Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa leo amekabidhi mamia ya baiskeli kwa maveterani wa vita katika eneo la Maphisa, Kezi, ambako sherehe za maadhimisho ya miaka 46 ya Uhuru wa nchi hiyo zimefanyika Jumamosi hii.
Wakati makombora ya jeshi la Marekani yalipochana anga la Iran mwishoni mwa Februari, watu wa Afrika labda walikuwa hawaujui kwa undani zaidi mlango bahari wa Hormuz. Hata hivyo, wamejua haraka madhara ya vita hii – kupitia kupanda kwa bei ya mafuta, upungufu wa mbolea, na vyakula vinavyozidi...
Atheists wengi wanaposikia hoja ya Mungu kama Muumba wa ulimwengu wanajibu haraka kwamba "Ulimwengu ulikuwepo milele hauhitaji muumba."
Jibu hilo linaonekana rahisi. Linaonekana la akili. Linaonekana kama njia nzuri ya kukimbia swali zito.
Lakini ni sayansi sio mimi P h a r a o h sayansi...
Ndege ya Wing of Zion iliondoka Nevatim, na kuzua uvumi wa mapigano mapya.
Ripoti za Iran zinadai Tehran imepokea taarifa za kijasusi kuhusu shambulio la kushtukiza la Marekani na Israel baada ya Siku ya Uhuru.
Rais wa Iran asema nchi hiyo haitaachana na haki zake za nyuklia licha ya shinikizo...
Kumekuwa na chapisho linalosambazwa na watumiaji wa mtandao wa Facebook likidai kuwa Mohammad-Reza Naghdi, Kamanda Mwandamizi wa jeshi la Iran, amesema:
“Marekani haina cha kutupangia. Tunazalisha makombora kila siku, na yapo mengi bila kupumzika. Ikiwa vita itarejea safari hii, tutahakikisha...
Kwa mara ya kwanza tangu ktk historia Rais wa Marekani amekuwa akiongea kila dakika.
Leo anazungumza hivi kesho hivi. Leo ameomba mazungumzo tena na Iran
kumekuwepo na chapisho ambalo limechapishwa na baadhi ya watumiaji wa mitandao ya facebookk wakiwa na ujumbe unao nukuu kuwa bunge la iran limetangaza kuongeza mishahara baada ya vita
katika chapisho hilo ambalo lina nukuu inayosomeka "Baada ya Bunge kuidhinisha sheria mpya ya Malipo kada ya...
ulimwengu una mipangilio sensitive kama frequency ya redio ( ambapo ukibadikisha kidogo tu huipati channel hiyo ) ambapo kama ulimwengu ungekuwa tofauti kidogo tu hata kidogo sana uhai usingewezekana kabisa.
Mfano mmoja tu wa kuelewa:
Nguvu inayoshikilia atom pamoja inaitwa strong...
Professor Robert Pape msomi nguli kabisa wa sayansi ya siasa, hasa siasa za kimataifa kutoka chuo kikuu cha Chicago nchini Marekani anaandika. Huyu msomi amefanya tafiti kuhusu mahusiano ya Iran na Marekani kwa miaka zaidi ya 25 na aliwahi kutabiri huko nyuma kwamba endapo Marekani atavamia Iran...
Fikiria mtoto wa jirani yako mdogo, hana kosa alafu mtu mkubwa anamtesa kwa starehe zaake tu.
Jibu kwa uaminifu hilo ni baya, au ni opinion yako tu?
Kama ni opinion yako tu basi mtu anayesema 'kwangu ni sawa sio vibayya' hana makosa. anakua ana opinion tofauti tu.
Lakini hakuna mtu hapa...
Katika vita zote marekani hua anaingia na lengo tafauti na jinsi anavotaka ulimwengu waamini, kwa mfano MADURO alitolewa madarakanikwa sababu anauza mafuta kwa china, IRAN ndo muuzaji mkubwa wa mafuta kwa CHINA
Ukiangalia vita zingine kwa mfano IRAQ kisingizio ni "WEAPONS OF MASS DESTRUCTION"...
kumekuwepo na chapisho ambalio limesambazwa na chommbo cha habari cha Mwana habari kikiw na kukuu ya kuwa Israel hajafurahishwa na makubaliano ya kusitisha vita baina ya Marekani na Iran huku Israel
===
Israel haikujulishwa kuhusu mpango wa Marekani wa kufikia makubaliano ya muda ya kusitisha...
Habari wandugu....
Nafikiri wa kuona wameona na wakujifunza wamejifunza kuhusu vita ,vita ni nini tuanzie hapo kwanza. Vita ni matokeo ya pande mbili tofauti kujenga uadui na chuki ndani ya mioyo ya wahusika. Chanzo huenda pande moja kuanzisha mashambulizi ya ghafla vita huwa haipangwi kwamba...
Wanaukumbi.
Iran ilisema mapema Jumatano kwamba Marekani "kimsingi" imekubali pendekezo la pointi 10 linalolenga kukomesha vita, kulingana na ripoti za mtandao wa Utangazaji wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) unaoendeshwa na serikali.
Baraza Kuu la Usalama wa Kitaifa la Iran lilisema katika...
Nitaandika kifupi sana:ili nawe nikupe muda wa kutafakari.
Kama kuna wakati sahihi wa kujikwamua toka kwa watawala dhalimu waliojitwalia madaraka kwa mabavu, wakati huo ni sasa dunia ikiwa katika hatihati ya matatizo yatokanayo na vita; kama vile changamoto za kiuchumi.
Baadhi ya mataifa...
Hamjambo!
Iran amedhihirisha hana plan tena yoyote ya maana ya kulinda taifa lake. Yaani adui anakutishia kukushambulia unatoa mkeo na watoto ati wakae mbele ili kumzuia adui asipige. Kwa kweli hii haikutegemewa kabiss.
Iran amejitahidi kuonyesha uwezo alionao kupinga dhulma ya Mayahudi na...
Kuna watu wana comment kwa post hii kuwa usa akimpiga iran kwa nuclia sijui urusi, china , korea zitajibu
Thubutu hakiwezi kutokea icho zaidi sana ni malalamiko urusi ,china na korea watalaumu usa sio kumshambulia maana katika hawa hakuna ambaye atakuwa tayari kupoteza raia wao pia kwasababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.