Maajabu ya viongozi wa Tanzania

Killing machine

JF-Expert Member
Jul 24, 2022
1,196
1,329
Habari za Sasa hivi wakubwa zangu, wadogo zangu, kaka na dada zangu hapa Jamii Forums. Bila kusahau babu zetu hapa JF kina mshana Jr, Bujibuji n.k, heshima kwenu wakuu.

Leo nimeona niwashirikishe maajabu ya viongozi wetu tangu uhuru hapa Tanzania. Na yafuatayo ndiyo maajabu yenyewe ambayo mataifa mengi duniani wanatusifu na kutuona watu wa ajabu sana, tuliyotukuka na kuna habari za siri siri kwamba Tanzania ndiyo tunaoongoza kwa kuwa na akili hapa Afrika Mashariki.🤣🤣

Basi tuanze na maajabu yenyewe kama ifwatavyo;

(1) Naskia kuna kiongozi alishawahi kutawala hapa Tanzania, kiongozi huyu ilikuwa ikifika kipindi cha uchaguzi basi aliweka picha yake na kimvuli kwahiyo watu walichagua kati ya picha na kimvuli.🤣🤣🤣

Narudia tena Watanzania walifanya uchaguzi kati ya picha na kimvuli, huu ulikuwa ni uchaguzi wa haki uliyovunja rekodi ya Dunia.🤐🤐🤐 Hongera Tanzania yangu, ninaomba anayemjua kiongozi huyo anipe jina tafadhari.

(2) Tanzania ndiyo inchi inayoongoza kwa ukubwa wa kijografia, madini, vivutio vya utalii, ardhi nzuri, lakini ndiyo nchi inayoongoza kwa kuwa na wasiyokuwa na kazi wengi zaidi Afrika Mashariki, pia wasiyokuwa na makazi wengi.

(3)Tanzania iliyozungukwa na maziwa makuu matatu Yani Nyasa, Tanganyika, Victoria, bado kuna maziwa ya ndani kama vile Natroni, Manyara n.k, pia kuna mabwawa kama vile Kyungu lulu, Chara, mito mikubwa mikubwa kama Rufiji, Ruaha, lakini ndiyo nchi pekee inayosumbuliwa na tatizo la umeme,😂😂 maji😂😂 na wanaogopa sana mvua zikichelewa. Utadhani hawafahamu chochote kuhusu irrigation agriculture maarufu kama kilimo cha umwagiliaji.😂😂😂🤗🤗

(4) Tanzaniaukinunua ndege andaa na uwanja wako,😂😂ukinunua treni andaa na reli yako.🤣🤣🤣

(5) Tanzania bei ya gari Japan ni nusu ya ushuru wa gari hapa Tanzania "Kwa watu wanaitwa T.R.A.". Yaani ukinunua gari la milioni 50, basi andaa milioni 100 za kusajiria na ushuru.😋😋😋

(6) Tanzania huku kubaka au kumpa mwanafunzi mimba ni miaka therathini jela, lakini ufisadi wa billions of Tanzanians shilings ni mambo ya kuzungumza tuu kisha yanaisha, unaendelea kula bata Dar. Isitoshe wanakupa na ulinzi ili usije ukaibiwa ulichoiba.🤣🤣🤣🤣

(7) Tanzania ukiiba kuku ni hatari zaidi kufungwa kuliko ukiiba gari, bajaji n.k.🤗🤗🤗

Basi wakuu mimi niishie hapa, endeleeni kumimina sifa zilizotukuka za taifa letu hapo chini kwenye comment. Mimi zangu zimeishia hapo.

Karibuni.
 
