vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Vita ya zile 'hewa' imeondoka na awamu ya tano au itaendelea tena tukiingia awamu ya saba?

    Nimekumbuka namna hayati JPM alivyoanza kupambana na mishahara hewa mara tu baada ya kuapisha baraza lake la kwanza la mawaziri. Ikawa ni vita iliyochukua sehemu kubwa ya awamu yake. Mishahara hewa, kodi hewa, malipo ya ustaafu hewa. Alikuwa akirudia sana katika hotuba yake namna nchi hii...
  2. JamiiForums Tanzania Raia wa Urusi ni wahanga wakuu wa vita inayoendelea

    Raia wa urusi ni wahanga wakuu wa vita inayoendelea sasa, awali waliaminishwa kuwa vita ina nia njema ya kuikomboa nchi dhidi ya wanazi na kuwa itachukua muda mfupi lakini sasa haijulikani itaisha lini FUATILIA HAPA As war drags on, weary Russians yearn for a return to normal life Robyn Dixon...
  3. JamiiForums Tanzania Video: Baadhi ya wabunge wa Urusi bila uwoga waanza kukosoa hivi vita na kuagiza vikomeshwe

    Wadai taifa linazidi kupoteza wanajeshi na watoto wao wamebaki mayatima kwa vita ambavyo havina tija yoyote
  4. JamiiForums Tanzania VITA YA UKRAINE: Urusi yazingira kitovu cha viwanda

    Kramatorsk. Vikosi vya Russia vinavyohusika katika mapigano makali mashariki mwa Ukraine vimeuteka mji wa kimkakati wa Lyman na kuzingira kituo kikuu cha viwanda, Moscow imedai. Hata hivyo Ofisa wa Ukraine amekanusha kuwa mji wa Severodonetsk ambao ni kitovu cha mapigano makali ya wiki...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Vita ya Urusi na Ukraine: Kiulinzi wa nchi yetu tunajifunza nini?

    Nionavyo silaha zote tunazotumia ni za kizamani na hazifai kabisa kabisa katika mapambano ya kivita vya kileo. Kuna Hapasoniki, kuna drones,kuna thermobaric ambayo inapoteza oxyen kutoka centre point ya mlipuko kwa kilomita 2 na nusu, kwa maana atakaekuwa ndani ya eneo hilo maisha yake ndio...
  6. JamiiForums Tanzania Vita nyingine kati ya China na Taiwan yanukia, USA kuingilia kati

    Dunia inakabiliwa na tishia la kuzuka kwa vita nyingine Kati ya China na Taiwan. China inadai Taiwan ni sehemu yake huku Taiwan wakisema wao ni Taifa huru sio sehemu ya China. Wakati huo huo Biden ameapa kutumia nguvu za kijeshi kuisaidia China ikiwa China itafanya uvamizi. Mamia ya Meli vita...
  7. JamiiForums Tanzania Hii Vita isiyo rasmi na ya chini chini yenye Mafumbo mengi baina ya Maaskofu wa Katoliki Tanzania na Mtume Mwamposa naiona peke yangu au?

    Sasa ni mwendo wa Mafumbo na Kukomoana tu.. Baadhi ya Maaskofu wa Katoliki.. "Wakatoliki mnaokwenda kwa Mwamposa ni Wendawazimu na tutaanza Kuwatenga Kanisani Kwetu kwani hatupendi Waumini wanaotangatanga wakati katika Ukatoliki kuna kila Kitu" Mtume Mwamposa wa Kanisa lisilo na Jina na...
  8. JamiiForums Tanzania Makundi ya wanajeshi wa Urusi waanza kugomea vita vya Putin

    Huyu kichaa ataachiwa apigane mwenyewe.... Kuna wanajeshi wameamua liwalo na liwe hawapigani. _________________ More Russian soldiers refuse to fight in Ukraine Prepared to face consequences, many Russian troops are disobeying their officers and are not willing to go to Ukraine...
  9. JamiiForums Tanzania Vita Ukraine itaisha na zile billion za ruzuku kwenye mafuta hatutaona manufaa yake.

    Salama wandugu,si ajabu zile billion zilizotolewa kwa ajiri ya kupunguza Bei za mafuta tusione manufaa yake tutashangaa Vita Ukraine imeisha na Bei ya mafuta ipo palepale na billions zetu zimetumika na wajanja nimeamua kuja hapa baada ya kuona Hali ni tete kwenye usafiri wa umma wameanza mwendo...
  10. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari wa Kiitaliano, Angelo d'Orsi adai Mgogoro wa Ukraine ni Vita kati ya NATO dhidi ya Urusi

    "Anyway, this is a NATO war against Russia..." ameyasema hayo mwanahabari na mwanahistoria Angelo D'Orsi kuhusu mgogoro unaoendelea Ukraine. Akizungumza na Italian TV, mwandishi huyo pia alikosoa vikwazo vya Magharibi dhidi ya Urusi, ambavyo vinaikumba Ulaya yenyewe. Pia alihoji "the fact"...
  11. 5

