viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Natamani Viongozi wa Wilaya na Mkoa Katavi wangekuwa wanatumia Vyoo vya Stendi ya Mizengo Pinda labda wangevijali

    Leo Julai 16, 2025 nilikuwa nasafiri kutoka Mpanda kuelekea Sumbawanga, nikiwa Stendi Kuu ya Mabasi ya Mizengo Pinda nilienda msalani, jambo la kushangaza na kutisha nimekuta vyoo upande wa Wanaume sio tu vichafu bali vimejaa maji taka hadi juu. Naziomba mamlaka hususani hasa Mkurugenzi wa...
  2. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Nini kipo nyuma ya hawa viongozi ambao umri umeenda na bado wanataka Madaraka?

    Wakuu, Kwa kawaida hata mtu mwenye miaka 90+ bado anatangaza nia ya uraisi na wananchi wanashangalia na anashinda kwa asilimia zaidi ya 70+ mbunge mwingine hata kusimama tuu ni changamoto Lakini bado wanataka Madaraka, hivi ni nini kipo nyuma ya pazia? Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
  3. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani alaumiwa kwa kuwaaibisha viongozi wa Afrika

    Marekani hivi karibuni iliandaa mkutano kati yake na nchi tano za Afrika ambazo ni Gabon, Guinea-Bissau, Mauritania, Senegal na Liberia. Lakini kwenye mkutano huo, Rais Donald Trump wa Marekani alifanya vitendo vingi visivyofaa kwa viongozi wa nchi hizo za Afrika, na jambo ambalo limewakasirisha...
  4. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa chadema na wafuasi akili zao hazipo timamu

    Hawa jamaa nashindwa kuelewa akili zao kesi ya lissu Kila siku inapigwa kalenda huku akiteseka mahabusu na yenyewe yapo mahakamani halafu yanatoka huko yanakuja kujiliza mitandaoni sijui huu uoga wa Hawa jamaa utaisha lini na yalivyo majinga yanajaa mahakamani eti kusubiri haki wakati huku nje...
  5. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Acheni Kununua V8, rekebisheni Magereza kuna dalili kwa wengi yatakuwa Makazi ya kudumu

    Kuna wimbi kubwa sana la kutumia pesa nyingi kununua magari ya kifahari ma V.8 kwa ajili ya viongozi hadi makatibu tawala (W) pia. Wakati Hassan El Bashir na wenzake walipo ondolewa madarakani makosa ya Ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka kule Sudan( ambayo viongozi wengi hapa wanayo)...
  6. mshale21

    JamiiForums Tanzania Je, kukosa akili, kuwa Chawa na kusifia viongozi ni vigezo vinavyofaa kuwa mbunge kupitia CCM badala ya uadilifu na utendakazi?

    Siku hizi msema kweli, muadilifu , mtu wa haki na mtetezi wa wanachi anayepinga udhalimu, ufisadi , rushwa nk, hastaili kuwa mbunge kupitia CCM? Je, CCM inahitaji watu wapambe , chawa, wasiowajibika kwa wananchi na wenye muonekano kama wasio na akili ndio vipaumbele vya watu wanaostahili...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Iran wanaamini kuwa Israel ilitumia majini kwenye vita vya juzi, haiwaingii akilini kuwa walipigwa kizembe

    Kipigo cha juzi ambapo Israel iliteka anga lote la Iran na kujipigia kila walichotaka kupiga, ni kitu kinawasumbua sana Iran, ilitokeaje yaani kivipi licha ya wao kuamini katika Allah wao, iweje Mungu wa Israel aliwezesha vyote hivyo. Kuna viongozi wameanza kusema yote hiyo ilifanyika kwa nguvu...
  8. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Viongozi unapoishi wanawajibika kwa wakati au maneno mengi tu?

    Katika hali kama hizi ambapo miundombinu huharibika kutokana na sababu mbalimbali na kusababisha Wananchi kuingia kwenye mateso makubwa wanapokosa huduma za msingi kwa muda mrefu. Hali hiyo huhitaji maamuzi ya haraka ya kurekebisha miundombinu bila kusubiri msukumo kutoka ngazi za juu, lakini...
  9. Course Coordinator1

    JamiiForums Tanzania Nchi hii viongozi wengi ni wanafiki, unaagiza wenzako wachujwe ila wewe hutaki uchujwe

    Aman iwe nanyi Mwaka huu 2025 ni mwaka wa Uchaguzi. Kama tunavyojua hiki kilikua kipindi ambacho Hayati Magufuli ikiwa angekuwepo angekabidhi kijiti kwa Rais mwingine ambaye ndo angekua Rais wa Awamu ya Sita, yakatokea yaliyotokea Mzee wa Watu mwili ukarudi katika mavumbi, mwili ukarudi katika...
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanaitegemea CCM Kuwaletea viongozi bora

    Hilo ni jukumu ambalo wananchi kutoka kata na majimbo yote wameikabidhi CCM kuhakikisha kuwa viongozi wenye tija,weledi,hofu ya Mungu na kaliba inayofanania wanapitishwa kuingia kwenye kinyang'anyiro cha Uchaguzi huu wa 2025. Tuwape haki hii!!Tunajionea wanavyojitokeza kusema!
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wakuu wa CHADEMA leo hawajahudhuria kesi ya Lissu Mahakama Kuu?

