viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

    Usiku majira ya saa tisa, Polisi walivamia Hoteli aliyokuwa amefikia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na wageni wengine pamoja na wenyeji wao. Waliochukuliwa: 1. Freeman Mbowe 2. John Pambalu 3. John Heche 4. Rose Mayemba 5. Masenya(Mwenyekiti BAVICHA Ilemela) 6. Steven Odipo 7. Dr. Rwaitama 8. Seti...
  2. JamiiForums Tanzania Jukwaa la Katiba lalaani kukamatwa kwa viongozi wa CHADEMA huko Mwanza

    Huu hapa ndio ujumbe wao
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa viongozi wa CHADEMA: Lissu awataka wahisani kuacha kuisaidia Serikali

    Mwamba kaungurumu.
  4. JamiiForums Tanzania Ni muhimu kwa viongozi wetu wa kisiasa kuchagua maneno sahihi ya kujibu hoja za wananchi

    Nakumbuka awamu ya tatu wakati serikali ikitaka kununua ndege ya Rais aina ya Gulfstream G550 kwa thamani ya bilioni 46 Watanzania walio wengi, walionyesha kupinga hatua hiyo, kwa kuzingatia hali ya uchumi ya nchi yetu kwa wakati huo Lakini, aliyekuwa waziri wa fedha wa wakati huo, mzee...
  5. JamiiForums Tanzania Taifa lisilo na siasa safi na viongozi bora haliwezi kujali maslahi ya wananchi wa kawaida

    Wananchi wa kawaida ni wananchi ambao katika jamii ya Tanzania ni watu ambao wapo katika kundi ambalo wanaishi maisha duni. Hawa ni watu ambao kipato chao sio cha uhakika na hivyo hata uhakika mlo mmoja ni nadra kuwa nao. Kama ni wafanyabiashara ni wale ambao hata mtaji wa buku tano ni ngumu...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi kuna Wilaya inaipiku Liwale kutotembelewa na Viongozi wa Kitaifa?

    Ni matumaini yangu mu wazima..!? Hizi wilaya zetu pamoja na changamoto za miundombinu ya barabara kuna ulazima wa viongozi wa kitaifa kufanya ziara ikiwezekana mara baada ya mara. Lakini hali ikiwa hivi kama ilivyo huko wilayani Liwale inaleta shida katika utendaji wa baadhi ya watumishi wa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni Taifa la sasa lililokosa viongozi na wasomi wa kuliendeleza kiuchumi

    Kuna wakati unawaza na kujiuliza mambo mengi tu bila hata kupata chembe ya jibu , sasa unajiuliza hawa watu wanaojiita Maprofesa , Madaktari wa kisomi, Engineers wanafanya nini katika hili taifa ukiacha hao mprofesa kuna taasisi zinazojigamba kila siku kuwa ni best katika uchumi mfano REPOA...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mawaziri wakiongea hawatofautiani na viongozi wa vyuo vikuu kwa hoja za kitoto

    Kuna mawaziri wengine sijui kama huwa wanajisikiliza wakiongea! Nasema hivi kwasababu, ukisikiliza presentation ya baadhi ya mawaziri utagundua kabisa inchi yetu hii ni kichwa cha mwendawazimu kila mtu anajifunzia kunyoa na kutuacha na mabarango. Waziri wa fedha kila nikimsikiliza naona...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania fuateni misingi ya utawala bora

    Misingi ya utawala bora kwa miaka kadhaa imekuwa ni adimu kupatikana miongoni mwa viongozi wengi, ambapo kwa kiasi kikumbwa imekuwa ikizorotesha maendeleo ya kiuchumi na kudhoofisha demokrasia nchini. Misingi ya utawala bora katika jamhuri ya Muungano inajumuisha, uadilifu, demokrasia, utawala...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa serikali mnakwenda ibadani kufanya nini kwa mateso haya wanayopata watu wasio na hatia mabusu?

    Hivi kwa malalamiko haya yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Tanzania tunadhani ipo siku Mama Samia ataweza kuwaletea Wananchi maendeleo? Watu wanakamatwa na kuwekwa maabusu bila hatia yoyote kwa maelekezo ya watu wanaokesha misikitini na makanisani, hatuoni Kama tunaliletea laana...
  11. JamiiForums Tanzania Polisi wavamia Ofisi za jimbo ACT Mbagala Kuu na kukamata Viongozi na Mawakala

    Ofisi ya Jimbo la Mbagala Kuu ya ACT Wazalendo imevamiwa na Polisi Mida ya jioni jana jumamosi na wakalazimisha kuwakamata watu wote waliopo ambao ni pamoja na viongozi na Mawakala kwa hoja kuwa wameweka mkusanyiko usio halali. Kwa hiyo Sasa RASMI mikusanyiko kote nchini HAIRUHUSIWI? Mkusanyiko...
  12. JamiiForums Tanzania Kama viongozi wenyewe ndio hawa wenye mamlaka ya kuzuia au kuruhusu jambo ambo katiba imeruhusu hamna umuhimu wa katiba mpya

