viti

Viti Levu (pronounced [ˈβitʃi ˈleβu]) is the largest island in the Republic of Fiji. It is the site of the nation's capital, Suva, and home to a large majority of Fiji's population.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Norah Waziri Mzeru (Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Morogoro) Atembelea Katika Shule ya Sekondary Lupanga Mkoani Morogoro

    Mbunge Norah Waziri Mzeru (Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Morogoro) Atembelea Katika Shule ya Sekondary Lupanga Mkoani Morogoro Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru amewaasa wahitimu wa Kidato cha Nne Katika Shule Ya Sekondary Lupanga Mkoani Morogoro wasome kwa bidii kwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Vita Ukraine inagharimu viti vya watu

    Wana JF, nilikuwa nawaza hivi kwanini House Speaker wa Merikani kang'olewa kwenye kiti? Wapo badhi ya watu wanasema ni kutokana na kusaliti wana Republican wa chama chake na kuwa mtiifu kwa Rais aliyopo kutoka chama cha Democrats mpaka asione utitiri wa misaada ya mabiliion ya Dolla zinazotumwa...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu Mstaafu wa Kenya: Bunge lina Watu wengi mno, Viti Maalumu Vipunguzwe

    Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Kenya, Githu Muigai amesema hayo wakati akitoa maoni mbele ya Kamati ya Kitaifa ya Maridhiano na kueleza kuwa baadhi ya nafasi za Ksiasa zinapaswa kupunguzwa ikiwemo idadi ya Kaunti ambazo zinaongeza mzigo wa gharama Serikalini. Muigai amesema Mapendekezo ya...
  4. JamiiForums Tanzania Meatu: Aliyekuwa Mbunge wa CCM ahamia CHADEMA

    Taarifa kutoka kwenye Oparesheni 255, ambayo iko Shinyanga zinaeleza kwamba, Mbunge wa Viti Maalum na Mkuu wa Wilaya wa zamani wa Meatu amehamia CHADEMA. Usajili huo Mpya umefanyika katika Mkutano Mkubwa wa hadhara uliofanyika Meatu . TOA MAONI YAKO
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Mbeya Bahati Ndingo Ajiuzulu, Ili Kugombea Nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbarali

    Spika wa Bunge Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (Mb) amemwandikia Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Jacob Mwambegele barua ya kumuarifu kuwepo kwa natasi moja wazi ya kiti cha Ubunge Viti Maalum Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mheshimiwa Spika ameandika barua hiyo kufuatia kupokea barua...
  6. JamiiForums Tanzania Nimeambiwa jirani yetu yupo mbunge wa viti maalum anaishi hapo

    Habari wana jf Ndio hivyo. Huwa naona Landcruiser moja (v8 bila shaka) inapita sehemu na inaingia mjengo fulani hivi. Sasa juzi hapa katika stori za mtaani ndio nikathibitishiwa anaishi mbunge wa viti maalum. Huwa pia namsikia akitajwa kwenye masuala ya jumuiya (dini) ila sijawahi kumwona...
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Pwani, Subira Mgalu

    MBUNGE SUBIRA MGALU AKIWA KATIKA ZIARA MBALIMBALI NDANI TANZANIA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu ameendelea na ziara mbalimbali na kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM katika mikoa mbalimbali nchini. Mhe. Subira Mgalu katika kilele cha Sikukuu ya NaneNane ametembelea...
  8. JamiiForums Tanzania Wabunge viti Maalumu Katavi watoa Milion 6 Maendeleo ya Chama na UWT

    Wabunge viti Maalumu Katavi watoa Milion 6 Maendeleo ya Chama na UWT. WABUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi wametoa shilingi Milioni 6 Kwaajili ya kusaidia Maendeleo ya Chama na Jumuiya ya UWT ili kuhakikisha Chama na Jumuiya ya UWT zinaendelea kuimalika. Wabunge wa Viti maalumu Mkoa wa...
  9. JamiiForums Tanzania Mbunge Zuena Bushiri CCM Viti Maalum Kilimanjaro ashindwa kujibu maswali ya Mkataba wa DP world na Serikali kwenye mkutano wa UWT

    Kuna kundi la Wabunge wanawake wanapita wakiitisha mikutano ya UWT kule Kilimanjaro. Changamoto inayowapata ni kubwa na wanaonewa huruma. Wanachapwa maswali na wanashindwa kujibu. Kwa hali hii CCM ijitafakari na inatumie mbinu Chagua na nyingi ila kufanikiwa ni ziro. Jana tarehe 30.7.2023...
  10. JamiiForums Tanzania Milioni 29 Zatolewa na Mbunge wa Viti Maalum Katavi Kuwainua Wanawake Kiuchumi

    MBUNGE MARTHA MARIKI ACHANGIA MILIONI 29 VIKUNDI VYA WANAWAKE KATA ZOTE ZA KATAVI ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki tarehe 03 Julai, 2023 ameanza ziara rasmi kutembelea Kata zote za Mkoa wa Katavi na kuzungumza na wananchi. Katika ziara...
  11. JamiiForums Tanzania Mbunge Viti Maalum CHADEMA Ammwagia Sifa Rais Samia Bungeni

    Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Matiko amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendeleza miradi mbalimbali ya maendeleo aliyoikuta pamoja na kuanzisha miradi mipya huku akipendekeza maslahi ya askari magereza yaboreshwe. Hayo ameyasema leo Alhamis Juni 22, 2023 wakati akichangia mjadala wa...
  12. JamiiForums Tanzania Kuendelea kuimba na kusifu maridhiano wakati viti maalumu waliojiweka wakiendelea kuwa bungeni. Anayewaelewa CHADEMA aje apa afafanue

    Binafsi sielewi kwanini CHADEMA wanaamini katika haya maridhiano wakati swala dogo kabisa Kama la viti maalumu wanadai kuwafukuza wakiwa bungeni. Kesi mahakamani haiishi na wanaendelea kuwa huru na kuaminiana na CCM. Binafsi siiamini viongozi hawana uelewa Mpana. Kuna Jambo nyuma sisi...
  13. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana anayetokea Zanzibar Mhe. Latifa Juwakali Wakati Akichangia Hotuba ya Bajeti Wizara ya Elimu

    MBUNGE LATIFA JUWAKALI AKICHANGIA HOTUBA YA BAJETI WIZARA YA ELIMU 2023-2024 BUNGENI JIJINI DODOMA Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana anayetokea Zanzibar Mhe. Latifa Juwakali amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa maono makubwa na jinsi...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum, Bupe Mwakang'ata: Naomba Serikali ianzishe Mashamba ya Mbegu hapa nchin

    MBUNGE BUPE MWAKANG'ATA AKICHANGIA HOJA YA BAJETI YA WIZARA YA KILIMO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa Mhe. Bupe Mwakang'ata tarehe 09 Mei, 2023 alichangia hoja ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo iliyosomwa Bungeni na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe. "i. Mfano, sisi Mkoa wa Rukwa Mbegu...
  15. JamiiForums Tanzania TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yateua watatu viti maalum vya udiwani

    TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imefanya uteuzi wa Madiwani watatu (3) Wanawake wa viti maalum kuziba nafasi zilizoachwa wazi katika Halmashauri tatu za Tanzania bara. Uteuzi huo umefanyika kwa mujibu wa kifungu cha 86A (1) cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292 kikisomwa...
  16. JamiiForums Tanzania Sylivia Francis Sigula - Mbunge Viti Maalum kupitia kundi la Vijana

    Mhe. Sylivia Francis Sigula - Mbunge Viti Maalum kupitia kundi la Vijana Mhe. Sylivia Francis Sigula, Mbunge Viti Maalum kupitia kundi la Vijana tarehe 05 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia suala la Tanga Cement na Twiga Cement wakati wa kuwasilishwa kwa hoja ya bajeti ya Uwekezaji, Viwanda...
  17. JamiiForums Tanzania Jackline Ngonyani: Nashauri mchakato wa Twiga Cement kuinunua Tanga Cement uanze upya

    Mhe. Jackline Ngonyani, Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma Mhe. Jackline Ngonyani, Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma tarehe 04 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia suala la Tanga Cement na Twiga Cement wakati wa kuwasilishwa kwa hoja ya bajeti ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara iliyosomwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya wanaume hukaa kwenye viti kwa kutumia mgongo

    Ni utafiti binafsi. Niende moja kwa moja kwenye mada. Vijana wengi wataathirika na tabia ya ukaaji inayotokana na matatizo ya kisaikolojia. Kutojiamini na msongo wa mawazo kunawaathiri vijana wengi hivyo utawaona wanavyotembea na zaidi ukaaji wao kwenye viti, sofa, kwenye magari, madaladala na...
  19. JamiiForums Tanzania Mbunge Furaha Matondo akabidhi viti mwendo 70 Wilaya zote Mkoa wa Mwanza

    MBUNGE MHE. FURAHA N. MATONDO AKABIDHI VITI MWENDO 70 KWA WALEMAVU KWA WILAYA ZOTE, MWANZA Mbunge wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Mwanza Mhe. Furaha N. Matondo katika ziara yake aliyoifanya Wilaya zote za Mkoa wa Mwanza amekabidhi Viti Mwendo 70 kwa watu wenye ulemavu Mkoa wa Mwanza. Hafla ya...
  20. JamiiForums Tanzania Mbunge wa viti Maalumu ana msaada gani kwa wananchi?

    Salamu wana Jf Matumaini yangu mama atausoma huu Uzi Kuna mbunge wa viti Maalumu wa ccm jina kapuni,bungeni ajawahi kutoa hoja za kueleweka,tunaishi nae mtaa mmoja ni mama wa makamo hivi.baada ya kupata ubunge wa kusaidiwa ana dharau Sana hata salamu hatoi tutakutana 2025 Sehemu tulikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…