John Mwaisengela
Member
- May 6, 2024
- 10
- 9
Nimekutana na hizi clip mbili naona msisitizo wa maswala ya kodi. Kweli nimeamini bila kodi nchi haiwezi sogea. Nadhani kuna umuhimu na tra wakaongeza nao elimu kuhamasisha ili tujue taratibu na aina za kodi tunazopaswa lipa.
Nafahamu kuna kitengo cha elimu kwa mlipakodi wito wangu kiongeze kasi hasa wakati huu wa technology kwenye mitandao ya kijamii.