    Nimeangalia video kadhaa za kesi hiyo leo tarehe 11.07.2025. Sijamuona Heche, wala Mnyika, je na wao wameanza kumchoka?
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kiza Kiyeye: CCM wamepitisha mafao kwa wake wa viongozi wakati watu wanateseka

    Wakuu, ivi kuna kipindi tuliambiwa tupo uchumi wa kati tulifikaje? kwa sera hizi hizi au kuna zingine mpya ======= Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Mkoa wa Kigoma, Kiza Mayeye ameshangazwa na hali duni ya uchumi ilhali bungeni wabunge wamepitisha sheria ya mafao kwa wake wa Viongozi wakuu.
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mdau: Wimbi la Wagombea wapya limechochewa na viongozi wanaomaliza muda wao kushindwa kutimiza wajibu

    Mdau wa siasa na mkazi wa Dar es Salaam, Ramadhan Mashauri, amesema idadi kubwa ya watu wanaojitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi za uongozi, ikiwemo ubunge, inatokana na viongozi wengi wanaomaliza muda wao kushindwa kuzitendea haki nafasi zao wakati wa utumishi wao. Ameeleza kuwa hali...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald Trump amefanya Mkutano na Viongozi wa nchi tano za Afrika

    Rais wa Marekani Donald Trump, amefanya mkutano na viongozi wa nchi tano za Afrika, Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal katika Ikulu ya White House. Mkutano huo uliandaliwa kujadili masuala ya biashara, ushirikiano, usalama na uwekezaji wa kiuchumi kati ya Marekani na bara la...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Kwa sasa Viongozi hawawasikilizi tena Wananchi wanapolalamika na kuwapuuza

    Padri Kitima Kwa sasa Viongozi wapo juu ya wananchi, Hawawasikilizi tena Wananchi wanalalamika lakini wanawapuuza kama sisi wanavyotuuza, sasa hicho kiti kizuri kwa sababu unapowanyanganya watu madaraka ya kutawala nchi yao unajenga obwe la uwajibikaji na hapo hapo tujahakikisha unadumu madarakani.
  16. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Mentality ya viongozi wa Azam ni ya kitoto

    Yaani ni aibu kubwa kwa viongozi wa timu ya azzam fc kwa jinsi walivyozindua kits za timu yao kwa mwaka 2025-26,aibu tupu na dhahiri mentality yao ni ya kitoto kabisa.programu nzima ya uzinduzi imefanywa kiholela,hapakuwa na programu iliyoandaliwa vizuri,hapakakuwa na mc mzoefu na wala hapakuwa...
  17. Doji MD

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga mbona hamtupi majibu ya hoja zenu

    Mlisema amchezi bila kulipwa fedha zenu za ubingwa wa ligi zilizopita(CRDB CUP), Nauliza tu, au ndio zishalipwa kimya kimya.....?
  18. La Quica

    JamiiForums Tanzania Unafungia mtandao wa X, lakini wewe upo na unatuma maudhui! 😳

    Wakuu kuna jambo ambalo nimelitafakari bila kupata majibu toka serikali ilipofungia mtandao wa X almaarufu Twitter. Nimeshindwa kuelewa hii serikali inaendeshwa na wendawazimu ama vichaa kwakuwa kwa yanayoendelea ni udhihirisho tosha kuwa ni watu wasio na weledi, reasoning na hata common sense...
  19. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Heche athibitisha kuwa zaidi ya viongozi 360 kwa ngazi zote wameondoka CHADEMA

  20. mshale21

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kugombea ubunge , udiwani na urais viboreshwe, la sivyo tutatengeneza Taifa lenye viongozi vilaza

    Kwa vigezo vilivyopo na katiba mbovu tuliyonayo , ni wazi kabisa tunakoelekea tutatengeneza wabunge na mawaziri vilaza kuliko kawaida. Nashauri hili suala liangaliwe kwa jisho la tatu na kwa wivu mkubwa kwa maslahi mapana ya taifa letu, ni wazi kabisa kuwa walioitengeneza katiba hii...
Back
Top Bottom