viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ifike mahali nguvu ya umma itumike kuwawajibisha viongozi

    Tanzania na baadhi ya Nchi za kiafrika viongozi wetu hawana utamaduni wa kuwajibika pale ambapo wameboronga. Na Sisi wananchi tunabaki kulalamika tu huku watu wakiendekea kufanya madudu. Nawakubali sana waarabu wanamsimamo na wamesonga mbele. Wao huwa ni ambushi mwamzo mwisho wasipomtaka...
  2. JamiiForums Tanzania Shughuli za kimuungano zinapofanyika Zanzibar zisimamiwe na Viongozi wa Muungano siyo Zanzibar

    Shughuli za Kimuungano zinapofanyika Zanzibar haimaanishi shughuli hizo zisimamiwe na viongozi toka Zanzibar. Mambo ya Muungano yanasimamiwa na serikali ya Muungano na siyo Serikali ya Zanzibar. Mambo yote ya Muungano yana mawaziri wake wa kuyasimamia.
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi wa Tanzania hawawajibiki kwa uzembe wao ila wenzetu wanakubali kuwajibika kwa tatizo ambalo siyo lao?

    Tatizo la maji hakuna hata Kiongozi mmoja aliyewajibika. Yuri Vitrenko ameripotiwa kujiuzulu kama Mkurugenzi Mtendaji wa Naftogaz wakati Ukraine ikikabiliwa na shida kubwa ya nishati. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya mafuta na gesi ya Ukraine ya Naftogaz, Yuri Vitrenko, amejiuzulu, vyombo...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kuombea mvua wakati ni huu viongozi wa dini sauti zenu zisikike

    Mwaka jana ukame ulikuwa wa kutisha kanda ya kaskazini nzima. Basi linasimama pale Bombo na ukitazama wauza matunda hali ni mbaya ya kile wanachokiuza. Nakumbuka niliuziwa machungwa ya kuvundikwa hakukuwa na matunda mengine zaidi. Mwezi kama huu mwaka jana. Hali naiona haina tofauti sana na...
  5. JamiiForums Tanzania Salma Kikwete ni Mwanamke wa Shoka, Mke, Mama, na Kiongozi. Ashusha hoja 10 za nguvu, aanza na Samia na kumaliza na Samia!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala hizi, "Kwa Maslahi ya Taifa" kuzungumzia jambo lolote lenye maslahi kwa taifa letu liwe ni jambo la kisiasa, kiuchumi au kijamii. Kwa vile mimi ni mtu wa mastori stori yaani story teller, naomba nianze kwa mastory ya ilikuwaje...
  6. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga sc kama mnataka tumpige mwarabu nyingi jumatano rekebisheni hapa

    Kama kweli mnataka tufanye vizuri kimataifa tuache kuhonga marefa. Tunafanya sajili kubwa na za gharama, tunaajiri waalimu na kuwalipa mishahara mikubwa sasa kwa nini tumeendekeza bahasha na uchawi? Kwa mwaka huu tumechelewa hatuwezi kuwatoa wale waarabu, sasa tuanzie hapa kujiandaa na...
  7. JamiiForums Tanzania Maajabu ya viongozi wa Tanzania

    Habari za Sasa hivi wakubwa zangu, wadogo zangu, kaka na dada zangu hapa Jamii Forums. Bila kusahau babu zetu hapa JF kina mshana Jr, Bujibuji n.k, heshima kwenu wakuu. Leo nimeona niwashirikishe maajabu ya viongozi wetu tangu uhuru hapa Tanzania. Na yafuatayo ndiyo maajabu yenyewe ambayo...
  8. JamiiForums Tanzania DOKEZO Viongozi kata ya Loya-Uyui -Tabora, watafuna fedha za TASAF

    Fedha za miradi ya maendeleo za TASAF ndani ya kata Hiyo, viongozi wamegawana wao kwa wao na kuendeleza miradi Binafsi na sio ile ya maendeleo, Wazee wa kata Hiyo wamepuuzwa na kunyimwa fedha hizo, Mamlaka ya halmashauri inapaswa kufanya uchunguzi wa Jambo hili. Loya ni mmoja ya kata yenye...
  9. JamiiForums Tanzania Tupende tusipende, bado Tanzania inahitaji viongozi wenye nusu ya hulka ya Hayati Magufuli

    Habari wana JF, natumaini wote baadhi yenu ni wazima wa afya, na wale wasiyokuwa wazima afya, nawaombea mtakuwa wazima afya pia. Kabla sijasema sana napenda kuweka wazi kuwa mimi siyo mnazi wa Chama chochote cha siasa ila ni kijana tu niliyefanikiwa kuwepo na kutambua mambo kwa uhalisia wake...
  10. JamiiForums Tanzania Ukiona viongozi fulani wametawala kwenye vyombo vya habari basi jua bosi wao anatoa mkeka mpya karibuni

    Imekuwa ni tabia sasa au tuite formula kabisa kwa hawa viongozi wa kiserikali wanaopata ajira zao kupitia teuzi. Kipindi hiki utasikia maekezo mengi sana kuhusu wakuu wa wilaya hasa kwenye vyombo vya habari sana sana wanaonekana kama ndiyo wametoka kuamka au ndiyo wamepewa kazi leo. yaan...
  11. JamiiForums Tanzania Kumuenzi Baba wa Taifa: CCM, Serikali, Viongozi na Watanzania kwa Ujumla. Je, tunamuenzi kwa Mawazo, Maneno na kwa Vitendo? Tunamuishi?

