vituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI/UTUMISHI saidieni watumishi walipwe haki zao pindi wanapohamishwa vituo vya kazi

    Ni kawaida sana kwa Mtumishi anapohamishwa kituo Cha Kazi uchelewa/kutolipwa kabisa gharama za kujikimu na kubeba Mizigo kwenye halmshauri nyingi. Mtumishi anakaa miezi 6, mwaka au zaidi bila kulipwa! Kuna mwingine alilipwa kidogo kidogo kwa miaka 5, kweli hii ni aibu na kumdumaza Mtumishi...
  2. D

    JamiiForums Tanzania EWURA inatia aibu kufungia vituo vya mafuta visivyouza

    Habari Wananchi Ifahamike kwamba Siyo jukumu la serikali kulazimisha kuuza! Ewura kama mdhibiti mkuu anatakiwa afanye kazi kisomi siyo kikoloni! Ifahamike Ewura hana shea yoyote kwenye mitaji ya wafanyabiashara ya mafuta: Wakati mfanyabiashara anatafta mtaji huwa peke yake, Anapotafta eneo...
  3. JamiiForums Tanzania Jerry Silaa na Daganya Toto kwenye ujenzi wa Vituo vya Mafuta

    Mara zote huwa nasema CCM bado wanaendelea na siasa za koshamba sana. Wana mbinu amabazo hata mtoto wa darasa la pili lazima ajue kafungwa kamba. Jerry slaa anataka kutuaminisha kwamba tatizo la ujenzi holela la vituo vya mafuta lilikuwa ni tatizo la wazori husika siyo serikali jambo ambalo...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Jerry Silaa apiga marufuku ujenzi holela wa Vituo vya Mafuta

    Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge wa Ukonga Dar es salaam @JerrySilaa ametangaza kusimamisha ujenzi holela wa Vituo vya mafuta Nchini Tanzania na kutaka ujenzi wowote unaofanywa kuanzia sasa kuzingatia sheria ya kutovisonganisha vituo. Waziri Silaa...
  5. JamiiForums Tanzania Uhaba Kifaa Cha Kuchunguza VVU Kwenye Vituo Vya Afya Zanzibar Unaathiri Vijana Kutambua Afya Zao

    KUMEKUWA na uhaba wa wa kifaa cha uchunguzi wa Virusi Vya UKIMWI ( HIV Kits) katika vituo vya afya vya serikali Zanzibar jambo ambalo limepelekea huduma ya upimaji wa Virusi Vya UKIMWI kusita. Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika ziara iliyofanywa na Chama cha waandishi wa Habari Wanawake...
  6. JamiiForums Tanzania DOKEZO Tabora Mjini hali tete, mafuta hakuna! Maji hakuna

    Niendee moja kwa moja kwenye mada husika! Mkoa wa Tabora hivi sasa ninapoandika uzi huu, uko kwenye taharuki kubwa ya kukosa mafuta! Hali ni mbaya hapa mjini, petro station moja tu mji mzima inatoa huduma ya mafuta! Hakuna kiongozi yoyote wa chama (CCM) au serikali ambaye ametoa ufafanuzi...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Wakurugenzi wa TISS na wa Vitengo vyao Wakiharibu au Wakimaliza Utumishi huteuliwa kuwa Mabalozi wa Vituo au wa Heshima tu?

    Kuna nini labda huwa Kimejificha juu ya Wao Kuteuliwa kuwa Mabalozi na Waheshimiwa Marais wanaokuwepo Madarakani? Ni matumaini yangu makubwa leo GENTAMYCINE nitapata Mrejesho kutoka kwa Wajuvi ( Team Kujua Masuala Mtambuka ) ili nami nielimike katika hili.
  8. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO DAR: Vituo vya daladala Morogoro Road hakuna sehemu ya abiria kupumzikia

    NIMEKUWA nikiliona hili jambo kwa muda mrefu, nikaamua leo niliweke hapa pengine na wewe uliwahi kuliona lakini kama ukaona freshi tu. Ukipita Morogoro Road, njia ambayo mabasi ya mwendokasi ndiyo yalianza kufanya kazi zake hapa Dar es Salaam, utagundua kwamba vituo vya daladala za kawaida...
  9. JamiiForums Tanzania Tangazo la fursa ya mkopo nafuu - ujenzi na uendeshaji wa vituo vidogo vya mafuta maeneo ya vijijini

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imedhamiria kuanzisha mpango wa kuwezesha ujenzi wa vituo vipya vidogo vya mafuta (petroli na dizeli) vya gharama nafuu maeneo ya vijijini ili kuondoa madhara yatokanayo na njia zisizo salama. Wakala unakaribisha waomabaji wenye vigezo kuomba...
  10. JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu wa kamera za ulinzi (cctv camera) katika vyombo vya usafiri wa umma na vituo vyake hapa nchini

