MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,741
- 7,983
Habari wandugu....
Nafikiri wa kuona wameona na wakujifunza wamejifunza kuhusu vita ,vita ni nini tuanzie hapo kwanza. Vita ni matokeo ya pande mbili tofauti kujenga uadui na chuki ndani ya mioyo ya wahusika. Chanzo huenda pande moja kuanzisha mashambulizi ya ghafla vita huwa haipangwi kwamba tarehe flani tunaanza vita.
Mara nyingi anayeanzisha vita anashinda kama anayempiga hakujiandaa lakini kilichotokea Iran walijianda kikubwa kwa kujua adui yake ipo siku atamvamia. Ndio maana mapigo ya Iran kwenye kambi za Marekani yaliwashtua maadui zao, kufunga Hormz ndio kabisa hawakutegemea kama litatokea jambo Iran alishawahi tamka ila hawakujua matokeo yake,ndio maana mpaka sasa wanabaki kulaumiana kwa nini walienda Iran.
Hapa nataka kusema nini ni muhimu kwa Taifa kama Tanzania kujua adui yako ni yupi kivita kiuchumi, kielimu,kiafya, kwa mfano mafuta yakiwa na shida duniani Taifa litafanya kitu gani sio mpaka kufikiria au kujadiliana