viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Samia, kama uchumi umeyumba tangaza kupunguza mshahara wako pamoja na viongozi wako waandamizi na wabunge

    Habari! Kwakweli kama mtumishi ambaye sijapanda daraja tangu niajiriwe, siujui mshahara mpya nakaribia mwaka wa sita sasa hapa matumaini yanayeyuka. Naanza kufikiri nje ya duara. Hata hayo madaraja mapya sijui kama nami nitakuwa mmoja wapo. Maana idadi ya wanaostahili kupanda madaraja ni wengi...
  2. Kati ya Viongozi hawa Tumuamini nani , mbona wanatufanya Watanzania ni wajinga kiasi hiki?

    Inawezekana ni kweli kwamba Watanzania ni wajinga na hawatunzi kumbukumbu kutokana na ujinga wao , lakini siamini kama watu hawa ni mbumbumbu kiasi cha kudanganywa kibwege namna hii.
  3. Senzo alikuzwa sana kiuhalisia hamna kitu. Viongozi wetu wanaongea pembeni ila hawawezi mwambia Usoni

    "yanga hii haina tofauti na yanga ile ya bila senzo. Viongozi tukikaa nao wanalalamika kuwa jamaa hana mchango,msaada wowote na hata walimwajiri ni kama wanashindwa wafanye nini naye. anapenda sana starehe ila kiutendaji hana jipya hasa kwa sasa anaonekana kuwadharau wote na kujiona yeye pekee...
  4. K

    Kwanini Viongozi wa Mahakama, wabunge na viongozi wakuu wa serikali awalipi Kodi?

    Nchi yetu inakautawala kaajabu kwelikweli, watu wanaopaswa kuwa mfano mzuri wa ulipaji Kodi ndio waliozuiliwa na sheria kulipa Kodi. Watu wanaolipwa vizuri awalipi Kodi. Watu wanaopaswa kuwatetea na kutunga sheria nzuri kuhusu Kodi awalipi Kodi. Watu wa aina hii wanawezaje kujua uchungu wa Kodi...
  5. M

    Viongozi wa dini wamewaombea Wafanyakazi nyongeza ya mishahara siku ya Mei mosi, lakini maombi hayakufika juu

    Leo niliona viongozi wa vyama vya wafanyakazi katika maandalizi yao waliweka viongozi wengi wa dini kuzidi hafla zozote zilizowai fanyika hili hawa viongozi wafikishe maombi kwa Mungu ya maslai bora, mishahara juu kazi iendelee lakini imekuwa tofauti sijui vipi. sijajua kama tatizo liko wapi.
  6. Viongozi wa dini dua zenu kwa wanasiasa zimejaa machukizo na unafiki

    Huwezi kuwa unaomba Mungu kwa dhati halafu Mungu azibe masikio yake kwako. Tatizo mnaombea wanasiasa na taifa kinafiki kwa maslahi yenu ya duniani. Mh. Rais JPM aliwapenda sana lakini mlishindwa kumuomba Mungu ampe afya na maisha marefu kwakuwa hamkuwa na dhamira ya kuomba bali maslahi. Mtu...
  7. Tanzania tuna protocol za ovyo kabisa kwa Viongozi wetu

    Yaani kiongozi anashuka kwenye gari anazungukwa na minders zaidi ya hamsini wengine wananing'inia kwenye milango, hadi kiongozi anaenda kukaa jukwaani kaambatana na minders zaidi ya 20 wanamzunguka hadi anakaa na bado kuna wanamsimamia kwa nyuma, kwa hatari gani aliyokuwa nayo kiongozi wa nchi...
  8. M

    Siyo sahihi viongozi wote wakuu wa nchi kuwa mahali pamoja kwa wakati mmoja, ni hatari kwa Taifa

    Nimekua nafuatilia matukio mbalimbali siku hizi, mara nyingi unakuta viongozi wote wakuu wa nchi wakiwa pamoja wamelundikana pamoja kwenye tukio moja. Hii kitu haina afya kwa usalama wa nchi kwa sababu ikitokea dharura, nchi inaweza kuparalyse kwa sababu Line of Succession nzima inaweza...
  9. Viongozi wa dini na Watanzania, hiki ni kipindi cha kumuombea sana Rais wetu Sami zaidi kipindi kingine chochote

    Tukiwa tunapitia kipindi hiki cha mabadiliko ya ghafla ya uongozi wa juu wa nchi yetu ambayo hayakuhusisha uchaguzi. Watanzania tunatakiwa kusimama imara sana, tunatakiwa kuiangalia nchi na kuweka matakwa yetu binafsi kando, tunatakiwa kulinda tunu za taifa letu na kuweka itikadi zetu pembeni...
  10. B

    Viongozi wazawa wa kanda ya ziwa tunajifunza nini kipindi hiki Cha mabadiliko ya uongozi? Tulisimama kwa Hali?