    UTANGULIZI Suala la usalama wa abiria ndani ya vyombo vya usafiri ni muhimu sana na linapaswa kupewa kipaumbele zaidi tofauti na jinsi ambavyo limekuwa likisimamiwa na mamlaka husika (Road traffic police), maana abiria ni watu na watu ndiyo nguvu kazi ya taifa letu katika mambo yote. Lakini si...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali Kujenga Vituo vya Polisi Kupunguza Vitendo vya Uhalifu Kata ya Machame Mashariki

    Kutokana na kuripotiwa kwa matukio mengi ya uhalifu ambayo yamekuwa yakisababishwa na wananchi wenyewe kwa wenyewe Serikali imedhamiria kujenga vituo vya polisi kwaajili ya kupunguza matukio ya uhalifu ambayo yamekuwa yakiripotiwa ya mara kwa mara. Hayo yamesemwa na Naibu waziri Wizara ya Mambo...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko madogo ya vituo vya kazi

    1. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Me. Samia Suluhu Hassan amewateua wafuatao: Amemteua Bw. Tito Philemon Mganwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe; na Amemteua Bw. Mussa R. Kilakala kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Kaliua Mkoa wa Tabora. Aidha, Mhe. Rais...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali Imejenga Vituo Maalum vya Urekebu na Ufundi Stadi ili Kuwasadia Wanaoathirika kwa Kutumia Dawa za Kulevya

    WAZIRI JENISTER MHAGAMA - SERIKALI KUJENGA VITUO VYA MAFUNZO KWA WARAIBU DAWA ZA KULEVYA Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama amesema Serikali imejenga vituo maalum vya urekebu na ufundi stadi ili kuwasadia vijana na wale wote...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Vituo vya afya 807 nchini kujengewa wodi za wagonjwa

    Katika mwaka wa fedha 2024/25 serikali omesema itaanza ujenzi wa wodi za kulaza wagonjwa katika vituo vya afya 807 nchini kikiwamo Kituo cha Afya cha Kihangara wilayani Nyasa. Akijibu swali la msingi la Mbunge wa Nyasa, Stella Man-yanya (CCM) bungeni Dodoma jana, Naibu Waziri, Ofisi ya Rais...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali Kujenga Vituo vya Afya Kata ya KIA, Muungano, Mnadani, Uroki na Weruweru katika Halmashauri ya Hai

    SERIKALI KUJENGA VITUO VYA AFYA KATA YA KIA, MUUNGANO, MNADANI, UROKI NA WERUWERU KATIKA HALMASHAURI YA HAI Serikali kupitia ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa imedhamiria kujenga vituo vya Afya Kata ya KIA, Muungano, Mnadani, uroki na Weruweru katika Halmashauri ya Hai na kutoa...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali Inaendelea Kuangalia Fursa kwa ajili ya Kuwawezesha Wanawake Kuanzisha Vituo Mahususi vya Uwekezaji na Masoko kwa Wanawake katika Kata

    NAIBU WAZIRI EXAUD KIGAHE - SERIKALI INAANGALIA FURSA KUWAWEZESHA WANAWAKE KUWEKEZA KATIKA KATA Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe amesema Serikali inaendelea kuangalia fursa mbalimbali kwa ajili ya kuwawezesha wanawake kuanzisha vituo mahususi vya uwekezaji na...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali kutumia bilioni 500 kujenga vituo vya kupoozea umeme

    Katika bajeti ya mwaka huu Serikali imetenge Shilingi bilioni 500 ambazo kupitia mradi wa Gridi Imara itajenga vituo vya kupooza umeme katika maeneo 13. nchini. "Kwenye maeneo yenye shida zaidi, tunaishukuru Serikali ya Awamu ya Sita imetoa fedha kwa ajili ya kutekeleza mradi wa gridi kwenye...
  18. P

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Vituo vya mwendokasi ya Mbagala vinajengwa chini ya kiwango

    Kichwa cha uzi kinajitosheleza, wahusika chukueni hatua mapema. Zege lilotumika cement ni kidogo sana, limeanza kubomoka kabla ya matumizi. Screws, bati na zile bars miaka miwili tu zitakua zishahalibika na kutu.
  19. JamiiForums Tanzania Video: Ni ngumu kuitenga CCM na Vituo vya Radio na TV

    CCM inapendwa na kila mtu. Watangazaji , waandishi, wasa nii n.k Angalia hii video nambie nani haimbi?
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini PSSR siku hizi wanaita watu kazini kwa awamu badala ya mkupuo kama ilivyozoeleka?

    Kwanini PSSR siku hizi wanaita watu kazini kwa awamu, badala ya kuita wote kwa mkupuo kama ilivyozoeleka? Yaani mfano, tumeomba kazi mwezi wa 5 mwaka jana, tukaitwa interview mwezi wa kwanza na wa pili, placement ndio inafanyika sasa lakini kwa awamu. Watu tumefanya usaili siku moja, halafu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…