viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Mishahara wanayolipwa Viongozi Wakuu nchini Kenya iko wazi, Tanzania hali ikoje?

    Baadhi ya nchi duniani huwa na taratibu za kuweka wazi mishahara ya viongozi wakuu pamoja na wale wanaoongoza mihimili mingine ili wananchi wao waifahamu. Hii ni sehemu ya kuonesha uwazi na uwajibikaji wa Umma kwa kuwa mamlaka yao hutoka huko. Mfano, Rais wa Nchi ya Kenya hulipwa kiasi cha...
  2. Mystery

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbona sioni ulinzi wa kutisha kwa viongozi wakubwa wa Kenya?

    Nimekuwa nikifuatilia kwa Karibu Sana, kipindi chote cha uchaguzi mkuu wa Kenya, sijaona msururu wa walinzi wa viongozi hao, wakilindwa na ulinzi wa kuwalinda viongozi hao, pamoja na uhasama mkubwa, uliokuwepo huko Kenya, Katika kipindi chote cha uchaguzi huo. Muda huu naangalia TV za Kenya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini viongozi wa Yanga SC wanapenda kusema wameonewa wakati madhaifu ni yao na ushamba wao?

    Umetuma majina 13 huku la Tuisila Kisinda likiwa la 13 TFF na unajua fika kuwa Mfumo wa TMS huchukua majina 12 tu ya kwanza ambayo ndiyo yanatakiwa kikanuni. Mnaacha kukiri Kosa kuwa ni upuuzi, ugeni na Ushamba wenu mkubwa ndiyo umewaponza na kukosea huku mnakimbilia kumtuma mpuuzi wenu mfungwa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nini kifanyike kwa viongozi wetu tupate timu bora ya taifa letu la Tanzania?

    Kwa jina naitwa Ramadhani Selemani Ramadhani ni kijana wa kitanzania nina umri wa miaka 28 kwa sasa leo ningependa nizungumzie mambo mbalimbali yanayo weza kufanyika ilimradi kuweza kufanikiwa kufika mbali katika timu yetu ya taifa. Mpira ni mchezo wenye washabiki wengi sana duniani kote na...
  5. Vugu-Vugu

    JamiiForums Tanzania GEITA: Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana azungumza na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi

    Kinana na Shaka watia saini kitabu cha wageni, wazungumza na viongozi wa CCM Geita Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka wametia saini kitabu cha wageni katika...
  6. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa serikali wanakwepa kujaza fomu za mali wanazomiliki,lmimi ni nani nitaje nyumba zangu

    Salama wandugu Kuna baadhi ya viongozi wa umma na mawaziri na wabunge mpaka dakika hii bado hawajajaza fomu za Mali zao wanazomiliki unafikiri kwa nini, iweje sensa mtake kujua mwananchi anamiliki nyumba ngapi ?hapa mnatwanga maji kwenye kinu hata kama mtapata taarifa zitakuwa za uwongo ,Mimi...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kodi nyingi na tozo nyingi kwa wananchi bila adhabu kubwa kwa viongozi wala kodi na tozo ni bure kabisa

    Wenzetu wanatoza kodi na tozo kwenye kila kitu, lakini wanamnyonga kila mla kodi na tozo hizo za wananchi. Lakini hapa kwetu sio hivyo, wala rushwa, kodi na tozo wanafahamika lakini hakuna lolote.
  8. Vituka

    JamiiForums Tanzania Je, ni Sahihi kwa Serikali kuchukua mashamba ya wananchi na kuwagawia Viongozi?

    Naomba kujua kwa wenye ufahamu wa masuala ya ardhi maana jambo hili kwa akili ya kawaida tu naona haliko sawa. Nafahamu kuwa serikali inaweza kuchukua maeneo ya wananchi kwa manufaa ya jamii nzima (for public interest) na sio kwa ajili ya kuwagawia viongozi. Naomba kupata msaada wa mawazo...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watanzania amkeni, viongozi hawana huruma na wananchi

    Habari! Nilileta Uzi hapa kuonesha matumizi mabaya ya serikali, au niite matumizi yasiyo na msingi. Semina ya sensa wiki tatu ilikuwa haina ulazima. Siku 3 tu zingetosha. Sasa ngoja nitoe mfano mmoja tu ili mjue kuwa serikali hii haina huruma na mwananchi. Mwaka huu serikali ilikuwa na zoezi...
  10. Lusungo

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu wanapolalamika, wanyakwa wa vijiweni wafanye nini?

