vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Habari zenu ndugu

    Habari zenu ndugu wangu ?
  2. JamiiForums Tanzania Ufunuo wangu: Ardhi takatifu ya Tanganyika na vita ya kiroho toka majini

    Ardhi ya Tanganyika haitazamwi tu kama eneo la kijiografia, bali kama madhabahu takatifu iliyowekewa wakfu kiroho. Tainsi ya kupigania uhuru na awamu za uongozi wa nchi, utulivu na amani ya kipekee ya eneo hili vinatafsiriwa kama neema maalum na kibali cha kimungu kilichopo juu ya udongo wake...
  3. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Jukwaa Limeshusha Pazia Lake

    https://youtu.be/Rm1DcLSMNBc?si=QpLcMFE-9e_jUL6q
  4. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Nani Kasalimu Amri Iran au Marekani?

    "Naamka napita mitandaoni kwanza kabisa habari muhimu naikuta Aljazira wanatangaza wanasema Marekani na Irani wamekubaliana kumaliza vita. Basi mimi kwanza nikaitizama kile cha habari... Kwani vita hivi alianza nani? Na nani kila siku alikuwa anasema atampigia nani?. Ukweli ni kuwa Marekani na...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Putin anazidi kudhalilishwa na makombora ya Ukraine na kuzidiwa; je atafanya kwa Ukraine kile USA walichofanya kwa Japan mwaka 1945 ili kushinda vita?

    Baada ya Ukraine kuruhusiwa kumpiga Mrusi ndani ya mipaka yake, Ukraine amejijengea uwezo mkubwa sana wa kutumia drone katika kuipiga Urusi anavyotaka kwa masafa marefu. Upigaji wa Ukraine kwa Urusi umekuwa wakisaikolojia sana - wakati wa mkutano wa kimataifa ambao hata raisi Samia...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Jamani hivi vita ya Iran na USA/Israel kashinda nani?

    Wamesaini makubaliano, ina maana sasa vita imeisha. Kashinda nani? Au nako kuna DRAW MATCH kama za kwenye mpira?
  7. JamiiForums Tanzania CCM hawana hofu tena, wameshinda vita!!

    Hakuna wanachokihofia wala hawajali tena wanafanya nini kibaya Kwa watanzania. Leo hii wanajiuliza ni jambo gani baya hawajawahi kufanya. Kama kila aina ya uovu wamefanya na Bado watanzania wapo kimya, wahofie nini tena? Hakuna ufisadi ambao CCM hawajafanya, lakini wanaona watanzania wamejawa...
  8. JamiiForums Tanzania Vita ya kwanza ya kijana si biashara, ni chakula

    kipindi cha nyuma tukiwa tunarudi safari za kikazi wilayani namuona boss wangu anajaza viroba vya vyakula mpaka cruiser inajaa ananishauri ninunue debe za mahindi me bishoo hapo naona huo ni ushamba nanunuaje mavyakula wilayani wakati mkoani masoko yapo na kibunda nitakuwa nacho.. nadharau...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Trump atangaza makubaliano ya kuacha vita na Iran, je utakuwa utapeli kama ule wa Gaza?

    Rais Donald Trump ametangaza kuingia mkataba wa amani na Iran. Amefanya hivyo kwenye maadhimisho ya siku ya kuzaliwa kwake? Je, mkataba huu utafuatwa au kuvunjwa kama ilivyokuwa huko Gaza ambapo ni utapeli mtupu au DRC? Je, ni baada ya kushindwa kufikia malengo yake kisiasa au kuchapwa kimya...
  10. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Zimetimu Siku 100

    https://youtu.be/X3fwMLuxl1Y?si=rLRYL_eeUQ-SpxJv
  11. JamiiForums Tanzania Nampenda Trump Ila anaboa Sana ni mwoga wa Vita salute kwa Benjamin Netanyahu

