Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.
Kuna watu wana comment kwa post hii kuwa usa akimpiga iran kwa nuclia sijui urusi, china , korea zitajibu
Thubutu hakiwezi kutokea icho zaidi sana ni malalamiko urusi ,china na korea watalaumu usa sio kumshambulia maana katika hawa hakuna ambaye atakuwa tayari kupoteza raia wao pia kwasababu...
Unapo ona taifa lolote limeanza kupiga Energy Infrastructure, Bridges, kiujumla miundombinu ujuwe limeisha zidiwa au yamezidiwa. Ukifatilia hi vita tokea mwanzo wao wakipiga civilian target Iran anapiga na yeye kulipisha walicho kipiga mfano power station na yeye anapiga vile vile lakini...
Mimi ni mmojawapo wa Vijana wa Kitanzania niliyepo Israel nikiwa ni mnufaika wa Programu ya kuongeza ujuzi kwa Ufadhili wa Serikali ya Tanzania.
Tupo vijana wa kitanzania zaidi ya 100 ambao tumewezeshwa na Serikali yetu tukufu tukiwa na taaluma, ujuzi na fani mbalimbali na baadhi ni watumishi...
Israel ni taifa dogo sana sawa na mkoa wa Morogoro kila siku wanarusha ndege kwenda Iran na Wanarudi, Kila siku makombora yanaanguka kwenye miji yao lakini umeme, maji, mafuta na huduma zote za kijamii haziathiriki.
Tanzania na Waafrika tuna mataifa makubwa yanakila kitu lakini hata vyanzo vya...
Wanaukumbi.
🇺🇸🇮🇷 Iran yakataa usitishaji vita wa muda uliopendekezwa na wapatanishi wa Pakistan
Afisa wa ngazi ya juu wa Iran alisema Tehran haitafungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz kwa kubadilishana na usitishaji mapigano kwa muda na anaamini kwamba Marekani "haina utayari wa kusitisha...
Ukiziondoa nchi Kama Spain,India,Brazil na South Africa ambazo zimejitenga na uongo na unafiki wa dunia.
Nchi nyingi duniani zimeonyesha unafiki na mnafiki mkuu wa hii duniani ni Marekani.
Imagine nchi inayoitwa ya kidemocrasia baba wa democracy mpaka Sasa vita mwezi kafukuza majenerali 8...
Hii ni Siri lakini ndo ukweli
Nilipata stori ya mjeda anasema hamna kitu Cha hazuni Kwa wanajeshi kama kukuta JINA lako halijapangwa kwenda vitani wakati wa vita.
Sasa hii furaha zaidi Kwa majeshi yenye uwezo kama Marekani mjeda anatamani hata kutoa chochote apangwe vitani.
Sio madili ya...
Niaje waungwana
Naona Netanyahu kawekwa mtu kati 🤣🤣🤣🤣
Akienda mbele nchale ( Iran )
Akirudi nyuma nchale ( Hezbollah )
Akikaa nchale ( Houthis )
Muona mbali, na mjuzi wa mambo ya vita, niliwahi kuandika threads huko nyuma (2022) na (2024) kabla Iran na Israel hazijawahi kushambuliana moja...
Ni kwakuwa waliopo sasa hivi wana mtaka Yule atakaye kuwa ana maliza Muda wake Visiwani. Hivyo sio Nchi...mbi wala sio Nche...mba wao ni washusha joto Tu la 29 Oct
Ni hakika kabisa pande zote mbili katika vita hii ambayo USA akishirikiana na Israel kupigana na Iran,pande zote mbili zimeishiwa Air Defense Systems,kilichobaki hivi Sasa imekua ni piga nikupige.
Ni kweli zipo chache zilizofichwa sana lkn naamini sehemu kubwa sana ya hizi ngao zimekwisha...
Jeshi la Iran limekanusha taarifa za kuwepo kwa mazungumzo ya amani kati ya Marekani na Iran, na kuibua mashaka kuhusu mpango wa amani wenye vipengele 15 unaodaiwa kuwasilishwa na Ikulu ya Marekani.
Ebrahim Zolfaghari, msemaji mkuu wa jeshi la Iran Makao Makuu Khatam Al-Anbiya, ametoa hotuba...
Nchi washirika wa USA + ISRAEL vs Nchi rafiki wa IRAN?
Hizi silaha za nuklia soon zitatumika,kuna nchi zikizidiwa zitaanza kuzitumia....na majibizano ya mashambulizi ya kutumia silaha za nyuklia baina ya nchi na nchi zilizo katika vita.
Unyakuo wa watakatifu utatokea kabla ya silaha za nyuklia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.