    Nimeisikiliza hotuba ya Rais Mwinyi imenishangaza sana. Nimejiuliza na kutafakari sana kuwa kama viongozi hawa waliopewa kila aina ya nyenzo ili ziwawezeshe kufanya kazi wanalalama je, wananchi wa kawaida wafanye nini? Wapeleke wapi kero na malalamiko yao? Kama Rais anaweza kuuona ufisadi wa...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Viongozi tujipime kabla ya kufedheheshwa

    Kauli ya aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai ya kuwataka viongozi wa kuchaguliwa kujipima kabla ya kugombea tena nafasi hizo katika chaguzi zijazo ili kuepuka aibu ya kushindwa, imewaibua viongozi wa siasa. Ndugai, ambaye ni Mbunge wa Kongwa (CCM), alisema yeye hatagombea tena nafasi hiyo...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Upinzani - walio waoga (cowards) si Wafuasi

    Imekuwa kawaida kusikia watanzania wakiwaita watanzania wenzao kuwa ni waoga (cowards). Maajabu ya Mussa. Kwani hao wanaowaita wenzao kuwa cowards utaifa wao si ni huu huu au wao ni walamba asali? Uhalisia wa mambo ni kuwa wanaowaita hivyo wenzao, nia yao ni kutokuwepo mstari wa mbele...
  13. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya watu hata kwa mafanikio au matatizo yao binafsi huwapongeza au kuwalaumu viongozi?

    Nimesikia mara nyingi sana baadhi ya wananchi wakiipongeza serikali kwa wao kumiliki nyumba, gari, buashara, kuwa na kazi, elimu hata kama wamelipa ada. Nk Au wengine kuwalumu serikali kwa kukosa maisha bora! Je, ni sahihi kwa mtu kuipongeza au kuilaumi serikali kwa mafanikio/matatizo yake binafsi?
  14. P

    JamiiForums Tanzania Sera ya CCM ya kula na kila anayebwatuka na kusema udhaifu na ubadhirifu wake, umeonesha jinsi gani viongozi wetu wanavyopenda pesa na si kutetea

    Hii ni dhahiri kuwa, Kwa Africa na Tanzania, kuwapata viongozi wenye focus na maisha ya watu wao ilivvyo ngumu kupatikana. Sera ya CCM ya kuwalambisha Asali wote wenye vidomodomo na kiherehere, imetuomyesha jinsi watu hao malengo yao si kuwatetea wananchi, Bali kutafuta furusa za kwao na...
  15. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mimi nimeangalia hii clip nasikitika Sana. Tanzania tuna Safari ndefu

    Mimi nimeangalia hii clip nasikitika sana. Tanzania tuna Safari ndefu. 1. Kuna uwezekano hata Samia hapaswi kuwwepo alipo sasa hivi 2. Ni ushaidi tosha kabisa hizi tozo ni matokeo ya wajinga wachache. 3. Amin usiamini huyu anawakilisha akili 90% za wabunge na viongozi wote 4. Tuendeeni...
  16. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Viongozi kupiga picha na makarani baada ya kuhesabiwa, je sio kupoteza muda Au walikuwa spesho kwa ajili yao tu?

    Naomba kwa wenye fikra yakinifu zisizoegemea upande wowote, wanisaidie kujibu hili swali. Maoni yawe ni baada ya kuhesabiwa na sio wakati zoezi likiendelea
  17. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Kama leo ilikuwa sensa ya viongozi, kulikuwa na umuhimu gani wa kutokwenda kazini?

    Watu wako frustrated majumbani. Hawakupewa elimu jinsi mambo yatakavyokwenda. Mtaani kwetu hadi alasiri leo hakuna karani hata mmoja kapita, lakini nikiingia Twitter na Instagram naona makarani wamepiga picha na Rais, Mawaziri, Makatibu Wakuu na viongozi mbalimbali wa taasisi za serikali. Leo...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Magumu yetu Viongozi wa Upinzani mkwepe lawama vipi?

    Tufike mahali tutoleane uvivu wenyewe kwa wenyewe. Tufike mahali panya wamfunge paka kengele. "Enyi viongozi wetu madarakani, mliochagua kukaa kimya na kututelekeza kondoo wenu, tokeni madarakani washike wenye kudhamiria." Ikumbukwe wavumao baharini papa lakini na wengine wapo. Imekuwa...
  19. JF Member

    JamiiForums Tanzania Hii nchi inateketea, Viongozi wa dini saidieni

    Hii nchi iko kwenye mkwamo unaohitaji nguvu ya Mungu kabla mambo hayajafika pabaya. Bahati Mbaya viongozi wa dini hawafanyi tena makongamano ya kumtukuza Mungu. Kwa sasa ajari ni nyingi mno, kila siku kuna majanga ya kila aina, watu kuuwawa, watu kujiua, ajari za magari, milipuko ya matanker...
  20. badison

    JamiiForums Tanzania Viongozi wenye tamaa wanavuna na kuiba Pesa nyingi ili waweze kununua Urais 2025

    Sijawahi kuona utawala wa watu wenye tamaa ya fedha kama huu wa awamu ya sita Yani Bora hata na ile awamu ya 4. Namba sita ni namba mbaya sana kiutawala ni namba isiyo na faida yoyote. Viongozi hawa wenye tamaa wanavuna pesa ili waweze kununua Urais mwaka 2025. Takukuru, jeshi la polisi, na...
Back
Top Bottom