viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenye hutuba zake hamtaji mumewe kama viongozi wengine wana

    Ukifatilia hutuba nyingi za viongozi wanapoitimisha kuhutubia anatoa shukurani Kwa watu wake wakaribu kama mke, watoto nk, lakini naona mama amtaji mumewe kama sehemu ya watu muhimu kwake juzi wakati wakuvunja bunge sijasikia akisema au baba yetu hayupo? Naleta hoja.
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Hii hazi ilitakiwa ifanywe na viongozi wa EAC .nakubariana na Felix chitsekedi ,unafiki wa viongozi ni gonjwa baya

    https://youtu.be/18sRirxJAqo?si=LBEdYlUa0rtZF0dh Tulishindwa kumkemea Kagame aliyevamia DRC kwenda kuiba madini ya Kongo!! Mwafrica haendelei kwa sababu ya unafiki wa viongozi wa africa
  3. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ujasusi : Mwanadada Catherine Perez alivyobadili Dini na kuwa karibu na Viongozi huku akiipeleleza Iran kwa niaba ya Mossad

    Hii Inatufundisha Usiamini Mtu hata kama Atakuonyesha upendo wa hali ya juu Kati ya mwaka 2013 hadi 2015 mwanadada Catherine perez shakdam raia wa Ufaransa aliingia nchini Iran kutokana na kuvutiwa sana na siasa za Iran za kutokubali kushindwa mbele ya nchi zenye nguvu pamoja na...
  4. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Viongozi waanza kuchukua fomu za ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Baadhi ya viongozi nchini Tanzania wameanza kuchukua fomu za kugombea ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Miongoni mwa waliotangaza nia hiyo ni Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said, ambaye leo Jumamosi, Juni 28, 2025, amechukua fomu ya kugombea...
  5. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa serikali mashabiki wa Simba ni muda wa kuipambania Simba

    Hapo vip! Kwa nature wa mpira wa Tanzania kuna umuhimu viongozi wa serikali ambao ni mashabiki wa Simba kama Majaliwa,Makonda,kigwangwala,zungu,speaker Tulia n.k kuipambania Simba kwa kuinusuru kugandamizwa na viongozi wahuni mashabiki wa yanga.
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Part 2. Unabii kuelekea October: CCM itashinda kwa 85% , Makonda atakuwa miongoni mwa viongozi wakuu

    Habari! Kuna nyuzi kadhaa za kisiasa huenda nimeandika humu ndani. Moja ambayo niliitoa mwaka jana ndiyo nilisema unabii maana niliongea kitu ambacho Roho wa Bwana alisema, na nyuzi zingine zilikuwa personal view. Hii ya pili naandika UNABII. Thread 'Unabii kuelekea uchaguzi mkuu 2025' Soma...
  7. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu- Viongozi waliokuwa madarani minaona acha waendelee sababu wananchi hai wanataka nini japokuwa sikubaliani na mambo mengi wanayoyafanya

    MIMI NIMETANGAZA NIA YA KUWA RAIS WA TANZANIA NI UKWELI WATU WANAHAKI YA KUNIPINGA ILA NASHANGAA SANA WATU HAO HAO UNAWAKUTA WANALALAMIKA KWENYE NYUZI NYINGINE Kuna watu kibao hawamsupport Rais Samia na ccm cha ajabu wanakuambia makonda anafaa, wengine dotto biteko, wengine makamba, wengine...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba mkipeleka timu halafu ifungwe goli 5. Maama yangu weeeh

    Wakati mashabiki wengi wanasema timu isicheze. Sasa nyie pelekeni lakini muombe Mungu Simba ishinde tu. Itokee ifungwe mtawaeleza nini mashabiki wu
  9. technically

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na uraia wa Viongozi wanaotuongoza kwenye vyama vya siasa na serikalini kwa ujumla!!

    Nina mashaka na uraia wa Viongozi wengi wanaotuongoza kwa Sasa . Tanzania ni miongoni mwa nchi iliyosifika kwa amani haki na utulivu katika miongo 5 iliyopita toka mwaka 1961 hatukupata Uhuru kwa kumwaga damu lakini Sasa damu imekuwa kawaida kumwagika!! What if tuna Viongozi wenye itikadi Kali...
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Eneo la Wazi lililopo Shehia ya Mombasa, Magharib B linajengwa kimyakimya, Viongozi mpo kimya

    Mimi ni Mkazi wa eneo la Mchina Mwanzo katika Shehia ya Mombasa, Wilaya ya Magharib B, hapa karibu na kwetu kuna eneo la wazi ambalo limekuwa hivyo wazi kwa Miaka mingi, lakini hivi karibuni kuna ujenzi ambao unaonekana unataka kuanza na kwa tafsiri ya harakahara ni kama ‘ujenzi wa kimyakimya’...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kuongeza Kasi ya maendeleo, viongozi wazuiwe kula ugali,watumie ngano isokobolewa kwa chakula

