Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.
KENYA KAMA “TROJAN HORSE”? VITA VYA DATA, TABIANCHI NA UTAWALA MPYA WA KIDIJITALI AFRIKA MASHARIKI
Katika karne ya 21, vita havitangazwi tena kwa mizinga pekee. Havianzi kwa ndege za kivita wala askari kuvuka mipaka. Vita vya leo vinaanza kwa “ushirikiano wa kisayansi,” “miradi ya maendeleo,”...
Wanaukumbi.
Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Ghalibaf, amesema hakuna njia nyingine isipokuwa kukubali haki za wananchi wa Iran kama zilivyoainishwa katika pendekezo la vipengele 14 lililowasilishwa na Tehran.
Kauli hiyo ilichapishwa Jumatatu jioni kupitia akaunti yake kwenye mtandao wa X...
Siku zote, historia ya mtu, na anavyotenda siku zote, ndiyo hujenga mazingira ya mtu huyo kuaminika au kudharaulika.
Ni jambo lililo wazi kuwa watu wengi, hasa waliopo Serikalini, hawaaminiki kutokana na kuonekana kuwa wapo kwaajili ya tamaa ya matumbo yao, hata siku moja hawapendi kuwa wakweli...
Netanyahu: Vita na Iran havijaisha, uranium iliyotajirishwa lazima ‘iondolewe’
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anasema kwamba vita na Iran havijaisha kwani bado kuna uranium iliyotajirishwa katika milki ya Iran ambayo “lazima iondolewe” nchini, na “kazi pana ya kufanywa” dhidi ya uwezo wake wa...
Tangu 2008 serikali ya Marekani kupitia jimbo la California, iliidhinisha ujenzi wa California High Speed Rail (San Francisco–Los Angeles) mpaka leo miaka 18 mradi haujakamilika. Zimejengwa km 192 tu kwa zaidi ya USD 100 billion.
USD 100 billion China wanaweza kujenga km 1600-4000 ikitegema...
Frankly speaking wa kenya wanadharau sana na Tanzania the way they talk abt us wanatudogosha sana they have no respect to us
Halafu pia wana wivu ma maendeo ya Tanzania.
Ingekuwa nimeshika usukani wa kuingoza nchi ningewashikisha adabu kama yaliyowakuta uganda kipindi cha utawala wa...
Kwenye mapumziko ya siku ya Mei Mosi, kwenye fukwe za Pingtan, mji uliopo kusini mashariki mwa China kulijaa watalii wengi. Vinu vikubwa vya upepo vyeupe vimesambaa kando ya ukanda wa pwani wa kilomita 5, mapangaboi yake makubwa yanazunguka polepole katika upepo. Hata hivyo, wakati watalii hao...
1)AMKA MAPEMA alfajiri saa 11 au 12 ,ukiamka mapema KABLA HUJATOKA nje, kitu cha kwanza cha kufanya ITAMKIE MANENO MAPYA SIKU MPYA unayoianza
Mungu BABA ninaikabidhi siku hii mpya ninayoianza chini ya mamlaka yako,lisitokee jambo lolote ambalo lipo kinyume na mapenzi yako
NENO LA KWANZA...
Vita vya hivi karibuni vitakuwa 'shida moja kubwa' ikiwa uranium iliyosafishwa ya Iran haitaondolewa kwenye mikono ya magaidi hao— afisa wa IDF alisema.
Afisa wa jeshi la Israeli anasema kwamba ikiwa akiba ya zaidi ya kilo 400 za uranium iliyosafishwa hadi 60% haitaondolewa kutoka Jamhuri ya...
Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegsett ametangaza katika mkutano na wajumbe wa Congress kwamba kujenga upya hifadhi za silaha za Marekani, ambazo zimepungua kufuatia vita na Iran na migogoro mingine ya kijeshi katika miaka ya hivi karibuni, inaweza kuchukua "miezi hadi miaka," kulingana na...
Habari mbaya kwa mashabiki wa Magaidi duniani kote hasa kwa Waarabu-Koko wa Bonyokwa akiwema zitto junior na Mzee wa UHARO Ritz.
Licha ya vita na Iran vilivyoanza Februari 2026 na mgogoro unaoendelea tangu Oktoba 2023, uchumi wa Israeli na masoko ya fedha yanastawi na kuonyesha ustahimilivu wa...
Licha ya Kumshikilia Lissu, Bado Watanzania wamezidisha Mapenzi yao kwa CHADEMA
Licha yaashambulizi meengi dhidi ya Viongozi wa CHADEMA , Wanachama , bado Watanzania ndo Kwanzaa wanazidi kupenzika na CHADEMA.
Yaan CHADEMA ya sasa, ni IMANI AMBAYO IMEZAA FALSAFA kwa WATANZANIA.
Je, ni nani wa...
Kwa hali ya sasa ya vita kati ya Iran na Israel (na pia kuhusisha Marekani), ukweli ni huu:
1. Iran ndiyo imeathirika zaidi (kwa kiwango kikubwa)
Vifo na majeruhi ni wengi zaidi Iran
Miundombinu muhimu (kama mafuta, gesi, na kijeshi) imeharibiwa vibaya
Uchumi umeanguka:
Sarafu kushuka
Ajira...
Mambo imechemka East Africa baada ya William Ruto kulinganisha Kenya na majirani wake kuhusu barabara na bei ya mafuta. Akiongea church service April 19, Ruto alisema Kenya iko na about 20,000km za tarmac roads akidai ni zaidi ya nchi zingine zote za East Africa combined.
Lakini serikali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.