    JamiiForums Tanzania Germany: Urusi hawatashinda vita Ukraine

    Germany’s Scholz says Russia will not win the war in Ukraine German Chancellor Olaf Scholz says Putin has failed in all his strategic aims and will not dictate terms of peace. Russian President Vladimir Putin will not win the war in Ukraine, Germany’s Chancellor Olaf Scholz has said, while...
  12. JamiiForums Tanzania Ndege za kivita za China na Urusi zafanya mazoezi ya pamoja

    -Ndege za kivita za china na urusi zilifanya mazoezi ya pamoja katika bahari ya Japan na bahari ya china mashariki siku ya jumanne ya tarehe 24 May 2022 wakati viongozi wa “Quad”walipokutana Tokyo, waziri wa ulinzi wa Japan alisema. - Nobuo kishi alisema Tokyo imeeleza “wasiwasi mkubwa” kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Ukraine sasa kwisha kazi na vita iko karibu kusimamishwa

    Ukitilia maanani ushauri wa Henry Kissinger na kusikia kauli za kukata tamaa kwa viongozi wa Ukraine utaona ya kuwa Ukraine imeishiwa nguvu na haina tena wa kuisaidia. Hii inaweza ikawa ni habari nzuri kwa nchi za Ulaya na Ulimwengu kwa jumla kutokana na shida ambazo zimetokana na kuzuka vita...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Vita vya ufisadi, risasi zafyatuliwa kumtia nguvuni Senator

    EFCC WHISKS AWAY PRESIDENTIAL ASPIRANT OKOROCHA - ARISE NEWS REPORT Maofisa wa Kikosi cha Kupambana na rushwa nchini Nigeria ilibidi wafyatue risasi angani walipokuwa,wamezingira jumba la makaazi ya mwanasiasa anayetuhumiwa kufisadi fedha za umma N2.9 billion. Hali hiyo ilitokea baada ya...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya CEO Barbara: Jina liliondolewa na nani alipochaguliwa na CAF kwenye kamati?

    unakumbuka awamu iliyopita Mr Membe alipokuwa anatakiwa ale shavu la ukatibu mkuu jumuiya ya madola jina likaondolewa na host country yaani wakubwa wa awamu ya tano? Basi hayo yamejitokeza kwenye soccer ,kama unadhani walimsamehe Barbara Gonzalez kwa kuidindia ile deal ya kitapeli ya...
  16. JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema Urusi inatumia silaha dhaifu katika vita

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky anasema Urusi inatumia silaha zisizo na nguvu dhidi ya Nchi yake ni ishara ya kushindwa kwao. Amesema hayo baada Makamu Naibu Waziri Mkuu wa Urusi, Yury Borisov kudaia kuwa wana teknolojia yenye uwezo wa kuangusha ndege zisizo na rubani kwa umbali wa Kilometa...
  17. JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa: Janga la Chakula kutokana na vita vya Ukraine na Urusi linaweza kudumu miaka kadhaa

    Umoja wa Mataifa umesema Vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine imezidisha uhaba wa Chakula katika Mataifa masikini kutokana na kupanda kwa bei. Imeelezwa kuwa, baadhi ya Nchi zinaweza kukabiliwa na njaa ya muda mrefu ikiwa mauzo ya nje ya Ukraine hayatarejeshwa katika viwango vya awali...
  18. JamiiForums Tanzania Vita ya Urusi na Ukraine, Ujasusi, Majeshi na Uchumi

    Huu ni Mtazamo wangu TU. Katika vita zote kuna harakati kubwa mno nje na ndani ya uwanja vita,ambazo wanaopigana Kila mmoja hufanya ili kurahisisha kutaka kushinda vita.Harakati hizo ni Ujasusi. Watu wengi wamekua wakitoa maneno mbalimbali ya dharau na mashaka juu ya uwezo wa Kijasusi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Vita ya Ukraine - Urusi ina hadhi ya kuziangusha serikali za Ulaya na Marekani

    Wamarekani na wazungu wengi huwa hawajui kile serikali zao zinachokifanya kwenye mataifa mengine, lakini safari hii ni tofauti sana, wameanza kuufahamu upuuzi wanaofanya wanasiasa wao kwa wengine. Na hii ni baada ya maisha Yao kuguswa na kupanda kwa gharama za maisha kunakotokana na uhaba wa...
  20. JamiiForums Tanzania Kumbe hata Marekani inaathiriwa sana na vita vya Ukraine, Senator ampinga Biden

    Utelezi huu hata anaanguka. Msikilize huyu Senator Rand Paul anavyomkwamisha Joe Biden kupeleka msaada Ukraine rand paul $40b ukraine aid package
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…