viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kila kitu sio kumsingizia shetani sasa sisi waumini tumwamini nani sasa kati ya shetani na viongozi wa dini tunaowategemea.

    HAYA NI MATUKIO MAWILI TOFAUTI YALIYOTOKEA WIKI ILIYOPITA Askofu Mkuu wa Makanisa ya Methodist, Joseph Bundala amejinyonga ofisini kwake kwa kutumia waya wa simu Chanzo mwananchi 17th May 2024 xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx . Inadaiwa, kabla ya kujinyonga Frateri...
  2. JamiiForums Tanzania Viongozi walioonesha wanayamudu majukumu yao

    1. Dkt. Gwajima D, Waziri wa Maendeleo ya Jamii... 2. Jerry Slaa, Waziri wa Ardhi 3. Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Arusha 4. Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Hawa ndiyo niliowaona. Tutajie na wewe wa kwako.
  3. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri Jerry Slaa, kuna mpango wa ufisadi upimaji wa viwanja eneo la Uwanja wa Ndege Tabora. Viongozi wa Ardhi na Mkurugenzi wanachezewa mchezo

    Sina exactly eneo ila inaelezwa nyuma ya uwanja wa Ndege Tabora kuna eneo lenye zaidi ya Hekari mia nane linalomilikiwa na wananchi . Inaelezwa kwamba wananchi wameomba ilo eneo walipime wenyewe wakakataliwa badala yake wakaambiwa ofisi ya Ardhi ina kampuni za upimaji za watu binafsi watawapa...
  4. JamiiForums Tanzania SoC04 Ili kuwa na familia imara na viongozi bora wa baadae Tanzania ifundishe somo la “Utaifa” kuanzia darasa la awali

    ILI KUWA NA FAMILIA IMARA NA VIONGOZI BORA WA BAADAE TANZANIA IFUNDISHE SOMO LA “UTAIFA” KUANZIA DARASA LA AWALI ILI KULINDA TAMADUNI ZETU NA KUJENGA JAMII YENYE MAADILI MEMA. SHULE AU DAY CARE ZA MITAANI PIA ZISHIRIKISHWE MAANA WATOTO WANASHINDA HUKO. Kabla sijaanza anaomba nitoe Maana ya...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ansbert Ngurumo azungumzia namna ya kuchagua viongozi wabaya

    Moderators naomba clip hii muiache kwa manufaa ya wapiga kura wa chadema na watanzania kwa ujumla. Erythrocyte
  6. JamiiForums Tanzania Video: Kwa Hali Hii Viongozi Mnapata Wapi Ujasiri wa Kutuhimiza Tulipe Kodi?

    Tazama mwenyewe hali ilivyo kwenye Usafiri wa Mabasi yaendayo kasi, jijini Dar es Salaam alimaarufu "mwendokasi"
  7. JamiiForums Tanzania Viongozi wa shirikisho la soka Tanzania hivi mbona mnapenda kujiabisha waziwazi kila mmoja ajue mapungufu yenu?

    Kuna matukio mawili yameongozana yamedhihirisha ni wazi TFF ina watu wasiokuwa na uadilifu, wasiokuwa na maono na hawana upeo wa kufikiria, kuchambua vitu kwa kina. Tukio la kwanza ilikuwa ni kitendo cha kupeleka fainali ya kombe la CRDB federation cup Manyara. Tukio la pili ni kitendo cha...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kauli za Viongozi kuhusu Kodi

    Nimekutana na hizi clip mbili naona msisitizo wa maswala ya kodi. Kweli nimeamini bila kodi nchi haiwezi sogea. Nadhani kuna umuhimu na tra wakaongeza nao elimu kuhamasisha ili tujue taratibu na aina za kodi tunazopaswa lipa. Nafahamu kuna kitengo cha elimu kwa mlipakodi wito wangu kiongeze...
  9. JamiiForums Tanzania Sababu zinazopelekea viongozi kukingiana vifua pale wanapotakiwa kuwajibishwa kisheria, madhara yake katika maendeleo ya Taifa

    -Kwa zaidi ya asilimia 90% viongozi wetu wanapatikana kupitia michakato ya kisiasa. Either kwa kuteuliwa na kiongozi wa kisiasa au kuchaguliwa na wananchi na wadau kupitia chaguzi zilizowekwa na zinazotambulika kisheria. -Chama cha kisiasa hasa hapa kwetu nchini ni kama familia ambayo ina...
  10. JamiiForums Tanzania Hali ni mbaya hii nchi kila kundi linateseka isipokuwa viongozi

    Kila Kona tunaona mabango ya sifa na mapambio kwa mkuu "anaupiga mwingi anaupiga mwingi" lakini hali halisi ya mtaani ni tofauti sana kwa sasa upatikanaji wa pesa mtaani umekuwa ni mgumu mno gharama za maisha nazo zipo juu wananchi tunateswa sana hakuna kundi la watanzania lenye unafuu isipokuwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Chama, Kibu na Mickson kama wako vizuri wacheze vs KMC, gemu ni ngumu sana hiyo viongozi wa Simba

