viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hamas: Viongozi wetu wapo majumbani, vitani sio hospitali

    Hamas: kumekucha Viongozi wetu wapo majumbani mwao, na si mahospitalini. Wanapanga mikakati ya kuwamaliza Israel. Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema madai ya utawala wa Kizayuni kwamba viongozi wa harakati hiyo wapo katika njia za chini ya ardhi ya...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kwa ukosefu wa Umeme hasa Mkoani Mbeya tunaomba viongozi mjitafakari. Hii ni zaidi ya uhujumu uchumi

    Tunataka Serikali ijitafakari kwa hali inavyoendelea kuhusu upatikanaji wa Umeme. Mbeya kila siku hakuna umeme ni usumbufu tuu. Hii inakera sana, heri muache kusafiri lakini shughulikieni suala la Umeme. Miezi sita mliyosema yatakuwa yaleyale Miaka 62 bado umeme unasumbua sana, itawezekana Kwa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila wanapokwenda viongozi wakuu wa nchi Rostam anatangulia kufika?

    Kila eneo tunapotegemea kwenda kitaifa kufanya majadiliano ya kiuchumi Rostam anakuwa mstari wa mbele. Je, hakuna wafanyabiashara wengine wanaoweza kupewa hizi fursa? Nini faida ya huyu bwana kutangulia kwenye mataifa anayokwenda mkuu wa nchi kiuchumi? Anakwenda kutangaza biashara binafsi kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi ( Marais ) wengi wa Bara la Afrika wanaamini Ushirikina kwa 85% wawapo Uongozini?

    1. Kuna Mmoja akitaka Kuuliwa akivaa Kofia yake Maadui zake hawamuoni. Na huyo huyo pia kama Maadui zake wakimkaribia hugeuka Mbuzi na Kondoo wengi. 2. Kuna Mwingine akienda Kuhutubia Watu lazima auoge Mkojo wake. 3. Kuna Mwingine ili Safari yake ya mbali ili ifanikiwe au azime Jambo fulani...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu wa CHADEMA siyo maskini wala matajiri; wana amani na fikra huru. Kuna la kujifunza kwao

    CHADEMA ina viongozi ambao siyo matajiri sana na siyo maskini sana. Siyo mafisadi wala hawana nafasi yakupata kipato kisicho halali. Wanafamilia sawa na viongozi wa CCM na wanavaa na kula kama wenzao wa chama tawala. Pamoja na kuwa na kipato cha haki ila wako huru kueleza hisia zao kisiasa...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa benchi la ufundi Simba viongozi mkiipata mpelekeeni Robertinho kuepuka aibu ya goli 5

    Ili kuepuka aibu ya kufungwa goli nyingi katika mchezo wa marudiano AFL kesho (pamoja na ahadi ya bilioni moja kutoka kwa Mo endapo akishinda mchezo wa kesho) kiufundi naona mambo yafuatayo yanapaswa kufanyiwa kazi. Simba wanapaswa wajiuekuwa wanatimu mbovu. Hawana Golikipa hata mmoja ukitoa...
  7. JamiiForums Tanzania Viongozi haswa vijana wanalo la kujifunza kutoka kwa Makonda

    Nichukue fursa hii adhimu nikiungana na watanzania kwa mamilioni waliofurahishwa na uteuzi wa Jembe na kiboko ya wahuni ndg.Paul Makonda. Hakuna atakayebisha kuwa Makonda ameonesha integrity ya hali ya juu kwani toka apumzishwe sikuwahi kumsikia akiropoka kwenye media yoyote wala kujibu matusi...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania wanapata wapi fedha za matamasha, hafla na makongamano wakati kila siku tunakopa huko Duniani?

    Tunapenda sherehe, lakini tulivyo masikini tunawezaje kuzimudu hizi sherehe? Dunia ipo kwenye mdororo wa uchumi, viongozi huko Duniani wanabana matumizi sisi tunatafuta matamasha ya kuwashirikisha viongozi wakuu wa kitaifa: fedha tunatoa wapi? Kama wanaotukopesha wanabana matumizi sisi...
  9. JamiiForums Tanzania Viongozi wangu wa CCM inatosha sasa, TEC hawatatuelewa hadi tueleweke!

    Lazima niseme. Nguvu kubwa inafanywa na viongozi wetu wa CCM Taifa ambao pia ni viongozi serikalini kupata 'uungwaji mkono' na Maaskofu wa Kanisa Katoliki. Ni maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Kuanzia Mwenyekiti/Rais hadi viongozi wengine waandamizi wamekuwa 'busy' na kutafuta...
  10. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kujadili uwezo wa viongozi Tanzania

    Leo siweki Maneno Mengi.Nawaletea tu Skeli ya Kupima IQ ya Viongozi wetu.Skeli itakuwa Vipimo Vitano ambavyo ni hivi hapa Chini: Anaelewa Nafasi na Wajibu wake na anaitumia nafasi yake vizuri kutimiza wajibu Anaelewa Nafasi na Wajibu wake lakini Hatumii nafasi yake kutimiza wajibu wake Haelewi...
  11. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali mjitafakari