Habari za Sasa hivi wakubwa zangu.wadogo.kaka na Dada zangu bila kusahau babu zetu hapa jf kina mshana Jr kina bujibuji nk heshima kwenu leo nime ona niwa shili kishe MAAJABU ya viongozi wetu tangu Uhuru hapa tanzania na ya fuatayo ndiyo maajabu yenyewe ambayo mataifa mengi duniani Wana tusifu nakutuona watu wa ajabu Sana tulip tukuka na Kuna habari za sili sili kwamba tz ndiyo tunao ongoza kwa kuwa na hakili hapa East Africa Basi tuanze na maajabu yenyewe Kama ifwatavyo (1)naskia Kuna kiongozi Alisha wai kutawala hapa tz kiongozi huyu ilikuwa ikifika kipindi Cha uchaguzi Basi aliweka picha yake na kimvuri kwahiyo watu wali chagua Kati ya picha na kimvuri🤣🤣🤣 narudia tena wa TZ wali fanya ucha guzi Kati ya picha na kimvuri HUU ULIKUWA UCHA GUZI WA HAKI ULIO VUNJA RECORD YA DUNIA🤐🤐🤐 hongera ta nzania yangu Nina omba anaye mjua kiongozi HUYO anipe jina tafadhari (2)tanzania ndiyo inchi inayo ongoza kwa ukubwa wa kijografia,madini,vivutio vya utarii,alidhi nzuri, lakini ndiyo inchi inayo ongoza kwa kuwa na jobless wengi zaidi east Africa pia home less wengi (3)TANZANIA: iliyo zungukwa na maziwa makuu matatu Yani nyasa,tanganyika,Victoria, bado Kuna maziwa ya ndan Kama vile natroni,manyala, nk pia Kuna ma bwawa Kama vile kyungu lulu.chara mito mikubwa mikubwa Kama rufiji.ruaha. lakini ndiyo inchi pekee Inayo sumbuliwa na tatizo la umeme,😂😂 maji😂😂 na wanaogopa Sana mvua ziki chelewa utadhani Hawa fahamu chochote kuhusu irrigation agriculture MAA rufu Kama kilimo Cha umwagiliaji😂😂😂🤗🤗(4)TANZANIA:ukinunua ndege andaa na uwanja wako😂😂ukinunua treni andaa na reli yako🤣🤣🤣(5) TANZANIA Bei ya gari huko japani Ni nusu ya ushuru wa gari hapa tanzania kwa watu wanaitwa T.R.A YAANI ukinunua gari la milioni 50 Basi andaa MILION 100 za kusajiria na ushuru😋😋😋 (6)TANZANIA:huku kubaka au kumpa mwanafunzi mimba Ni miaka therathini jera lakini ufisadi wa billions of tanzanians shilings Ni Mambo ya kuzungumza tuu Kisha yanaisha unaendelea Kula Bata dar Wana kupa na ulinzi🤣🤣🤣🤣(7)TANZANIA:ukiiba kuku nihatari zaidi kufungwa kuriko ukiiba gari BAJAJI NK🤗🤗🤗Basi wakuu endeleeni kumimina sifa zilizo tukuka za taifa letu HAPO chini kwenye comment Mimi zangu zime ishia HAPO karibuni,.......
Nimepata tabu kusoma....
Sio siri
 
