vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. Bwana Mkubwa9

    JamiiForums Tanzania Hiroo Onoda: Askari wa Kijapan aliyeendelea kupigana WW2 kwa miaka 29 baada ya vita kuisha

    Wakati mwaka 1944 ukiwa unaelekea tamati, hii ni baada ya miaka zaidi ya saba ya vita, mambo yalikuwa yanaiendea kombo Japan.⁣⁣⁣ Uchumi wake ulikuwa umeharibika vibaya, jeshi lake lilikuwa limetapakaa karibia kila kona ya Asia bila kuwa na mfumo thabiti wa kimawasiliano na mipaka iliyokuwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mabeberu wanaitosa Ukraine mdogo mdogo baada ya kuona kina ni kirefu na vikwazo havijaizuia Urusi kuendeleza vita wala havijateteresha uchumi wake!

    Tumwombe Mungu vita hii ikome kwa maana mfaidika wa vita hii ni mmoja tu naye anaitwa shetani. Biblia imeweka wazi lengo la shetani ni KUCHINJA. KUUA na KUHARIBU na ndicho kinachofanyika kwenye hii vita. Na shetani anawatumia wote wanaohusika na vita hii ili kutekeleza agenda yake ambao ni...
  3. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wenye dunia yao hawawezi kukubali kamwe Mrusi ashinde vita

    Mrusi kushinda hii vita itakuwa ni tusi kubwa sana kwa US na mataifa makubwa barani ulaya. Haya mataifa makubwa yameshaonyesha wazi wazi kuwa yapo nyuma ya Ukraine, ila wanajificha tu kwenye mwamvuli wa kuisaidia Ukraine silaha, ila wapo deep sana kwenye hii vita. Ni kweli Ukraine itakuwa...
  4. COARTEM

    JamiiForums Tanzania Wamarekani wameanza kuonja Machungu ya Vita ya URUSI vs Ukraine

    Rais Joe Biden wa Marekani anailaumu Russia kwa kusababisha ongezeko la bei ya Mafuta na Gesi nchini mwake. zaidi soma hapa. ----- President Joe Biden has blamed Russia for the record-high gas prices in the United States, while pressing Congress to temporarily suspend the federal gas tax to...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya maisha kati ya Tanzania na Somalia ni vita, ila ugumu wa maisha huwenda ikawa bora zaidi kule Somalia

    Tuna amani, sawa..! Ila cha moto tunakipata Kwamba 10,000 inaishia kwenye lita moja tuu ya mafuta ya kupikia na tena ni ya kupima yenye viwango vya chini kabisa cha uzalishaji Kwamba ukiwa na 20,000 unarudishiwa 10,00 tu kwenye kilo kumi za sembe ambapo mahindi tunalima wenyewe Kwamba ukiwa...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Zelensky: Vita ya Urusi imefanya Afrika kuwa "Mateka"

    Akihutubia Umoja wa Afrika (AU), Rais Volodymyr Zelensky amesema Afrika ni "mateka" katika Vita ya Urusi dhidi ya Taifa lake, kwani kuzuiwa kwa usafirishaji wa Nafaka Ukraine kumepelekea uhaba ambao unaweka Mamilioni ya watu katika hatari ya njaa. Amesema inawezekana Vita inaendelea mbali na...
  7. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Kabla ya vita USD 1 ilikuwa sawa na Rubles 77, sasa hivi ni sawa na Rubles 55. Tunajifunza nini kutokana na hali hii kama Taifa huru?

    Tarehe 1 January 2022 dola moja ya Marikani (USD) ilikuwa sawa na Rubles 77 za Russia. Baada ya vita kati ya Russia na Ukraine mwezi Februari 2022, Russia iliwekewa vikwazo (sanctions) lukuki za kiuchumi na dunia inayoongozwa na Amerika na nchi za Ulaya. Lakini leo nchi hizi zilizoweka vikwazo...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Tangu kuanza kwa vita, makampuni 1,000 yamesitisha huduma Urusi, na mengine kuondoka kabisa

    Kwa kweli Putin ameamua kuharibu Urusi na kuirudisha nyuma mbali sana, hatari sana kwa nchi kuongozwa na akili za mtu mmoja, anafanya maamuzi na kuchemsha na kuharibu kila kitu kichizi chizi....... Since the invasion of Ukraine began, we have been tracking the responses of well over 1,200...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania NATO: Vita ya Urusi na Ukraine inaweza kudumu miaka kadhaa

    Katibu Mkuu wa NATO, Jens Stoltenberg ameonya kuwa Vita kati ya Urusi na Ukraine inaweza kuendelea kwa miaka kadhaa, ikielezwa Vikosi vya Urusi vinazidisha mashambulizi dhidi ya Ukraine eneo la Mashariki mwa nchi hiyo Amesema Mataifa yanatakiwa kuendelea kuisaidia Ukraine hata kama gharama ya...
  10. Gama

