Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.
Hatimaye Putin ameshinda Vita ya kiuchumi kati yake na Ulaya.C.E.O wa kampuni kubwa kabisa ya mambo ya uchumi Ulaya asema,"Ulaya hatimaye inaelekea katika mgogoro wa kibenki, kuanguka kwa viwanda, kaya na uchumi.Hii ni katika "wiki chache tu zijazo" amesema.
07 SEPTEMBA 2022 
Tuomas Malinen...
Wajuzi wa mambo!
Russia alitegemea jeshi la Ukraine lita surrender na kukubaliana na matakwa yao ikiwemo kutokujikurubisha na NATO na Ukraine kutumika kama njia ya kuishambulia Russia, lakini NATO naona wamelivaia njuga vilivyo kuanzia siraha nzito, taarifa za kiinterejensia pamoja na nguvu...
Fatma naona ana vita binafsi na Comrade Mwingulu, kweli swala la tozo angekuwa yeyote hata yeye Shangazi angefanya kama anavyofanya Comrade Mwingulu. Ndiyo kiapo chake kinavyotaka kupokea maelekezo ya mamlaka za juu yake mfano bunge na kutekeleza, kama hutaki maelekezo andika barua ya kujiuzulu...
Habarini wana GreatThinkers nimeona niwaletee hii baada ya kuona na kufuatilia mwenendo wa nchi yetu tangu ipate Uhuru.
Mungu ametubariki nchi nzuri yenye kila aina ya resources na wakoloni kuvutiwa sana na nchi yetu walianza Waarabu kwa kufanya biashara ya utumwa na biashara zao nyingine baada...
Ni moja ya nchi zenye sheria kali sana. Na misingi ya Kidini. Hii ni nchi ambayo inaheshimika sana Kidini. Hili suala linakuaje ndugu zanguni? Limekaaje kaaje?mbona silielewi?
Haya mambo yalianzia Pakistan miaka mingi kuwa ni nchi ambayo inafanya sana Biashara za Madawa ya kulevya. Ikaja nchi...
Na humo wameuawa kweli kweli pamoja na zana zingine lukuki, ni mwendo wa mbele kwa mbele, Ukraine wanajitoa mhanga vizazi vya kesho vitaendeleza jamii ila lazima wakomboe ardhi yao.... HIMARS zinarindima balaa.
Mrusi anajutia kishenzi, hajui pakutokea maana wanajeshi wenyewe wa Urusi hawana...
Ni siku ya tatu tangu kuanza kwa counteroffensive attack katika mji wa kherson na leo wameanza na Kharkiv, kwa kweli mimi kama team Russia kuna muda hata kuingia Twitter naogopa mana upepo sio mzuri sana upande wetu.
Wasiwasi wangu ni kua huenda NATO wameamua kupeleka jeshi kimya kimya mana...
Waziri wa ulinzi wa UK amesema kuwa mmpango wa Rusia wa kuongeza idadi ya wanajeshi ikijumuisha kuwabembelea wafungwa kuingia vitani hakutarajiwi kuongeza mafanikio katika mzozoz wake na Ukraine. Hii ni kutokana na kuwa Rusia imekuwa ikipoteza wanajeshi kwa wingi.
Kwasasa Rusia anataka...
TUACHE KUFARIJIANA; UMASIKINI NI LAANA!
Anaandika, Robert Heriel
Angalizo; Kama hutaki ukweli pita kushoto sio lazima usome, Kama hutaki andiko refu pita kushoto. Kama unapenda maneno matamu matamu! Pita kushoto, leo sina hayo maneno ya uongo uongo!
Ukweli usemwe! Ukweli ndio utakaotuweka...
Mnamo Februari 24, Urusi ilizindua uvamizi kamili wa Ukraine kutoka Belarusi kuelekea kaskazini, Peninsula ya Crimea iliyoambatanishwa na Urusi kuelekea kusini, na eneo lake la mashariki.