Habari za Sasa hivi wakubwa zangu.wadogo zangu.kaka na Dada zangu hapa jamii forums bila kusahau babu zetu hapa jf kina mshana Jr, kina bujibuji, nk heshima kwenu wakuu.,. leo nime ona niwa shilikishe MAAJABU"ya viongozi wetu.tangu Uhuru hapa tanzania.na ya fuatayo ndiyo maajabu yenyewe ambayo mataifa mengi duniani Wana tusifu nakutuona watu wa ajabu Sana" tulio tukuka na Kuna habari za sili sili kwamba tz ndiyo tunao ongoza kwa kuwa na hakili hapa East AfricaBasi tuanze na maajabu yenyewe Kama ifwatavyo (1)naskia Kuna kiongozi Alisha wai kutawala hapa tz kiongozi huyu ilikuwa ikifika kipindi Cha uchaguzi Basi aliweka picha yake na kimvuri kwahiyo watu wali chagua Kati ya picha na kimvuri narudia tena wa TZ wali fanya ucha guzi Kati ya picha na kimvuri HUU ULIKUWA UCHA GUZI WA HAKI ULIO VUNJA RECORD YA DUNIA hongera ta nzania yangu Nina omba anaye mjua kiongozi HUYO anipe jina tafadhari"" (2) TANZANIA: ndiyo inchi inayo ongoza kwa ukubwa wa kijografia,madini,vivutio vya utarii,alidhi nzuri, lakini ndiyo inchi inayo ongoza kwa kuwa na jobless wengi zaidi east Africa pia home less wengi (3)TANZANIA: iliyo zungukwa na maziwa makuu matatu Yani nyasa,tanganyika,Victoria, bado Kuna maziwa ya ndan Kama vile natroni,manyala, nk pia Kuna ma bwawa Kama vile kyungu lulu.chara mito mikubwa mikubwa Kama rufiji.ruaha. lakini ndiyo inchi pekee Inayo sumbuliwa na tatizo la umeme, maji na wanaogopa Sana mvua ziki chelewa utadhani Hawa fahamu chochote kuhusu irrigation agriculture MAA rufu Kama kilimo Cha umwagiliaji(4)TANZANIA:ukinunua ndege andaa na uwanja wakoukinunua treni andaa na reli yako(5) TANZANIA Bei ya gari japani.Ni nusu ya ushuru wa gari hapa tanzania"kwa watu wanaitwa T.R.A." YAANI ukinunua gari la milioni 50 Basi andaa MILION 100 za kusajiria na ushuru (6)TANZANIA:huku kubaka au kumpa mwanafunzi mimba Ni miaka therathini jera""lakini ufisadi wa billions of tanzanians shilings Ni Mambo ya kuzungumza tuu Kisha yanaisha unaendelea Kula Bata dar istoshe Wana kupa na ulinzi ili usije ukaibiwa ulicho iba"""(7)TANZANIA:ukiiba kuku nihatari zaidi kufungwa kuriko ukiiba gari BAJAJI NK""Basi wakuu Mimi niishie hapa.! endeleeni kumimina sifa zilizo tukuka za taifa letu HAPO chini kwenye comment. Mimi zangu zime ishia HAPO karibuni,.......

Habari za Sasa hivi wakubwa zangu.wadogo zangu.kaka na Dada zangu hapa jamii forums bila kusahau babu zetu hapa jf kina Mshana Jr , kina Bujibuji Simba Nyamaume, nk heshima kwenu wakuu.,.

leo nime ona niwa shilikishe MAAJABU"ya viongozi wetu.tangu Uhuru hapa tanzania.na ya fuatayo ndiyo maajabu yenyewe ambayo mataifa mengi duniani Wana tusifu nakutuona watu wa ajabu Sana" tulio tukuka na Kuna habari za sili sili kwamba tz ndiyo tunao ongoza kwa kuwa na hakili hapa East Africa

Basi tuanze na maajabu yenyewe Kama ifwatavyo
(1)naskia Kuna kiongozi Alisha wai kutawala hapa tz kiongozi huyu ilikuwa ikifika kipindi Cha uchaguzi Basi aliweka picha yake na kimvuri kwahiyo watu wali chagua Kati ya picha na kimvuri
narudia tena wa TZ wali fanya ucha guzi Kati ya picha na kimvuri HUU ULIKUWA UCHA GUZI WA HAKI ULIO VUNJA RECORD YA DUNIA hongera ta nzania yangu Nina omba anaye mjua kiongozi HUYO anipe jina tafadhari""

(2) TANZANIA: ndiyo inchi inayo ongoza kwa ukubwa wa kijografia,madini,vivutio vya utarii,alidhi nzuri, lakini ndiyo inchi inayo ongoza kwa kuwa na jobless wengi zaidi east Africa pia home less wengi

(3)TANZANIA: iliyo zungukwa na maziwa makuu matatu Yani nyasa,tanganyika,Victoria, bado Kuna maziwa ya ndan Kama vile natroni,manyala, nk pia Kuna ma bwawa Kama vile kyungu lulu.chara mito mikubwa mikubwa Kama rufiji.ruaha. lakini ndiyo inchi pekee Inayo sumbuliwa na tatizo la umeme, maji na wanaogopa Sana mvua ziki chelewa utadhani Hawa fahamu chochote kuhusu irrigation agriculture MAA rufu Kama kilimo Cha umwagiliaji

(4)TANZANIA:ukinunua ndege andaa na uwanja wakoukinunua treni andaa na reli yako

(5) TANZANIA Bei ya gari japani.Ni nusu ya ushuru wa gari hapa tanzania"kwa watu wanaitwa T.R.A." YAANI ukinunua gari la milioni 50 Basi andaa MILION 100 za kusajiria na ushuru

