viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea kwa Wananchi kususia michezo, ni mgomo wa waziwazi kwa Taifa lao dhidi ya Viongozi

    Hiki kinachoendelea kususiwa kwa Timu ya Taifa na mashabiki ni dhahiri kwamba wananchi wana kinyongo na Taifa lao, sio tu timu ya taifa itafika mpaka kwenye vilabu vya Yanga na Simba. Wajitayalishe kwa hilo; huwezi kumlazimisha mtu afwate siasa ambazo yeye hazipendi na bado ukamnyima haki, na...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI | Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi: Nampenda anayenikosoa zaidi. Wanaosifia wanamaslahi binafsi

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, nampenda anayenikosoa zaidi. Wanaosifia wanamaslahi binafsi.
  3. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Ni vyema viongozi wa klabu za michezo wasiwe wanachama wa vyama vya siasa

    Yanayoendelea sasa kwa Yanga na ambayo pia yamekuwepo Simba kwa baadhi ya viongozi wao kuwa wanachama waandamizi wa vyama vya siasa (hususani CCM) na kuleta mgongano wa kimaslahi kwa kulazimisha milengo yao ya kisiasa kuwa sehemu ya mienendo ya klabu wanazoziongoza, nadhani inapaswa liwe sharti...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha! Mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu nchini anavuta bangi

    Yawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati hutiliwa mashaka. Hiki ninachoandika ni taarifa rasmi niliyopewa toka kwa classmate wa mmoja wa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nimemsikia Dkt. Malisa akisema kama hakutakuwa na Mabadiliko anayodai Viongozi wa Dini zote wataongoza maandamano

    Akiongea na Watanzania walioko Diaspora kupitia mtandao wa Sauti ya Watanzania au Clubhouse,Dk Malisa alisema kuwa kama mambo anayodai mahakamani hayatakubaliwa,Viongozi wa Dini zote watawaongoza watanzania kuandamana kudai maboresho ya sheria za uchaguzi. Amesema amekuwa akiwasiliana na...
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Ukishughulika na viongozi wao, wafuasi watatawanyika

    Hii ni mbinu adhimu sana, navisihi vyombo vya ulinzi na usalama viitumie kusambaratisha wahuni. Najua kuna watu wao huko kwenye vyombo, lakini najua upo uwezekano wa kutekeleza hili ili taifa litoke hapa lilipo na kusonga mbele.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Sikutegemea Viongozi wa CCM kuweka Maslahi ya Tanganyika pembeni

    Hivi haya yanayofanyika yangewezekana kufanyika Zanzibar,atoke Mwanamke Tanganyika akagombee Urais Zanzibar na Wazanzibar wakamkubali,thubutu walahi isingetokea hata kidogo kwanza kwa msimamo wao wa kidini insingewezekana
  8. Damaso

    JamiiForums Tanzania TRA Kodi za Wananchi ni Maisha ya Viongozi?

    Tanzania Revenue Authority (TRA), taasisi iliyoundwa rasmi mwaka 1995 kwa madhumuni ya kukusanya mapato ya serikali, leo hii inakabiliwa na lawama nzito kutoka kwa wananchi wanaohoji uhalisia wa mchango wake katika kuboresha maisha ya Watanzania wa kawaida. Wapo wanaosema kuwa mfumo huu wa...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Wale viongozi uchwara wanijibu: Farao alivyokufa wale wana wa Israeli Je, Walisikitika au walishangilia?

    Nyie viongozi wakati mwingine muone haya kama asemavyo aliyekuwa mwenzenu Polepole! Ni kweli pengine polepole alikuwa kama nyinyi lakini Kaona haya moyoni mwake akaamua kutubu hadharani kwetu wanadam wenzake. Watu wengine HUJISEMEA Eti ukitubu kwa Mungu sirini inatosha, UKWELI ni kwamba...
  10. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Watanzania Wanashangilia Misiba ya Viongozi

    Kumekuwa na mwendelezo wa watu kushangilia pale anapofariki kiongozi. Mwendelezo huo umeonekana kwa Job Ndugai, aliyewahi kuwa spika wa bunge la Tanzania. Sababu kuu ni siasa peke yake au kuna mengine? https://youtu.be/_Djc1K7gyi8?si=3xf8Ix2eKiK0Qm0Q
  11. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA wasiruhusiwe kuhudhuria msiba wa Ndugai