    Siku hizi mjini Kuna kasumba ya viongozi wetu wanasiasa, kazi Yao ni kukera wananchi. Nasikitiswa na hivyo vitendo wanavyovifanya. Kuna serikali ya awamu ya Nne, Tano na Sita. Asilimia 98 ya watendaji ni wale wale, yaani ndio waliotenda hizo awamu zote. Lakini kinachosikitishwa ni kuwa madudu...
  12. JamiiForums Tanzania Kuweni serious na vijana, msiongee tu

    Kila ninapopita nakutana na sakata la vijana, jinsi viongozi wanavyowazungumzia ni watu wasiojituma, wasiopenda kufanya kazi, yaani vijana wa Kitanzania wanaonekana hawapendi kazi kuliko vijana wengine duniani. Viongozi walioajiriwa wanatuambia sisi tujiajiri. Mtu unaweza vipi kujiajiri pasipo...
  13. JamiiForums Tanzania Leo nimekumbuka sana maisah ya chuo,kinachozunguka kichwani mwangu viongozi wa wanafunzi(CCM wings) wapo kwenye hali gani?

    Maisha ya chuo yanaraha na karaha zake bhana yani ni sawa pepo na dunia unaishi muda mchache maisha magumu then unaambiwa bata lipo peponi unaishi katika uzima wa milele,naamini kabisa kwa mliosoma DODOMA UNIVERSIT -UDOSO sio kitu kigeni yaani mashauzi mengi na hasa mawaziri wa fedha(wanajiona...
  14. JamiiForums Tanzania Hili agizo la Serikali kugharamia misiba na maziko ya viongozi wa CCM ni dhuluma kwa kodi zetu

    Leo asubuhi nimesikia kwenye redio kipindi cha kusomewa magazeti kuwa rais ameagiza serikali isimamie na kugharamia maziko ya makada wa CCM huko Njombe waliofariki kwa ajali wakiwa kwenye shughuri za chama chao, kitendo hiki hakitoi haki kwa watamzania wote ambao si wafuasi wa CCM ambao...
  15. JamiiForums Tanzania Pwani: Viongozi 24 wasakwa kwa kuuza Shamba la Wizara ya Mifugo na Uvuvi

    Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge ametoa siku 14 wasakwe na kukamatwa viongozi 24 wanaotuhumiwa kujihusisha kuwatapeli watu na kuwauzia eneo la shamba la mitamba mali ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi. Viongozi wanaotafutwa ni pamoja na mabalozi, wenyeviti wa mitaa, watendaji walioshirikiana...
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi wetu wajifunze dhima za mikutano

    Nimeshangazwa na Viongozi wetu kutojua dhima ya mkutano au kusudio la mkutano wanaoshiriki. Mfano mzuri ni mkutano wa Leo pale Manyara Babati kwenye uwanja wa Tanzanite. Dhima kubwa ya mkutano ule au tuseme sherehe ile ilikuwa kumuenzi baba wa taifa, ila Viongozi wetu walikuwa tofauti na dhima...
  17. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Saudia na Iran wajadili vita na kusema wako pamoja na Palestina

    Mwana mfalame wa Saudia Mohammed Salman na raisi wa Iran Brahimi RAaisi wamezungumza kwa simu kwa mara ya mwanzo hapo juzi na kukubaiana kuiunga mkono Palestina katika madai yao. Mohammad Jamshidi amabaye ni naibu wa masuala ya mambo ya nje aliandika kwenye akaunti yake ya X kuwa mazungumzo...
  18. JamiiForums Tanzania Viongozi wa kitanzania wanahimiza maadili ya kitanzania. Je wao wanayaishi maadili hayo ya kitanzania?

    Imefikia wakati viongozi wetu wawe wakweli tu.Wanasisitiza maadili ya kitanzania wakati wao hawaishi katika maadili ya kitanzania. Je viongozi wetu mnaishi kwa maadili hayo mnayoyaita ya kitanzania ambayo mnasisitiza vijana wetu wayafuate. Viongozi ni binadamu kama sisi na tuko nao kila siku...
  19. JamiiForums Tanzania Kiufundi nakataa huu Upuuzi unaotaka kufanywa na benchi la Ufundi la Simba SC kwa Kulazimishwa na baadhi ya Viongozi wa Simba SC

    GENTAMYCINE najua kuwa Kipa Aishi Manula anakula na baadhi ya Viongozi Waandamizi wa Simba SC na ndiyo maana hata akiharibu analindwa nao kwa nguvu Kubwa. GENTAMYCINE najua kuwa Kipa Aishi Manula anakula na baadhi ya Waandishi wa Habari wa Michezo na hata Wachambuzi wa Michezo ili Wampambe /...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Korogwe tunakereka kusimamishwa muda mrefu barabarani ili kupisha misafara ya viongozi wa Siasa, hii sio sawa

    Hapa Korogwe Mkoani Tanga tuna changamoto ambayo naomba leo tuiweke wazi kwa sababu imetufika hapa (shingoni). Naomba kuripoti kero juu ya misafara ya viongozi wanaopita hapa Korogwe Mjini yaani tunasimamishwa muda mrefu sana kisa msafara wa viongozi au kiongozi. Mara nyingi tu shughuli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…