    Habari! Hii mada haina uhusiano na uchochezi. Watanzania ni vyema tukapigania utawala wa haki na misingi ya katiba tuliyonayo kabla hatujaisaka katiba mpya. Kama tuna viongozi ambao kwa mamlaka yao wanaweza kuigalagaza katiba hadharani itasaidia vipi katiba mpya? Katiba inaruhusu mikutano ya...
  13. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Wizara ya Afya punguzeni kwenda kwenye media, itawaharibia

    Ni masikitiko yangu makubwa kuona Viongozi wa wizara ya afya kutwa wakishinda kwenye media /mtandaoni. Tabia hii inaabisha hadhi ya wizara na fani ya udaktari.ACHENI. Nendeni kwenye media mkiwa na Genuine Issue Natambua Waziri wa Afya anapitia kipindi kigumu dhidi ya walio chini yake...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Mitandao ya Simu wamechonganisha wananchi na Viongozi wetu

    Nilivyoona tu eti wanaonesha kabisa kwamba amount hii ni gharama zao na amount hii hapa ni kodi ya Serikali basi nikajua huo ni uchochezi. Hawa watu walipaswa kufanya kama awali kuwa inakata tu gharama ya kutuma muamala bila kuonesha ipi ni kodi na ipi ni ya kwao wamiliki mtandao. Mbona - kwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti mdogo nilio ufanya juu ya chaguzi za viongozi na uelewa wa wanainchi juu ya haki zao za kikatiba zinavo takiwa kutekelezwa

    Ndugu zangu habalini za wakati huu, poleni na majukum ya kulijenga taifa. Niende moja kwa moja ktk mada tajwa hapo juu Watanzania wengi hususani wa vijijini hawana uelewa wa haki ya kuwawajibisha viongozi wao ktk maswara ya haki zao za kikatiba zinapo shindwa kutekelezwa na viongozi walio...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Inakaribia wakati Viongozi wa CCM watasema "CCM hoyee!" na wananchi wakanyamaza

    CCM itapigwa na Mungu na hili halina mjadala ni suala la muda tu tumeona ni jinsi gani Mwenyezi Mungu amewatahadharisha CCM kuwa maisha ya hapa duniani kuishi kwingi ni bahati nasibu na unaweza kufia njiani wakati yale unayoyataka kuyafanya hayajatimia na pengine siku unamaliza kuyatimiza...
  17. JamiiForums Tanzania Wazir Ummy Mwalimu analeta siasa kwenye elimu; ni sampuli ya viongozi ambao hawana uchungu na elimu ya watoto wa maskini

    Bila aibu Ummy Mwalimu amesema ajira 1360 za walimu wa physics na 599 za walimu wa hesabu kwamba zimemaliza tatizo la uhaba wa walimu wa masomo ya sayansi nchini. Kwangu kauli hiyo ya Ummy naona inalenga kutafuta umaarufu wa kisiasa kwani alichokisema ni uongo unaofaa kupuuzwa na kila mtu...
  18. JamiiForums Tanzania RC Mtaka yupo sahihi. Ni kweli kabisa viongozi wetu hawana uchungu na elimu ya watoto wetu

    Pamoja na approach aliyoitumia ila alichokisema RC antony mtaka ni ukweli uliochelewa kusemwa kwa sababu ni kwa miaka mingi sana elimu yetu imekuwa ikifanyiwa siasa na kuharibiwa na viongozi tuliowapa dhamana ya kuisimamia. Mara kadhaa kumekuwa kukitolewa matamko yasiyo na kichwa wala miguu...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Viongozi jifunzeni kutendea kazi hekima za wazee wakiwa bado hai, Ni aibu na unafiki kusubiri kumpongeza Mzee Warioba msibani

    Wakati huu wapo hai, wanaongea hamuwasikilizi, wanashauri mmeziba masikio, wanapendekeza lakini mmeshupaza shingo! Mtapata faida gani kutokusikiliza hitaji LA watu! Viongozi wakuu mnachokifanya ni kama dereva na tairi! Sisi wananchi ni matairi hivyo tunapitia msoto mkali sana kuwabeba nyinyi...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lamu: Viongozi Wataka Wanawake Waislamu Wapigwe marufuku Kupanda Bodaboda

    Wanadai wanawake Waislamu hukiuka sheria za dini hiyo wakati wanaabiri bodaboda kwa sababu baadhi ya sehemu za mwili wao ambazo ni siri hubaki wazi. Viongozi hao walisema shera ya dini hiyo hairuhusu mwanamke kukaribiana na mwanamume ambaye si mume wake. Wazee na vijana wa Kisomali walikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…