    Karibuni tena kwenye makala zangu za “Kwa Maslahi kwa Taifa”, zinazozungumzia mada mbalimbali kuhusu taifa letu ziwe ni za kisiasa, za kiuchumi au za Kijamii, baada ya leo ni kuhusu kumuenzi Mwalimu Nyerere, kwa vile Tarehe 14 October ni Nyerere Day, leo naomba tutafakari jinsi sisi Watanzania...
  12. JamiiForums Tanzania Mpira wa Tanzania ni wa kibosi. Mashabiki, wachezaji na viongozi wote ni mabosi

    Ndiyo, nimeona tofauti ya mashabiki wa Tanzania na nchi zingine. Yanga jana imefungwa lakini mashabiki walichangia kuwavuruga wachezaji wetu! Ile kelele na lile vibe, ni lazima timu yoyote inayokwenda kucheza uwanja ule ijipange! Sisi mashabiki wa Kitanzania tukiingia uwanjani utaona watu...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Askofu wa Katoliki Jimbo la Bukoba atetea uwepo wa kiti cha Rais Kanisani

    Wapendwa, nimeona mjadala juu ya kiti cha Rais na nikaonelea nitoe maelezo kidogo. Kanisa katika protocol zake inatambua na kuwaheshimu viongozi katika hadhi zao mbali mbali. Hii protocol siyo ya sasa au jana ni ya miaka mingi. Rais ni kiongozi wa nchi hivyo hadhi yake ni hadhi ya nchi siyo...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Viongozi mnaona ubovu kwenye miradi ila mnasubiri Mbio za Mwenge

    Rais Samia amekemea tabia ya viongozi kuwa kimya juu ya ubadhirifu na ubovu wa miradi isiyoendana na thamani ya fedha iliyoko katika maeneo yao na kusubiri mbio za mwenge zije kubaini kasoro za miradi. Amewataka watendaji kushughulika ipasavyo na kutosubiri mbio za mwenge kujua shida za miradi...
  15. JamiiForums Tanzania Kinana awataka viongozi kuwa wanyenyekevu

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Abdulrahman Kinana amewataka viongozi kuepuka utukufu, badala yake wajikite katika utumishi akisema masuala ya itifaki yanawaweka mbali na wananchi. Amesema si vema viongozi kubanwa na itifaki na kujali utukufu heshima na hadhi ya husika kuliko mchango wake kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Chonde chonde Viongozi Simba msimtwishe Mgunda zigo zito, mtamuumiza

    Kutokana na kuwa Simba wanaendelea kupata matokeo mazuri kumekuwa na kelele kila kona kutoka kwa Mashabiki wakitaka Mgunda apewe timu kamili kama Kocha Mkuu. Na Viongozi wa Simba ni kama vile wamekaa wakisubiri kama vile wanasikilizia. Nadhani hili litawagharimu Simba, huu mchezo wa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameongea ukweli na kushauri vyema kuhusu viongozi kutambua mipaka yao kiuongozi

    Ndugu zangu Jana October 3/2022 mh Rais Samia alikuwa anawaapisha viongozi aliowateua katika mabadiliko madogo aliyoyafanya katika Balaza la mawaziri, Ambayo siku zote hulenga katika kuboresha utendaji na kuleta ufanisi kazini utakaokuwa na tija katika kuwatumikia na kuwahudumia wananchi. Pili...
  18. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali za Mtaa wanajichukulia poa hawafanyi majukumu yao stahiki

    Baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Uchira, wilayani Moshi, mkoani Kilimanjaro, wamekusanyika kulalamikia uongozi wa serikali ya Kijiji hicho, kudaiwa kuuza maeneo ya barabara pasipo kuwashirikisha, hali inayowafanya kukosa njia za kwenda kutafuta huduma za kijamii. Chanzo: ITV ***** Nimesoma hiyo...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Kama Okwa anaondoka dirisha dogo, viongozi wa Simba fanyeni hivi kitu kiive vizuri

    kama kweli Nelson Okwa anaondoka dirisha dogo (sitajali kwa kweli, Dilunga anakiwasha zaidi yake), hakikisheni nyie viongozi pia mnatoa huyo Akpan kwa mkopo, arudi huko Coastal Union. Hizo nafasi tatu za wazi(Mzungu, Okwa, Akpan) lete Manzoki, lete namba 6 la uhakika kama Semanga Soze, lete...
  20. JamiiForums Tanzania Nchi ile iliacha kupata viongozi mwaka 2015. Waliofuatia...

    Habari Wakuu Binafsi naona nchi ile iliacha kupata viongozi kwa maana sifa za Uongozi mwaka 2015 Waliofatia wote,kila mtu anajionea. Wamekuwa wakali, hawana uvumilivu, hawana subira,hawataki kusikiliza maoni, hawataki kukosolewa, wapinzani cha moto wanakiona, visingizio na malalamiko mengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…