(6)TANZANIA:huku kubaka au kumpa mwanafunzi mimba Ni miaka therathini jera""lakini ufisadi wa billions of tanzanians shilings Ni Mambo ya kuzungumza tuu Kisha yanaisha unaendelea Kula Bata dar istoshe Wana kupa na ulinzi ili usije ukaibiwa ulicho iba"""

(7)TANZANIA:ukiiba kuku nihatari zaidi kufungwa kuriko ukiiba gari BAJAJI NK""
Basi wakuu Mimi niishie hapa.! endeleeni kumimina sifa zilizo tukuka za taifa letu HAPO chini kwenye comment. Mimi zangu zime ishia HAPO karibuni,.......
 
Habari za Sasa hivi wakubwa zangu.wadogo zangu.kaka na Dada zangu hapa jamii forums bila kusahau babu zetu hapa jf kina mshana Jr, kina bujibuji, nk heshima kwenu wakuu.,. leo nime ona niwa shilikishe MAAJABU"ya viongozi wetu.tangu Uhuru hapa tanzania.na ya fuatayo ndiyo maajabu yenyewe ambayo mataifa mengi duniani Wana tusifu nakutuona watu wa ajabu Sana" tulio tukuka na Kuna habari za sili sili kwamba tz ndiyo tunao ongoza kwa kuwa na hakili hapa East Africa🤣🤣Basi tuanze na maajabu yenyewe Kama ifwatavyo (1)naskia Kuna kiongozi Alisha wai kutawala hapa tz kiongozi huyu ilikuwa ikifika kipindi Cha uchaguzi Basi aliweka picha yake na kimvuri kwahiyo watu wali chagua Kati ya picha na kimvuri🤣🤣🤣 narudia tena wa TZ wali fanya ucha guzi Kati ya picha na kimvuri HUU ULIKUWA UCHA GUZI WA HAKI ULIO VUNJA RECORD YA DUNIA🤐🤐🤐 hongera ta nzania yangu Nina omba anaye mjua kiongozi HUYO anipe jina tafadhari"" (2) TANZANIA: ndiyo inchi inayo ongoza kwa ukubwa wa kijografia,madini,vivutio vya utarii,alidhi nzuri, lakini ndiyo inchi inayo ongoza kwa kuwa na jobless wengi zaidi east Africa pia home less wengi (3)TANZANIA: iliyo zungukwa na maziwa makuu matatu Yani nyasa,tanganyika,Victoria, bado Kuna maziwa ya ndan Kama vile natroni,manyala, nk pia Kuna ma bwawa Kama vile kyungu lulu.chara mito mikubwa mikubwa Kama rufiji.ruaha. lakini ndiyo inchi pekee Inayo sumbuliwa na tatizo la umeme,😂😂 maji😂😂 na wanaogopa Sana mvua ziki chelewa utadhani Hawa fahamu chochote kuhusu irrigation agriculture MAA rufu Kama kilimo Cha umwagiliaji😂😂😂🤗🤗(4)TANZANIA:ukinunua ndege andaa na uwanja wako😂😂ukinunua treni andaa na reli yako🤣🤣🤣(5) TANZANIA Bei ya gari japani.Ni nusu ya ushuru wa gari hapa tanzania"kwa watu wanaitwa T.R.A." YAANI ukinunua gari la milioni 50 Basi andaa MILION 100 za kusajiria na ushuru😋😋😋 (6)TANZANIA:huku kubaka au kumpa mwanafunzi mimba Ni miaka therathini jera""lakini ufisadi wa billions of tanzanians shilings Ni Mambo ya kuzungumza tuu Kisha yanaisha unaendelea Kula Bata dar istoshe Wana kupa na ulinzi ili usije ukaibiwa ulicho iba"""🤣🤣🤣🤣(7)TANZANIA:ukiiba kuku nihatari zaidi kufungwa kuriko ukiiba gari BAJAJI NK🤗🤗🤗""Basi wakuu Mimi niishie hapa.! endeleeni kumimina sifa zilizo tukuka za taifa letu HAPO chini kwenye comment. Mimi zangu zime ishia HAPO karibuni,.......
8. Ni nchi ya kwanza africa Rais anatokea nchi nyingine kwenda kuwatawala bila kupigiwa kura
9. Ni nchi ambayo mbunge au diwani anaweza kuchaguliwa kwa kujua kusoma na kuandika tu ila akishinda ataruhusiwa kutunga sheria
 
