viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    Bongo Movie wana vitu vingi vya kujifunza kupitia Trailer ya Mbosso ya MAD MAX kuliko kukaa kusifia viongozi na CCM

    Steve Nyerere na genge lake la machawa wanabidi watumie muda mwingi kutafuta Maarifa na mbinu nyingi za kutengeneza filamu nzuri kama za enzi za kanumba kuliko kujikita na uchawa tu wa kusifia CCM na viongozi serikalini. Mbosso ambae ni msanii wa mziki kuachia trailer ya MAD MAX iliyofanywa kwa...
  2. Mkalukungone Mwamba

    Polisi Mtwara wakamata Viongozi AMCOS na Watumishi wa Umma kwa wizi wa Pembejeo za Korosho zaidi ya Milioni 15

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mtwara linawashikilia watu13 kwa tuhuma za wizi wa pembejeo za wakulima wa korosho msimu wa 2024/2025. Akizungumza na wanahabari siku ya Jumatano, Kamanda wa Polisi Mkoa huo SACP Issa Sulemani amesema mnamo Agosti 29, 2025 polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya...
  3. Stability

    Mnakumbuka yule manzi wa "mkeka ndo nini au ndo zile ngozi waliolalalia slaves (watumwa)" , jana kanifanyia surprise

    Watoto wa kishua bwana kumbe wanajua kupika
  4. M

    Viongozi wa Simba heshimu mashabiki, kutoa maoni ni haki ya kikatiba

    Kwa mujibu wa Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ibara ya 18, Freedom of expession is an absolute right.Absolute right maana yake kwa wanasheria ni kuwa ni haki ambayo huwezi kuipoka kwa namna yoyote ile, you cannot abrogate freedom of expression.Hii haki ya kikatiba...
  5. H

    Kwanini viongozi wa dini wasione umuhimu sasa wa kuwahubiri viumbe wengine ili nao waende mbinguni?

    Kama Mungu aliumba viumbe vyote kwa thamani sawa inamaana watu na wanyama wengineo pia watatakiwa kuwepo mbinguni. Sasa kwanini wanadini wanakomaa na watu tu na wameacha viumbe wengine ambao kiuhalisia nao wanafanya dhambi ya ngono,kuua,nk? Au hoja kuu ni SADAKA YA HELA?
  6. alexjosephat

    Tetesi: Viongozi wawajubiswe kama watashundwa kutekeleza zile ahadi walizotoa wakati wa kampeni

    Kila mwaka wa uchaguzi, tunaahidiwa miujiza – shule mpya, ajira kwa vijana, hospitali kila kata… lakini ikishapita miaka miwili, hakuna hata kokoto moja iliyosogezwa. Na wananchi tunaambiwa tusubiri. Mpaka lini? Ni muda sasa tuanzishe sheria mpya – sheria ya kuwalazimisha wagombea kutekeleza...
  7. Poppy Hatonn

    Kuna corruption ya viongozi na corruption ya raia

    Watu wanaleta corruption. Watu wengine hata hawajui kwamba kuna Uchaguzi. Wanataka wafanye mambo yao ya kijinga. Mimi siyo mtabiri. Lakini nafikiria watu wanapaswa kujihadhari. Sitaki kuwa muongo na kusema,"Bwana ameniambia hawa watu ni wajeuri. Nitafanya jambo ambalo kila mtu atakayesikia...
  8. Lord Denning

    Niko tayari kubet: Viongozi Wakuu 2 wa Nchi za Afrika Mashariki watatolewa hati za kukamatwa na Mahakama ya ICC kabla ya 2029

    Wiki chache zilizopita Umoja wa Mataifa wametoa taarifa za vikosi vya Wanamgambo wa M23 kuua raia nchini Congo. Taarifa hiyo imefuata taarifa rasmi iliyotolewa na Kikundi kazi cha Umoja wa Mataifa kuwa Majeshi ya Rwanda yanawaunga mkono M23 na kutoa msaada wa kijeshi kwao. Aidha miezi miwili...
  9. Victor Mlaki

    Ujenzi na ubomoaji wa hoja: Janga kubwa kwa viongozi wetu

    Naanza kumaizi kuwa upo umuhimu wa jamii yetu kujifunza maarifa ya ujenzi wa hoja ili kupunguza mitindinganyo ya hoja inayoendelea jambo linalowapa nafasi wachache wanaojua kujenga na kubomoa hoja hata kama wakisimamia hoja dhaifu. Nimefuatilia majibizano mengi ya hoja na nilichoweza kubaini ni...
  10. Gang Chomba

    Washabiki wa Simba amkeni, viongozi wenu wanawaburuza tena…

    Kuna kichaka baadhi ya viongozi wa hovyo wa timu hii wanajificha na hakina afya kwa jamii husika ya Simba Sports Club. Simba wamefungwa na Yanga zaidi ya misimu mitatu mfululizo. Yanga wamebeba ubingwa zaidi ya misimu mitatu mfululizo. Lakini Leo hiii kuna wapenzi na washabiki ambao Mimi...
  11. Lord Denning

    Inakuja siku ambayo Uhalali wa Mtu kukubaliwa kisiasa itakuwa kama aliwahi kusimama kuitetea Chadema au Viongozi wake

