na viwanja vya kujirusha.

    Baada ya majaribio kadhaa kushindwa kuingiza satelite kwenye orbit,leo Iran imefanikiwa kurusha satelite 3 kwa mpigo na kwa mafanikio. Mafanikio hayo yamekuja siku chache baada ya taifa la Saudi Arabia kutangaza kufungua duka kubwa la kisasa la kuuzia ulevi. Iran successfully launches 3...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Malipo ya kodi ya viwanja kwa simu

    MSAADA: MALIPO YA KODI YA VIWANJA. Nimejaribu mara nyingi kulipia kiwanja changu kupitia namba ya mtandaoni *152*00# bila mafanikio. Kama kuna mwenye kujua njia mbadala anisaidie au tumerudia njia yetu ya zamani kwenda dirishani ofisi za ardhi na kupewa control number. Msaada tafadhali.
  17. JamiiForums Tanzania Wamiliki wa viwanja na sehemu za starehe mnashindwa nini kuwa na utaratibu wa kuandaa 'BLIND DATES'

    Mimi similiki biashara ya kiwanja au sehemu ya starehe lakini professionally mm ni Asset manager, business and financial advisor. Na kwa bahati mbaya sana sina mteja ambae anamiliki biashara aina hio. Lakini hebu nyie wamiliki tumieni akili, mnapoteza sana muda kwa kudhan kuajiri wadada wenye...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usimtumbue Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya ndege; apongezwe kwa kusimamia Reciprocity kwa manufaa mapana ya biashara zetu

    Kuna wanaharakati wanaanza kushinikiza Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya ndege aondolewe. Kumwondoa nikudhoofisha kujiamini kwa wateule wa Mhe. Rais. Barua ya kusitishwa kwa safari za ndege za KQ iliyotolewa na Bwana Johari imeeleza mambo makuu mawili ya msingi. 1. Kukiukwa kwa makubaliano...
  19. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja viwili vinauzwa Mwanza

    Habari za majukumu wanazengo mada inajieleza. Viwanja vipo miti mirefu, Malimbe-Mwanza Ukubwa 70×35m, kimoja kina hati ya ardhi na relevant document kinauzwa 55 mil. Cha pili hakina hati sababu mwenye nacho hakumaliza process ktk halmashauri ya jiji akawa amefariki kinauzwa mil 32. Vyote...
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kufokasi Katika Uwekezaji Wa Viwanja/Mashamba/Majengo

    Kufokasi ni msingi mojawapo muhimu sana sana kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo. Bila kufokasi kwenye maeneo nitakayoainisha hivi punde haiwezekani kujenga himaya ya utajiri kwa wakati muafaka. Fokasi ni kuchagua njia/mbinu moja ya kuwekeza kwenye ardhi na majengo mpaka kupata mafanikio ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…