Viongozi Wanajua tunaishi zama zipi?

Viongozi Wanajua tunaishi zama zipi?

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
869
Reaction score
1,282
Mimi nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 70. Hadi miaka ya 1980 naanza kupata uelewa, nagundua kuwa watu wachache sana kwenye ukoo wetu walijua kusoma na kuandika kiswahili. Waliojua Kiingereza walikuepo watu wawili tu waliomaliza form 4. Na familia yetu ndiyo ilionekana imeinuka kielimu na kiuchumi pale kijijini.

Bila shaka kwa hali ile wakati huo watu wengi walikuwa wajinga, hawakuwa na elimu. Hawakujua mambo mengi na hawakupata taarifa kwa muda. Viongozi waliongeza watu wengi wajinga na hivyo kujiona wao ndiyo wanajua kila kitu.

Hali ya sasa ikoje?
Almost kila familia ina watu waliomaliza form 4 at least 1. Na kila familia ina at least mtu 1 ambaye anamiliki smartphone hivyo kupata taarifa kwa muda. Watu wa zama hizi wanahitaji uongozi ambao una dira na malengo ya kufikia matamanio yao.

Viongozi wetu wanataka kutuongoza wanavyotaka wao na siyo tunavyotaka sisi. Hilo ni bomu.

Usiku mwema
 
Asante mkuu.
 
Tulishaambiwa na wanazuoni nguli wa kiislam kuwa kuna watu wanaofuga majini .
Kuna watu wanaooa majini .
Kuna watu wanaozaa na majini.
Hivyo basi; kuna binadam ambao majini ni shemeji zao.
Kuna watu ambao majini Wakwe zao.
Kuna watu ambao majini ni wajomba zao na shangazi zao.
Kuna watu ambao majini ni mawakala wao .
Kuna watu ambao sio watu halisi .
Kuna watu ambao wanaendeshwa kwa hulka za majini .

Kwa hali hiyo kiongoni mwetu tunaishi na hata kutawaliwa au kuongizwa kisiasa na kiuchumi na kizazi cha kijini . Tutawatambuaje kwa matendo yao. Ni kizazi kilichijaa tamaa ya mali ,fedha ,madaraka , kupenda kuabudiwa na kutukuzwa ,kutoa makafara ya damu za watu na kuwalazimisha binadam kutoa makafara ya wanyama au watu . Hawajali kuona wanadam wa kawaida wakipata mateso au magonjwa au vifo. Ndio maana unaona bajeti yq kutubu magonjwa hatari kama figo. presha ,kisikari hawana habari nayo lakni wanatenga bil. 700 kununua magari ya kifahari yao ya kutembelea .
Polisi wanaolinda amani na usalama wao na wengine na hata kuwasaidia kuiba kura hawana habari nao wala maslahi yao zaidi ya kuwapa kikokotoo na mishahara midogo kwa ajira isiyo na mkataba unaowawezesha kuishi bila kero ya rushwa .
Hawapendi kuona Masihi Yeshua Akitukuzwa kuliko wao ndio maana wanafunga makanisa ili Yeshua au Yesu asitajwe tajwe na kusifiwa .
Hawaupendi ukristo ndio maana wanajitikeza wazi wazi kama alivyojitikeza Chalamila kusifia mafuta badala ya matendo mema na uadilifu na haki . Hawataki kusikia habari ya Haki kwa watu maana wanajua watu wakijua haki zao na kumsifu Mungu watakua huru kweli kweli kama Masihi Yesu alivyofundisha kuwa Mwana akiwaweka huru mtakua huru kweli kweli . Wanataka watu wawe watumwa wao ndio maana wanawafukuza watu kwenye ardhi zao na kwa sababu wana fedha nyingi wanapora ardhi kubwa ili kuwafanya watoto wa binadam kuwa watumwa kwenye ardhi yao .

Wanasema ushindi kwenye kutafuta madaraka ni Lazima sio Mungu akipenda. Wanasema hawapo tayari kwenda mbinguni wao wanataka kutawala tu maana wao ndio miungu wa dunia .