    Hakuna kidumucho milele Huu ni ukweli mchungu na mzito ambao inawezekana kuna binadamu wengi hawapendi kuusikia. Huko nyuma ziliwahi tokea tawala za Kirumi, Ottoman, Persia, Nazi na nyinginezo nyingi. Yamewahi kuiongoza dunia hasa kijeshi au kibiashara mataifa ya Uingereza, Italia, Hispania...
  12. ngara23

    Simba wanamtangaza Diadora bure, viongozi hawajui thamani yao

    Nimeshangaa kuona Simba wanaweka nembo ya diadora kifuani kwenye jersey, wakati diadora hakuweka hata ah 100 pale Simba Tukumbuke aliyeshinda zabuni ya kutengeneza jezi ni jayrutty na sio diadora, Jayrutty ndo alienda nae kumsaka diadora amtengenezee jersey, kwaiyo mwenye haki ya kuonekana...
  13. Mtu Asiyejulikana

    Kuna jamaa alikuwa anataka kunichomesha kwa Viongozi

    Nlimkaribisha kazini miaka ya 2013. Leo hii ananipigia simu anaweka loud speaker wakubwa zangu wanisikie aki record kutaka nishikisha moto. Jamaa huyu kisa ni last week nliponda kuwa tumekosa weledi tunawatumia wanasiasa ambao hata akili hawana katika huu uchaguzi wanajulikana ni mapandikizi...
  14. A

    KERO Uhaba wa Paspoti unaondelea nchini ni matokeo ya kulinda viongozi wazembe

    Mimi ni mdau sana wa shughuli za Uhamiaji, nafanya kazi kwenye taasisi moja ya kimataifa hivyo tunasafiri sana na pia tuna deal sana na kuomba vibali kwa wageni wetu. Kwa sasa kuna uhaba mkubwa wa vitabu vya paspoti katika Idara ya Uhamiaji, taarifa za ndani wanadai wanatoa si zaidi ya paspoti...
  15. Pdidy

    KAMA MANGUNGU ANASEMA VIONGOZI HAWAHUSIKI KUVUJA JEZI BASI WACHEZAJI.. 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 watajeni

    Hahahaaaa ukistaajabu ya polepolee utafurahia ya mangungu mwenyekiti wa Simba ameibuka na kusema hawahusiki kabisa na swala la kuvuja jezi kama viongozi walifanya sehemuyaoo na kama kuna ivujujaji wa jezi vasi waulizwe wengine nasio viongozi wa Simba swali la 1 Unasema kama kuna uvujaji...
  16. Echolima1

    Mkuu wa Majeshi ya Israel Lt Jeneral Eyal Zamir awatishia viongozi wa Hamas nje ya nchi: 'Tutawafikia Popote walipo!!

    Mkuu wa IDF awatishia viongozi wa Hamas nje ya nchi: 'Tutawafikia pia' Mkuu wa IDF, Lt. Jenerali Eyal Zamir (kushoto) akizungumza katika tathmini pamoja na Mkuu wa Kamandi ya Kaskazini Meja Jenerali Rafi Milo, Agosti 31, 2025. (IDF) Kufuatia mauaji ya Israel kwa maafisa wakuu wa Houthi na...
  17. H

    Ujinga wa wengi humu ni kutokujua kuwa hata viongozi wa dini wanaichangia pesa ccm ibaki madarakani

    Hii ni ngumu sana kuamini lakini ukweli ni kwamba makusanyo ya sadaka na mali za waumini sehemu yake huchangia ccm Hao manabii na masheikh hawalipi kodi na ndiyo watetezi wa ccm
  18. Echolima1

    Viongozi wa Palestina wapiga marufuku kuingia Marekani

    BREAKING: Viongozi wa Palestina WAPIGWA MARUFUKU kuingia Marekani. Katibu wa Jimbo Rubio anazuia visa vyao kwa sababu ya uhusiano wao wa kigaidi na "kulipa-Fadhila kwa Magaidi" pesa za damu. Marekani HAITAWAPA thawabu wale wanaotukuza mauaji.
  19. M

    Jicho la tatu la mwl Nyerere kuhusu sifa za nchi corrupt na viongozi wake

    Sifa ya Serikali corrupt, sio maneno yangu nimecopy and paste kwa mwl mzee wetu Julius Nyerere Enzi za uhai wake but still Bado anaishi hata sas 1: haikusanyi Kodi 2: inamzigo wa madeni (i.e deni la taifa) 3: inatumwa na wenye mali 4: inawafanyia kazi wenye mali 5: inafukuzana na vijitu...
  20. winnerian

    Hivi hili la viongozi kuiba mabilioni ya pesa na kununulia vitu vya kifahari ni ujinga ama ni kukosa maarifa?

    Mange amefichua ufisadi mkubwa unaofanywa na familia za viongozi wa juu, wakitapanya mabilioni kupitia “deals.” Swali linalojitokeza ni: hivi kweli familia hizi hazina hata chembe ya busara ya kawaida katika namna ya kufanya mambo yao? Ni kana kwamba tamaa imefunga fikra zao kiasi cha kushindwa...
Back
Top Bottom