    Nimtizamo wangu kwamba tunaliwa vichwa kimya kimya bila kupigiwa kelele. Nadhani tunapoelekea wale watu wote waliopanda kwa kasi miaka mitano iliyopita na wakashindwa kumaintaini nidham kwa wengine tayari wamekwisha. Kwenye chama tumepotea na hakuna anayetaka kutusikia, kwenye serikali...
  11. Wilaya ya Kinondoni, tanuri la kupika viongozi

    Wilaya ya Kinondoni kwa miaka ya karibuni imekuwa ni kama tanuri la kupika viongozi kwenye ngazi za juu zaidi Kumbukumbu zangu za karibuni zinanikumbusha wafuatao 1. Mama Ritta Mlaki, alikuwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni na baadaye kuwa mbunge wa Kawe na kuteuliwa na hayati Benjamin Mkapa...
  12. Tatizo la kupokea mamluki alilizalisha Mbowe mwaka 2015. Huyu mwenyekiti hafai

    Mwaka 2015 Mbowe alifanya juu chini ili ampe nafasi Lowassa ya kugombea urais. Na ndipo hapo akakaribisha mamluki kibao toka CCM ambao walikuja kuharibu morali na nguvu tuliyokuwa nayo makamanda tuliotaka ukombozi wa kweli. Leo hii wanarudi CCM na kutuacha tena kwa dharau na kebehi. Mimi nasema...
  13. Makamanda mbona hatuulizii nyumba ya Tsh milioni 60 walionunua viongozi wetu Serengeti?

    Huu ni ufisadi na kama makamanda makini basi tuwe na kasumba ya kuhoji matumizi ya pesa za umma. Sasa kama kuna nyumba ya mil 50 ilinunuliwa huko Serengeti mbona hatuhoji hata kidogo? Hata picha tu Mnyika hataki kutuonyesha? Tuwe tunahoji bila uoga
  14. Propaganda? Hao wasomi waliojaa pomoni wapo wapi? Mbona mimi siwaoni!!!

    Amani iwe nanyi wakuu! Kutokana na maoni ya watu na maneno ya mtandaoni na Bungeni kuwa wasomi wamejaa mtaani, basi Taikon niliamua kufanya kauchunguzi kadogo tangu mwaka jana mwezi wa nne kama huu. Nimeita kauchunguzi kadogo kujiepusha na masuala ya takwimu. Uchunguzi wangu na wala usiitwe...
  15. T

    Hivi ni siri gani za nchi ambazo viongozi wanaapa kwamba hawatatoa?

    Natamani kujua ikiwa hii nchi ni yetu sote iweje kukawa na mambo ambayo yatabaki kua Siri za watu wachache tu? Je huu hauwezi kutumika kama mwanya wa kufichiana maovu?Na ikitokea mtu akatoa hizo siri nini hukumu yake? Na ningependa kufahamu mifano ya hizo Siri!
  16. Viongozi wa kampuni ya kuzalisha umeme ya Songas wakutana na Balozi wa Marekani

    Leo ubalozi wa Marekani umetoa taarifa kua viongozi wa kampuni ya kuzalisha umeme wa gesi ya Songas imekutana na Balozi wa Marekani na kufanya mazungumzo kuhusu nishati ya Tanzania. Historia ya Songas Tanzania inajulikana ilivyojawa na utata na nakumbuka mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. Kilagi...
  17. D

    Kero ya kusubirishwa kupisha msafara ya viongozi barabara za mikoani haivumiliki hakika viongozi mnatuumiza sana kwa hili

    Hakika huu ni UNYAPARA mambo leo! Barabara za mikoani kila kuchwao zinapitiwa na kila aina ya binadamu; Wenye afya na wagonjwa wote wanategemea barabara hiyo hiyo. Wazima na maiti wote wanapitidhwa hapo wenye haraka na wasiyo na haraka Wenye bidhaa za kuoza na zisizo oza Wenye pesa ya kula na...
  18. Mfahamu J. Edgar Hoover, Mkurugenzi wa FBI Tishio la Wahalifu na Viongozi Wakubwa

    Watu walikuwa smart na wababe, mtu anayeogopwa na Rais na vyombo vyote vya dola huyo sio wa mchezomchezo. Umewahi kuwaza ni namna gani vitengo vya usalama vinamtambua mtu kwa kutumia alama za vidole?, basi haya yote yasingekuwepo bila ya mtu aliyeitwa Edgar Hoover Edgar Hoover Me napenda...
  19. J

    Je, kuna umuhimu wa wananchi kujulishwa afya za viongozi ili pakitokea lolote tusianze kutafuta mchawi?

    Kwa mfano Rais wa Marekani inajulikana ana matatizo kadhaa ya kiafya hivyo anapopepesuka au kupoteza kumbukumbu wananchi wa Marekani wala hawashangai bali wanamuombea kwa Mungu. Hapa Tanzania mtu kama Tundu Lisu wala hatujaelezwa kama kamaliza matibabu yake huko Ubelgiji, tukaona tu anachukua...
  20. Hoja 5 ambazo viongozi wa vyama vya siasa watazungumza na Rais Samia Hassan

    Bila kuchoshana na maneno mengi, naomba niingie kwenye mada moja kwa moja. Kwa maoni yangu, nadhani hoja zifuatazo ndizo zitakuwa ajenda kuu kipindi viongozi wa vyama vya siasa wakikutana na Rais Samia Hassan ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, kama Rais mwenyewe alivyoahidi kukutana na wanasiasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…