Vita hiyo imeua maelfu huku mamilioni ya watu wakiyahama makazi yao na kuharibu miji kadhaa.
Haya ndiyo...
Watoto 1,000 Nchini Ukraine wameuawa au kujeruhiwa vibaya tangu kuanza kwa vita baia ya taifa hilo na Urusi, Februari 24, 2022.
Shirika la Umoja wa Mataifa Linalohudumia Watoto (UNICEF) imesema ina takwimu za Watoto 972 waliouawa lakini idadi ya kweli huenda ikawa kubwa zaidi kwa kuwa...
Ushabiki tuache kando. Ambao kamwe hautatusaidia kupiga hatua mbele toka hapa tulipo.
Tukiwa kama bara tuna mikakati gani ya kufaidika au kujifunza kutokana na huu mzozo?
Tukiangalia kwenye kilimo biashara nk.
Ni ukweli usiopingika ,achilia mbali mahaba tuliyonayo ,maana kila binadamu ana chaguo lake ,pro NATO na pro Russia wote wana haki ya kuwa na mahaba ,kwa kadri ya ufahamu na mitazamo ya namna mbalimbali.
Ila sasa wakuu hii vita tuambiane ukweli tuu majira ya baridi ndiyo yatatoa matokeo halisi...
Urusi imemtuma rais wa Uturuki aongee na Zelensky watafute mbinu za kumaliza vita, hili limemshangaza sana maana siku zote ndilo lilikua ombi lake, hususan ile siku Urusi ilikua inajaribu kuparamia Kyev kabla kuangukia pua.
Asema hadi Urusi iwaondoe wanajeshi wake, ni mwendo wa mapigo tu...
Mashabiki wa ukraine achani uongo,zelensky anapewa dozi kutwa mara tatu licha kupewa msaada wa silaha na marekani na ulaya lakini msaada huo umeshindwa kufua daft kwa mziki mnene wa urusi
Maisha yamepanda, maisha ni magumu na hali ni mbaya sana kwa watawala katika kipindi hiki. Ni vigumu kuwashawishi wapigakura kuwa hali hii nguvu ni kwasababu ya vita ya Ukraine na Russia na sio uzembe na ufujaji wa viongozi wao. Kilichomwangusha Raila kwenye sanduku la kura ni kuungwa mkono na...
Aishutumu USA kwa kuipa Ukraine silaha ambazo zinampa shida kwenye kujaribu kuparamia Ukraine.
Sasa hivi Warusi wamekwama kwenye mahandaki inakua vigumu kupiga hatua maana mziki wa HIMARS umekua balaa.
=============
Russian President Vladimir Putin accused Washington on Tuesday of drawing out...
Mimi sio mtaalamu wa historia, ila kwa historia yangu ndogo niliyopata O-level ninaamini Tanganyika chini ya Ujerumani ingekuwa Taifa kubwa sana hapa Afrika zaidi ya hapa ilipo leo. Waliotuharibia walikuwa Waingereza waliokabidhiwa taifa leo. Hatukupaswa tuwe marafiki na waingereza. They were...
Jana mataifa ya Ulaya 26 yalikutana jijin Copenhagen, huku ajenda kuu ni kukusanya pesa kwa ajili ya kuisaidia zaid Ukraine, kwa haraka misaada ilifikia dola billion 5 za phase one, kiasi hicho kinakadiriwa ni kikubwa sana.
Silaha nyingi zimeshaanza kuingizwa Ukraine na Russia kwa upande wake...
Ndicho nachokiona, Marekani anatumia misaada kidogo kidogo lengo ni Ukraine asishinde wala asipigwe, yani vita iwe neutral wawe wanatwangana na mrusi, Nipe nikupe, Marekani akiona Ukraine anazidiwa anamtumia silaha , akiona anakaribia kupata ahueni anazima data rais wa Ukraine anaanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.