    Salaam! Kama unataka kuwa Bora kiakili, uongoze watu vizuri, epuka kula ugali, WEWE na familia yako. Ugali haumpi mtu virutubisho vizuri kwenye ubongo ukilinganisha na ngano iisiyokobollewa. 1.Kilimanjaro wanatumia ndizi,tizama UWEZO wao kufikiri. 2. Bukoba na Kagera,chato, chakula ni ndizi...
  12. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Je, Viongozi Wetu Wana Tatizo la Malignant Narcissism? Tafakari ya Kisaikolojia kwa Wanaokandamiza Wakosoaji

    Mpaka sasa, mwenendo wa baadhi ya viongozi wetu unaashiria kuwepo kwa tatizo la kina la kisaikolojia ambalo linahitaji kuchambuliwa si kwa mihemko, bali kwa misingi ya kitaalamu ya clinical psychology na political behavior analysis. Kitendo cha kuwatishia, kuwakamata au hata kuwapoteza raia kwa...
  13. evangelical

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki limepiga Marufuku Viongozi wa Serikali/Wanasiasa kuhutubia/kusimama mbele ya madhabahu na kutoa neno

    Kanisa Katoliki latoa tangazo la kuzuia wanasiasa kuhutubia makanisani.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Itakapofika Oktoba (siku ya kupiga kura), akili za kuambiwa changanya na zako

    Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amesema, licha ya vyama mbalimbali vya siasa kuwa na kauli mbiu zake zikiwamo za "Piga kura linda kura (ACT Wazalendo, "Oktoba tunatiki ya CCM na No Reforms No Election ya Chadema, itakapofika siku ya kupiga kura, " akili za kuambiwa changanya na zako." Ameyasema...
  15. kyagata

    JamiiForums Tanzania Viongozi wengine wa kijeshi wa Iran wameuwawa na IDF

    Hawa wa Israel ni changamoto sana.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Majira yametimia ambapo viongozi watakataa viti vyao…

    Salaam! Ule mwisho uliotarajiwa, unakuja kwa njia ngumu sana na ya kutisha. Ni majira yameruhusiwa kutokea duniani Ili kuwakusanya watu pande kuu mbili. Na pande hizi ni pande mbili za kiimani, SI kidini. Yameruhusiwa majira ya vita, ufunguo wa vita hii ulianza 2020 Corona iliporuhusiwa...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Trump: Marekani inaweza kumuua Ali Khamenei, ni "easy target" inajua wapi yupo ila haitafanya kwa sasa

    Rais wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa Marekani inaweza kumuua Supreme Leader Ali Khamenei kwasababu ni "easy target" na inajua wapi alipo ila haitafanya kwa sasa ====== Trump: US could kill Iranian leader but won't - "for now" Donald Trump says the US knows where Iranian Supreme Leader Ali...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Ukweli Viongozi ni zao la wananchi maana wanatoka kwenye jamii , tatizo linaanzia kwenye jamii, mpe KIJANA wetu million 10 uone vipaumbele vyake!!

    Huo ndo ukweli mchungu , Viongozi ndo picha ya halisi ya JAMII husika Akili kubwa haiwezi kukubali kuongozwa na akili NDOGO Vipaumbele vya viongozi ni vipaumbele vya jamii husika Tunalaumu viongozi wanunua magari ya mabilioni kwenda kuzindua miradi ya mamilion au kutembelea wananchi wasio na...
  19. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tangu Rais Samia atoe mipasho kwa Mpina Jana, Leo kila Mbunge anamwaga Sifa huko Simiyu

    Wakuu, Nilikua naendelea kufuatilia ziara ya Rais wetu uko kanda ya Ziwa akiendelea kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo Mkoa wa Simiyu, nimegundua leo Kila Kiongozi anamwaga tu sifa kwa Mama, wenda wanaohofia Kutenguliwa kama Mpina au wanaohofia Mipasho ya Mama? Hili limenisikitisha sana...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Simba tuwajengee Mnara Karia na viongozi wa Bodi kwa Uzalendo wao kwetu

    Wametupambania sana tangu waingie madarakani. Na sasahivi wapo ambao wamewajibika kupoteza nafasi zao sababu yetu. Mbali na kutusaidia kupata ushindi tusiostahili kwenye mechi nyingi ila kubwa zaidi ni NAMNA WALIVYOJITOA MUHANGA ILE TAREHE 8 March. Bila wao ilikuwa zichukuliwe point 3 wapewe...
Back
Top Bottom