    JamiiForums Tanzania Kimkakati, Urusi imeshindwa vita ya Ukraine

    Nguri wa vita ADMIRAL RADAKIN kutoka nchini Uingereza ambaye pia ni mkuu wa majeshi amesema kuwa Klemlin imeshindwa vita kimkakati. Amesema kuwa Klemlin imetumia 25% ya nguvu zake na kupata ushindi kiduchu usiendana na rasilimali alizotumia. Ameeleza kuwa Klemlin inaendelea kupungukiwa na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe Ukraine imepewa silaha nyingi kuliko ilivyoomba: lakini kila siku inalilia silaha kama kisingizio cha kushindwa vita

    Ukraine imeelemewa katika uwanja wa vita japo kila siku inasingizia kuwa haina silaha za kutosha. Mwishowe nchi za magharibi zimeweka wazi kuwa Ukraine hadi sasa imeshapewa silaha nyingi sana kuliko kiasi ilichoomba!! Imepewa mifumo ya kushambulia vifaru kwa kiasi kikubwa mno kuliko idadi ya...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Urusi imeingiza Dola Bilioni 97 kwa kuuza nishati tangu vita ilipoanza

    Imeelezwa kuwa Urusi imeingiza takribani Dola Bilioni 97 kwa kuuza mafuta na gesi ndani ya siku 100 tangu kuanza kwa vita baina ya taifa hilo dhidi ya Ukraine. Utafiti huo umefanywa na Kituo huru cha Utafiti wa Nishati na Hewa Safi (CREA) ambacho kimeeleza kuwa Umoja wa Ulaya, Marekani na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa Mexico, nchi jirani kabisa na Marekani, ameikosoa vikali sera ya NATO katika vita vya Ukraine na kuiita ya 'kishenzi'

    Mexico’s president slammed NATO’s policy on the Russian invasion of Ukraine on Monday, calling it “immoral.” President Andrés Manuel López Obrador’s did not mention NATO or the United States by name, but his comments were the latest example of his party's ambiguous stance on the invasion...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Maisha ni vita, usikariri kutumia silaha Moja

    MAISHA NI VITA, USIKARIRI KUTUMIA SILAHA MOJA! Anaandika Robert Heriel Wataalamu WA vita watakubaliana na Mimi kuwa uwapo kwenye vita hakuna kanuni ya Moja Kwa Moja inayotumika, mtapigana kadiri adui ajavyo na kadiri Hali ilivyo, hakuna kukariri silaha Fulani ndio lazima uitumie kila sehemu...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Vita ya zile 'hewa' imeondoka na awamu ya tano au itaendelea tena tukiingia awamu ya saba?

    Nimekumbuka namna hayati JPM alivyoanza kupambana na mishahara hewa mara tu baada ya kuapisha baraza lake la kwanza la mawaziri. Ikawa ni vita iliyochukua sehemu kubwa ya awamu yake. Mishahara hewa, kodi hewa, malipo ya ustaafu hewa. Alikuwa akirudia sana katika hotuba yake namna nchi hii...
  16. Gama

    JamiiForums Tanzania Raia wa Urusi ni wahanga wakuu wa vita inayoendelea

    Raia wa urusi ni wahanga wakuu wa vita inayoendelea sasa, awali waliaminishwa kuwa vita ina nia njema ya kuikomboa nchi dhidi ya wanazi na kuwa itachukua muda mfupi lakini sasa haijulikani itaisha lini FUATILIA HAPA As war drags on, weary Russians yearn for a return to normal life Robyn Dixon...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Baadhi ya wabunge wa Urusi bila uwoga waanza kukosoa hivi vita na kuagiza vikomeshwe

    Wadai taifa linazidi kupoteza wanajeshi na watoto wao wamebaki mayatima kwa vita ambavyo havina tija yoyote
  18. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania VITA YA UKRAINE: Urusi yazingira kitovu cha viwanda

    Kramatorsk. Vikosi vya Russia vinavyohusika katika mapigano makali mashariki mwa Ukraine vimeuteka mji wa kimkakati wa Lyman na kuzingira kituo kikuu cha viwanda, Moscow imedai. Hata hivyo Ofisa wa Ukraine amekanusha kuwa mji wa Severodonetsk ambao ni kitovu cha mapigano makali ya wiki...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Vita ya Urusi na Ukraine: Kiulinzi wa nchi yetu tunajifunza nini?

    Nionavyo silaha zote tunazotumia ni za kizamani na hazifai kabisa kabisa katika mapambano ya kivita vya kileo. Kuna Hapasoniki, kuna drones,kuna thermobaric ambayo inapoteza oxyen kutoka centre point ya mlipuko kwa kilomita 2 na nusu, kwa maana atakaekuwa ndani ya eneo hilo maisha yake ndio...
  20. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Vita nyingine kati ya China na Taiwan yanukia, USA kuingilia kati

    Dunia inakabiliwa na tishia la kuzuka kwa vita nyingine Kati ya China na Taiwan. China inadai Taiwan ni sehemu yake huku Taiwan wakisema wao ni Taifa huru sio sehemu ya China. Wakati huo huo Biden ameapa kutumia nguvu za kijeshi kuisaidia China ikiwa China itafanya uvamizi. Mamia ya Meli vita...
Back
Top Bottom