Habari za Sasa hivi wakubwa zangu.wadogo zangu.kaka na Dada zangu hapa jamii forums bila kusahau babu zetu hapa jf kina mshana Jr, kina bujibuji, nk heshima kwenu wakuu.,. leo nime ona niwa shilikishe MAAJABU"ya viongozi wetu.tangu Uhuru hapa tanzania.na ya fuatayo ndiyo maajabu yenyewe ambayo mataifa mengi duniani Wana tusifu nakutuona watu wa ajabu Sana" tulio tukuka na Kuna habari za sili sili kwamba tz ndiyo tunao ongoza kwa kuwa na hakili hapa East AfricaBasi tuanze na maajabu yenyewe Kama ifwatavyo (1)naskia Kuna kiongozi Alisha wai kutawala hapa tz kiongozi huyu ilikuwa ikifika kipindi Cha uchaguzi Basi aliweka picha yake na kimvuri kwahiyo watu wali chagua Kati ya picha na kimvuri narudia tena wa TZ wali fanya ucha guzi Kati ya picha na kimvuri HUU ULIKUWA UCHA GUZI WA HAKI ULIO VUNJA RECORD YA DUNIA hongera ta nzania yangu Nina omba anaye mjua kiongozi HUYO anipe jina tafadhari"" (2) TANZANIA: ndiyo inchi inayo ongoza kwa ukubwa wa kijografia,madini,vivutio vya utarii,alidhi nzuri, lakini ndiyo inchi inayo ongoza kwa kuwa na jobless wengi zaidi east Africa pia home less wengi (3)TANZANIA: iliyo zungukwa na maziwa makuu matatu Yani nyasa,tanganyika,Victoria, bado Kuna maziwa ya ndan Kama vile natroni,manyala, nk pia Kuna ma bwawa Kama vile kyungu lulu.chara mito mikubwa mikubwa Kama rufiji.ruaha. lakini ndiyo inchi pekee Inayo sumbuliwa na tatizo la umeme, maji na wanaogopa Sana mvua ziki chelewa utadhani Hawa fahamu chochote kuhusu irrigation agriculture MAA rufu Kama kilimo Cha umwagiliaji(4)TANZANIA:ukinunua ndege andaa na uwanja wakoukinunua treni andaa na reli yako(5) TANZANIA Bei ya gari japani.Ni nusu ya ushuru wa gari hapa tanzania"kwa watu wanaitwa T.R.A." YAANI ukinunua gari la milioni 50 Basi andaa MILION 100 za kusajiria na ushuru (6)TANZANIA:huku kubaka au kumpa mwanafunzi mimba Ni miaka therathini jera""lakini ufisadi wa billions of tanzanians shilings Ni Mambo ya kuzungumza tuu Kisha yanaisha unaendelea Kula Bata dar istoshe Wana kupa na ulinzi ili usije ukaibiwa ulicho iba"""(7)TANZANIA:ukiiba kuku nihatari zaidi kufungwa kuriko ukiiba gari BAJAJI NK""Basi wakuu Mimi niishie hapa.! endeleeni kumimina sifa zilizo tukuka za taifa letu HAPO chini kwenye comment. Mimi zangu zime ishia HAPO karibuni,.......

Tanzania ni nchi ambayo mwizi anayeiba simu yenye thamani ya elfu 50 anachomwa moto hadharani ila mwizi wa mabilioni ya pesa anaachwa anakula maisha
Nchi ya hovyo sana kuwahi kutokea duniani
 
Asa we mwamba huandiki kwa aya, ma emoji unayachanganya, story haieleweki mwenendo wake, unachanganya herufi halafu unatak comments zipi sasa!!??
 
Tanzania ni nchi ambayo mwizi anayeiba simu yenye thamani ya elfu 50 anachomwa moto hadharani ila mwizi wa mabilioni ya pesa anaachwa anakula maisha
Nchi ya hovyo sana kuwahi kutokea duniani
Mkuu nishidaaah.eti ukiumia lazima ukachukue pf3 Kwanza ndipo utibiwe vip hapoo
 
Habari za Sasa hivi wakubwa zangu, wadogo zangu, kaka na dada zangu hapa Jamii Forums. Bila kusahau babu zetu hapa JF kina mshana Jr, Bujibuji n.k, heshima kwenu wakuu.