    Tunasisitiza tena. Viongozi wa CHADEMA wasiruhusiwe kuhudhuria msiba wa Mheshimiwa Dr Ndugai. Wasije kuvuruga Amani
  12. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania Viongozi wasiopaza sauti zao kupinga utekaji na mauaji mkifa kwetu wananchi ni sherehe

    Habari hii iwafikie wote na napenda kutoa angalizo tusije kulaumiana baadae na kutafutiana ubaya Kama wewe unajijua ni kiongozi wa serikali au ni kiongozi wa kidini au kama wewe ni msanii au mwanamuziki au mtu mwingine yeyote wenye ushawishi katika jamii ambae mpaka sasa haujatumia nafasi yako...
  13. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Tuache Conspiracies na Speculations: Viongozi wengi ni Wagonjwa!

    Ni kweli Ugonjwa ni Siri ya mtu, lakini ukishakuwa public Figure kwa baadhi ya Sheria za nchi , diagnosis yako itawekwa hadharani. Hii yote ni kuondoa Conspiracy na Confusion kwenye jamii. Kwa mfano Trump amekuwa diagnosed na Chronic Venous Insufficiency ( CVI) ugonjwa ambao sio hatari but...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kwa nini baadhi ya watu hufurahia viongozi, wasanii wanapofariki au kupata misiba?

    Wakuu! Kumekuwa na matukio ya baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii kushangilia pale wasanii na viongozi wa Kisiasa wanapopata misiba. Hivi nini chanzo cha kufurahia?
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kama taifa kinahitajika chombo huru cha kuwashauri viongozi katika masuala binafsi

    Viongozi wetu huwa na washauri katika MASUALA ya kikazi katika katika MASUALA BINAFSI hawana washauri hivyo hujikuta wanafanya makosa anvayo huwaumiza wao binafsi, wananchi na hata majukumu Yao ya kikazi. Unadhani NI ushauri UPI binafsi ungependa kiongozi yupi aupate kama pangekuwa na chombo...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Wajumbe CCM ni kirusi nchini, Wanakula rushwa na kupitisha viongozi wasiofaa

    Hello jf members, Hilo halina ubishi hawa wajumbe wamegeuka janga kwenye nchi yetu. Bora kura tupige wanachama wote.
  17. Now and then

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Sikonge Tabora inakuaje mnaweka viongozi dhaifu sana ?

    Mlianza na Said Nkumba , mkaja Joseph Kakunda kwa ila kwa Munde. Mpo sahihi. Mnabidi kujitafakari Sana .
  18. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Familia za Viongozi ni Watanzania wana haki ya kugombea Uongozi

    1. Inasikitisha kusikia eti watu wanaingia wivu watoto/wenza wakiomba nafasi za Uongozi. Ni haki hao ya kikatiba kama Watanzania wengine. 2. Tunataka Mtoto/mwenza wa Kiongozi asigombee ili tupate nini?. Amevunja kufungu gani cha Katiba? 3. Kama lawama tuzipeleke kwa Walezi/Wazazi wetu kwa...
  19. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Polepole: Utitiri wa ndugu wa viongozi kugombea ubunge, Je, inafurahisha umma?

    Miongoni mwa hoja zilizoibua mjadala mkali kutoka kwa Balozi Polepole ni hili swali aliloliuliza: Utitiri wa ndugu wa viongozi kugombea ubunge, Je, inafurahisha umma? Balozi ameeleza kuwa, pamoja na kuwa kila mtu ana haki ya kugombea, KUTOSHEKA ni msingi mojawapo wa misingi ya uongozi katika...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Maelekezo ya mwenyekiti wa CCM Rais Samia Suluhu yaleta mabadiliko chanya katika kukuza demokrasia ya kuwapata viongozi

    MAELEKEZO YA MWENYEKITI WA CCM (T) MHE. SAMIA SULUHU HASSAN YALETA MABADILIKO CHANYA KATIKA KUKUZA DEMOKRASIA YA KUWAPATA VIONGOZI WAWAKILISHI KUPITIA UVCCM Tarehe 1 Agosti, 2025 itaendelea kukumbukwa kama siku ya mafanikio makubwa ndani ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), ambapo...
Back
Top Bottom