Wanawapandishia watu kodi,tozi kubwa ,riba kubwa kwenye mabenki , bei za mafuta,sukari , ngano n.k lakini wanashusha bei ya pombe.
Biashara za magendo na mihadarati ndio biashara zao maana zinawalipa haraka haraka.
Wanatoa rushwa kubwa kuliko mishahara watakayolipwa huko ili tu wapate udiwani au ubunge au Urais (Unajiuliza mtu anatia pikipiki na baiskeli zenye thamani ya zaidi ya bil.50 . Kwa nini asingetenda haki akape hata bil 30 akastaafu au akasimamia haki bila tamaa ya madaraka ,bila shaka wanajua madaraka ni biahashara kubwa kuliko zote maana huko ndiko wanakokwepa kodi,wanakouza madawa na wanapogawana pesa za mikopo na za kuagiza mbolea na sukari za michingo na kuuza rasilimali za nchi.
Hawajali wala hawana hofu kuwatumia polisi kuua au kujeruhi binadam maana hawana vinasaba vya utu. Wanapenda zaidi starehe.
Wanadhibiti zaudi vijana kujihusisha na siasa kuliko kukemea vijana kujihusisha na vitendo vya kishoga ,ubasha na usagaji . Hatusikii wakiwakamata mashoga na makahaba na walawiti wanaojiposti kwenye mitandoa badala yake wanaweka doria kukamata na hata kuwapoteza vijana wanaokemea mauaji ,rushwa na ufisadi na wizi wa kura na kila aina ya dhulma .

Uzao wa kijini wanapenda kutendewa mazuri wao tu na kupata kile wanachikitaka hata kwa dhulma . Uzao wakijini haupendi haki maana unajiona kuwa wao ni uzao bora zaidi hapa duniania.

Ni wajibu wa Waumini wa dini zote wale wanaoojua wazi kuwa binadamu wote ni ndugu kwa sababu ni waliozaliwa na Adam na Hawa ,waombe ili Mungu afanye kama wakati wa Nuhu na wakati wa Sodoma na Gomora kuondosha kizazi cha kijini miongoni mwetu kiroho na kimwili.
Tumuombe sana Mungu atupe viongozi na watawala wanadamu wenzetu wenye utu na wanaoguswa na maumivu yetu kama binadam .
Kama wao wanapenda kula vizuri au kuvaa vizuri, kujenga nyumba nzuri , kutibiwa vizuri,kulipwa vizuri na kuishi kwa uhuru na maisha marefu bila kukatizwa basi wasimamie hayo kwa wanadamu wote bila kujali dini na vyama au makabila .

Uchaguzi wa Mwaka huu ni uchaguzi kati ya Nuru au giza .
Ni uchaguzi kati ya Haki au dhulma .
Ni uchaguzi kati ya Wema au ubaya.
Ni uchaguzi kati ya waponyaji au wauaji .
Ni uchaguzi kati ya utu na unyama .
Ni uchaguzi kati ya Ukweli au uingo
Ni uchaguzi kati ya Usawa na madaraja Uchaguzi huu ni kati ya Kumuinua Mungu au kumwinua shetani .

Ni uchaguzi wa kuijenga CCM kwa vizazi vijavyo au kuimalizia miaka mitano iondoke kabisa 2030 .
Uchaguzi huu ni uchaguzi wa kuthibitisha matumizi sahihi ya akili kwa wanadam yaani kutumia maarifa(ya KiMungu kutoka utumwani au kuangamizwa zwa na Majini kwa kukosa maarifa )

Baba yetu Uliye Mbinguni ,jina lako litukuzwe (kuliko jina la Rais ),Ufalme wako uje (Ufalme wa haki ),Mapenzi yako yatimizwe hapa Duniani kama kule mbinguni ,utupe siku kwa siku riziki yetu (kila mtu umwekee shea yake kulingana na rasilimali ulizitupa sio wachukue wachache na wengi kuumizwa ) Utusamehe makosa yetu kama na sisi tunavyowasamehe wale waliotukosea sisi kwenye mitando na kwenye kauli za kisiasa na mambo binafsi wanapotuomba msamaha ) ,Usitutue Majaribuni (kwa kutuletea tena Mwanamke Mzanzibar mwenye uroho mali na madaraka kutawala juu ya Wanaume mil 30 kwa miaka mitano mbele ) Lakini utuokoe dhidi ya yule muovu (shetani na uzao wake wa kijini ) Kwa kuwa ufalme (utawala /Urais) ni wako hata milele na milele (pasipo mwisho / bila kikomo)
Wote tuseme Amina.
 
Back
Top Bottom