    Km Trump asingekuwa mwoga wa Vita utawala wa kigaidi wa Iran ungeshaanguka mpaka Sasa Sasa Trump anapigana Vita vya sitaki nataka Iran ikipokea kipigo kidogo tu ikiomba ceasefire naye anajaa anasimamisha Vita Israeli ukianza kuangusha Moto mtakatfu kwa magaidi,Iran wanampigia simu Steve...
  12. JamiiForums Tanzania Papa leo kuhusu vita ya Irani

    KATIKA NDEGE KUTOKA ROMA KWENDA MADRID JANA, MWANDISHI MMOJA ALIMUULIZA PAPA KUHUSU VITA VYA IRAN. JIBU LAKE: "Hakuna vita vya haki." Papa Leo XIV alikuwa akisafiri kwenda Hispania kwa ziara ya siku sita. Waandishi wa habari waliokuwa ndani ya ndege ya kipapa walimuuliza kuhusu vita vya Iran...
  13. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Oman Kushambuliwa na Marekani

    https://youtu.be/9yP5oYnlva4?si=MbMw5u4P2bino_W7
  14. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Imekuwaje Israel Imefunikwa?

    https://youtu.be/IdS3eoAdqhU?si=drTe0Dyah_0mscBF
  15. JamiiForums Tanzania Ukiwa Karibu na Breakthrough, Vita Huongezeka

    Biblia Danieli 10:12–13 “Tangu siku ile ya kwanza ulipotia moyo wako ufahamu… maneno yako yalisikiwa; nami nimekuja kwa ajili ya maneno yako. Lakini mkuu wa ufalme wa Uajemi alinipinga siku ishirini na moja…” Na pia: Biblia Wagalatia 6:9 “Tusichoke katika kutenda mema; kwa maana kwa wakati...
  16. JamiiForums Tanzania Mkwawa: Gwiji wa Ujasusi na Vita vya Kimkakati

    👉Iringa si mkoa wa kawaida katika historia ya Tanzania. iringa ni ardhi iliyobeba mizizi ya kwanza ya ujasusi wa kizalendo na mbinu za vita vya kimkakati. 👉Misingi hiyo iliwekwa na mmoja wa viongozi mahiri zaidi kuwahi kutokea Afrika Mashariki, Chief Mkwawa wa Wahehe. 👉Chief Mkwawa...
  17. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Yanayoelezwa na Mitandaoni

    https://youtu.be/Ptjr5nBRPGw?si=nZy37faqqA-UFxu4
  18. JamiiForums Tanzania Makonda huwezi kuwa Rais, Mafwele huwezi kuwa IGP. Bado US/EU yuko njian KUDEAL na Wauaji wa Okt 29, Wanaopiga Vita UKRISTO, Kuteka na Kuua MAPADRE

    US kadeal na MAFWELE ,sababu alousema ni "Kuwateka akina Agatha". Sasa Kuna wale walikua Wanapiga Vita UKRISTO, Waloua watu Okt 29, Wanaomfunga Lissu na kuanzisha vita dhidi ya DEMOKRASIA. Na nyinyi Jiandaeni, Tena nyinyi Kipigo Chenu ni Cha Mbwa Koko Soma pia Mafwele azuiwa kuingia...
  19. JamiiForums Tanzania Huenda kuna vita ya kutwaa madaraka ya kitaifa kimapinduzi ndani ya CHADEMA

    Ni wazi, huenda kinachochochea sarakasi na drama zinazoendelea ndani ya CHADEMA ni mapambano na vita vya kupindua na kunyakua mamlaka ya kitaifa ya chama hicho, kutokana na muonekano wa hali ya mwenyekiti wake ilivyo hivi sasa ya kua dhaifu sana, na mashtaka ya uhaini yanayomkabili. Ambapo...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania US na EU zimesema, vita ya maneno na matamko imekwisha sasa ni vitendo

    Mswada upo bungeni kinachosubiriwa ni Trump kuweka sahihi. U.S. Senate Fioreign Relations Committee Chairman, Sen. Jim Risch, R-Idaho alishauri iundwe tume huru ya kimataifa mkampuuza. U.S. Senate Foreign Relations Committee | Ranking Member Senator Shaheen, amesema sana. Bunge la Ulaya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…