    Michi vs KMC ni ngumu, ili tuwabamize mabao 5 ni lazima tuwenna quality players, Ile mechi ya Jana vs Geita angekuwepo Chama, Kibu ambaye alikuwa majeruhi na Mickson wangeweza kuibuka na hata mabao 6 jana, hawa akina Balua bado utoto na uchale mwingi, Jana kama Onana angeanza angalau na yule...
  12. JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo viongozi wa majimbo kususa kisa uratibu

    Chama cha ACT-WAZALENDO kilianza vizuri katika ujenzi wa chama hasa ngazi juu lakini leo chama cha ACT WAZALENDO kimeshusha madaraka kwa viongozi wa majimbo 264. Majimbo haya 264 ambayo walichagua viongozi 15 ambao wanaunda kamati ya uongozi wa jimbo ambapo baadhi ya nafasi hizo ni: (I)...
  13. JamiiForums Tanzania Utambulisho wa Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na JKT Bungeni wakati wa Uwasilishwaji wa Bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Ulinzi na JKT

    Utambulisho wa Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Bungeni wakati wa Uwasilishwaji wa Bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, tarehe 20 Mei 2024.
  14. JamiiForums Tanzania Je ni kweli Pamba Jiji yatimua viongozi wake?

    Hatimaye, timu ya Pamba Jiji ya Mwanza imefanikiwa kurejea tena Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya wenyeji, Mbuni FC katika mchezo wao wa mwisho wa Ligi ya NBC Championship katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Kwa ushindi huo unaifanya Pamba FC...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Helkopta unaonekana siyo usafiri sahihi kwa viongozi wa kitaifa; nini maoni yako?

    Tumeshuhudia usafiri wa helkopta ukiondoa nafsi za viongozi mbalimbali hasa katika kampeni za kisiasa au operesheni mbalimbali zikiwemo za kijeshi. Ni usafiri ambao unafaha sana kuzunguka eneo kubwa kwa muda mfupi lakini ukumbana na changamoto kubwa ya hali ya hewa au hitilafu. Akili yangu...
  16. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo ni yenye wananchi na viongozi wazalendo na wenye kuipenda nchi yetu

    UTANGULIZI Nina kiu na shauku ya kuendelea kuona Tanzania yenye wananchi na viongozi ambao ni wazalendo na wenye kuipenda nchi yetu kwa dhati. MATARAJIO YANGU - Wananchi na viongozi wajitolee kwa ajili ya maendeleo ya nchi na wathamini maslahi ya taifa kuliko maslahi binafsi. Uzalendo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini, iepukeni dhambi hii

    Kwa kipindi hiki tunapoelekea kwenye chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwaka unaofuata kumekuwa na tabia ya viongozi wa serikali kuwaalika viongozi wa Dini kwenye matukio mbalimbali. Lakini pia kumekuwa na kawaida ya viongozi wa serikali kutoa mamilioni ya shilingi kama michango ya...
  18. JamiiForums Tanzania Hatimaye leo nimejiridhisha tatizo la Simba ni Viongozi

    Leo Simba Wana tukio (event) pale Dodoma mgeni rasmi akiwa Naibu Spika Zungu. Kinachonifanya niseme chanzo cha matatizo ya Simba ni Viongozi ni pale Mjumbe mmoja wa Bodi aliyepewa nafasi WA kuongea Kwa niaba ya Bodi na kumkaribisha mgeni rasmi, anapomwambia mgeni rasmi kwamba matokeo mabaya ya...
  19. JamiiForums Tanzania Katika kudhibiti matukio ya uhalifu ikiwemo mauaji, Waziri wa Mambo ya Ndani akutana na viongozi wa Dini

    Katika kukabiliana na matukio ya uhalifu yanayotokea katika jamii, Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imefanya Kikao Maalumu na Viongozi wa Dini lengo ikiwa kuhusisha kundi hilo maalumu katika kudhibiti matukio ya uhalifu ikiwemo mauaji, mmomonyoko wa maadili, matumizi ya dawa za...
  20. JamiiForums Tanzania Sifa wanazopewa viongozi hawastahili ni wajibu wao kutekeleza wanayoyafanya, siasa ni mchezo mchafu umejaa laana, unyanyasaji na dhulma

    Afrika ni bara lenye laana, limejaa watu wa ovyo sana haswa hawa wanaojiita chawa. Imagine unapambana usiku na mchana unatengeneza pesa alafu una-mteua mtu asimamie mali na pesa zako na unamlipa mwisho wa mwezi. mtu huyo anaenda dukani anakununulia kiatu kwa pesa zako, kwa upumbavu ulionao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…