Mjumbe wa kamati kuu ya halmashauri kuu ya chama cha Mapinduzi(CCM)Taifa Bw. Mohamed Abood, amesema Chama hicho hakitaki viongozi ambao watakuwa chanzo cha migogoro ndani ya chama na nchi kwa ujumla.
Abood amebainisha hayo jijini Dodoma wakati akifungua mkutano mkuu maalum wa uchaguzi wa...
Humphrey Polepole amesema "Leo kinachoendelea kwenye Uchaguzi wa Chama huko chini...ni kudhihirisha ni namna gani Chama kimedhohofika kwenye kusimamia Misingi, Nidhamu ya Wanachama, Maadili, Rushwa"
"Ni Haki kila Mtu kugombea lakini kwenye Chama ambacho tuna Kamkate kadogo ka fursa za Uongozi...
bunge la chama kimoja
chama kimoja
familia
haya
humphrey polepole
jeshi
kugombea
ndugu
nyie
polepole
polisi
saidia
ubunge
udiwani
utitiri
uwajibikaji
viongozi
vyeo
zamu
zao
Hali si shwari katika Halmashauri ya Mji wa Kibaha, baada ya watiania wa udiwani zaidi ya 10 kutoka hadharani na kuwalalamikia baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa mkoa wa Pwani na wilaya ya Kibaha, kuchakachua majina ya waliopitishwa na Kamati Kuu ya CCM ili kupigiwa kura na...
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, Julai 28, 2025 amewasimamisha viongozi wa chama cha wafanyabiashara wa nyama mkoani Katavi kwa tuhuma za ukiukwaji wa sheria, taratibu na miongozo ya uendeshaji wa biashara, ikiwa ni pamoja na kupandisha bei ya nyama bila kushirikisha mamlaka husika...
Zipo tetesi kutoka kwenye chanzo makini zinazosema viongozi wengi CHADEMA wapo njia panda, na wengi wanamuogopa mwenyekiti wao, kwa kuonekana wamemsaliti
Chanzo chetu kinaendelea kudodosa viongozi wengi mpaka wa ngazi za juu wanania thabiti ya kuingia CHAUMMA, lakini kauli na morali zao zao...
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imewahukumu viongozi wawili wa kundi la waasi wa Kikristo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) kwa makosa mbalimbali ya uhalifu wa kivita dhidi ya raia Waislamu wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vya mwaka 2013 na 2014, na kuwapa kifungo cha zaidi ya...
Julai 13, 2025 aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchni Cuba, Humphrey Polepole alitangaa kujiuzulu nafasi hiyo na nafasi nyingine za utumishi umma Jumapili akitaja sababu kadhaa za kufikia uamuzi huo ambao haukutarajiwa na wengi.
Sababu kuu alizotaja ni ukiukwaji wa taratibu za chama cha CCM...
Mimi nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 70. Hadi miaka ya 1980 naanza kupata uelewa, nagundua kuwa watu wachache sana kwenye ukoo wetu walijua kusoma na kuandika kiswahili. Waliojua Kiingereza walikuepo watu wawili tu waliomaliza form 4. Na familia yetu ndiyo ilionekana imeinuka kielimu na...
Wasaalam wapendwa viongozi wa wafanyabiashara ndogondogo makundi yote.
Narejea vikao vyetu na viongozi wenu kuhusu ajenda zinazohusu maendeleo ya biashara zenu kuwa: leo Tarehe 22 Julai, 2025 saa 8 mchana kutakuwa na mkutano wa kidigitali (zoom) nchi nzima mikoa yote yaani kati ya Wizara ya...
Kuna kitu mnakosea sana kukaa kimya na kuacha vijana wadogo kama akina Hilda Newton kumshambulia Mbowe na kumvunjia heshima kwa kiwango kikubwa, hii siyo sawa na haikubaliki hata kidogo na mbegu inayopandwa ni hatari sana.
Ukiangalia mambo yanavyoenda inaonekana kazi ya kulinda Legacy ya Mbowe...
Tunatia aibu kila mradi unapewa majina ya viongozi wa kisiasa.
Inamaana hamna majina mengine mpaka hao viongozi majina yao yatumike kila sehemu🤔🤔🤔🤔.
Hata kama ndio utamaduni basi tumezidisha kipimo kwakweli.
Na ni uchawa ndio unasababisha yote haya siamini kama hao wahusika walidhamiria au...
Habari za Sabato watu wa Mungu,
Niende kwenye Mada Kwa ufupi Sana,
Nimewaza mengi lakini kubwa huenda Wazee wetu walioasisi hili Taifa letu (Tanganyika) hakuwa JASIRI kama ambavyo tunawasoma kwenye historia.
Kiongozi shupavu haogopi ushindani, kuwajibika na kukubali ukosoaji mfano tangu...
Uzembe wa viongozi wetu wa Simba.
Leo Balla Conte amesaini Yanga
Pendekezo la Fadlu Davids limepuuzwa na viongozi
Viongozi wao wanahitaji Kagoma
Hakika Rage alikuwa sahihi kutuita mbumbumbu
Kwa mambo yanayoendelea
Kuna uwezekano kuna sheria zinatungwa serikali kujimilikisha account za viongozi na social influencers, maana yake hata kama account ni yako binafsi, as long as we ni public figure au kiongozi, utatakiwa ku handle credentials kwa serikali
Ili ukija kuhasi, basi usipate...
GT
Wale wahuni waliopeleka kesi ya mali wanasema kupitia mawakili wao Baadhi ya viongozi wa Chadema wanakosea kutafasiri amri ya mahakama.
Mawakili hao wanasema kupitia jambo TV hakuna hata kiongozi mmoja wa chadema anapaswa kufanya siasa kuanzia ngazi ya kitongiji aha ha 😄 🤣 😂 😆
Dunia simama...
Rais wa Cameroon mwenye umri wa miaka 92, Paul Biya amabaye ni kiongozi mkongwe zaidi duniani kwa sasa ametekeleza mabadiliko makubwa katika safu ya juu ya jeshi siku chache tu baada ya kutangaza nia ya kugombea kwa muhula wa nane kwenye uchaguzi wa urais utakaofanyika Oktoba 12. Kupitia amri za...
Leo nawiwa kutoa ushauri kwa watanzania wenzangu kuhusu hali ya utoaji haki nchini. Kwakuwa jambo lenyewe ni nyeti na lina uzito wa kipekee nitajenga maoni yangu kupitia kauli ya Ndugu Rostam Aziz, Mbunge wa Igunga 1994-2011, Katibu uchumi na fedha CCM 2005-2007, na Mjumbe wa kamati kuu CCM...
Nakiangalia mapito wanayopitia CHADEMA na Viongozi wake kama ndiyo wangekuwa wanapitia CCM,basi chama kingekuwa kilishakufa zamani.
Naamini ni mda wa kukipa madaraka chama cha Chadema kama kukomaa kimekomaa zaidi ya CCM ni vile tu serikali haitaki kuruhusu uchaguzi huru maana hata wanachama wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.