Leo nimeona niwashirikishe maajabu ya viongozi wetu tangu uhuru hapa Tanzania. Na yafuatayo ndiyo maajabu yenyewe ambayo mataifa mengi duniani wanatusifu na kutuona watu wa ajabu sana, tuliyotukuka na kuna habari za siri siri kwamba Tanzania ndiyo tunaoongoza kwa kuwa na akili hapa Afrika Mashariki.🤣🤣

Basi tuanze na maajabu yenyewe kama ifwatavyo;

(1) Naskia kuna kiongozi alishawahi kutawala hapa Tanzania, kiongozi huyu ilikuwa ikifika kipindi cha uchaguzi basi aliweka picha yake na kimvuli kwahiyo watu walichagua kati ya picha na kimvuli.🤣🤣🤣

Narudia tena Watanzania walifanya uchaguzi kati ya picha na kimvuli, huu ulikuwa ni uchaguzi wa haki uliyovunja rekodi ya Dunia.🤐🤐🤐 Hongera Tanzania yangu, ninaomba anayemjua kiongozi huyo anipe jina tafadhari.

(2) Tanzania ndiyo inchi inayoongoza kwa ukubwa wa kijografia, madini, vivutio vya utalii, ardhi nzuri, lakini ndiyo nchi inayoongoza kwa kuwa na wasiyokuwa na kazi wengi zaidi Afrika Mashariki, pia wasiyokuwa na makazi wengi.

(3)Tanzania iliyozungukwa na maziwa makuu matatu Yani Nyasa, Tanganyika, Victoria, bado kuna maziwa ya ndani kama vile Natroni, Manyara n.k, pia kuna mabwawa kama vile Kyungu lulu, Chara, mito mikubwa mikubwa kama Rufiji, Ruaha, lakini ndiyo nchi pekee inayosumbuliwa na tatizo la umeme,😂😂 maji😂😂 na wanaogopa sana mvua zikichelewa. Utadhani hawafahamu chochote kuhusu irrigation agriculture maarufu kama kilimo cha umwagiliaji.😂😂😂🤗🤗

(4) Tanzaniaukinunua ndege andaa na uwanja wako,😂😂ukinunua treni andaa na reli yako.🤣🤣🤣

(5) Tanzania bei ya gari Japan ni nusu ya ushuru wa gari hapa Tanzania "Kwa watu wanaitwa T.R.A.". Yaani ukinunua gari la milioni 50, basi andaa milioni 100 za kusajiria na ushuru.😋😋😋

(6) Tanzania huku kubaka au kumpa mwanafunzi mimba ni miaka therathini jela, lakini ufisadi wa billions of Tanzanians shilings ni mambo ya kuzungumza tuu kisha yanaisha, unaendelea kula bata Dar. Isitoshe wanakupa na ulinzi ili usije ukaibiwa ulichoiba.🤣🤣🤣🤣

(7) Tanzania ukiiba kuku ni hatari zaidi kufungwa kuliko ukiiba gari, bajaji n.k.🤗🤗🤗

Basi wakuu mimi niishie hapa, endeleeni kumimina sifa zilizotukuka za taifa letu hapo chini kwenye comment. Mimi zangu zimeishia hapo.

Karibuni.
Hili la kiongozi kuwa na picha na kivuli wakati wa uchaguzi siyo tatizo hata kidogo kulingana na hali ya wakati huo. Kipindi hicho demokrasia haikuwa imefikia kiwango cha sasa na ni afadhali kabisa hata huyu aliyekuwa anaweka picha na kivuli. Kuna wengi walikuwa wamefuta kabisa uchaguzi na kujitangaza kuwa marais wa maisha. Kipindi cha Nyerere ulichaguzi ulikuwa huru na wa haki kuliko maigizo yanayofanywa sasa hivi kama ushenzi ulifanywa na Magufuli mwaka 2020.
 
Kiukweli JPM alifunga kazi na nimiongoni mwa maajabu pia mkuu yule kwamba alikuwa hatari mnooo
 
Back
Top Bottom