Kuna tabia ya hovyo imezidi kukithiri ya baadhi ya watu tena wengi wao masikini makapuku kabisa kuwakejeli na kuwazodoa watu wanaolalamika baadhi ya watoto na ndugu wa viongozi kujikatia mapande makubwa zaidi ya keki ya taifa(upendeleo). Hawa watu wanasema watu wasikosoe au kulalamikia watoto na...
https://www.youtube.com/watch?v=b3GTpUdBkQs
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma, tarehe 26 Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Polisi wafanya Uchunguzi kuhusiana na tukio la mtu mmoja kujeruhiwa na risasi.
Jeshi la Polisi mkoani Arusha linafanya uchunguzi kuhusiana na tukio la mtu mmoja aitwaye Bakari Halifa Daud (18) mkazi wa Sombetini Jijini Arusha kujeruhiwa kwa kupigwa risasi mguuni.
Akitoa taarifa hiyo leo...
Ndugu zangu Watanzania ama watanganyika,naona vibaya hata kuandika hii barua kutokana na mambo yanavyoendelea kutoka kwa wadau mbali mbali na pia naweza kuwaita wazalendo waliojitolea kututoa matongotongo machoni,na kutuzibua masikio.
Sasa naweza kusema inatosha kwa sasa viongozi hawana nia...
"Viongozi wa kijamii, viongozi wa kidini, dini zote. Wazee wetu kama wapo mnakubalije kwenda kwenye uchaguzi mnaojua ni kiini macho? Kwa mfano viongozi wa kidini au na nyie ni sehemu ya ukiini macho huu.
Hivi mnapokwenda sirini kumuomba Mungu, mnaamini kuna uchaguzi?
Mnaamini ACT ni chama...
Humphrey Polepole amesema "Mungu akituvusha, turekebishe sheria ya viongozi wastaafu washtakiwe iondoke, hawa watu waanze kujibu tuhuma na matumizi mabaya ya madaraka wakati wako madarani"
Nashangaa viongozi wa chadema wamekunja ndita wanaamini ni Polepole kumbe ni akili mnemba (AI)🤣 eti wanasema "Tumekusamehe" be serious, tulitegemea kauli ya katazo ya kutofungamana na upotoshaji wa AI Kama ambavyo vyama vingine vya Upinzani makini vimefanya.
Inakuwaje chadema inakuwa na...
Ni swali linalo ulizwa na watu wengi wengi, je polepole anatumiwa na nani kuichafua Serikali ya dkt Samia pamoja na viongozi wakuu wastaafu?
Je polepole anatumiwa na kanisa au ni yeye mwenyewe?
Sitaki kuamini kama kuna baadhi ya viongozi wa kanisa wanamtumia huyu polepole kuwachafua...
Kitabu hiki ni hadithi ya kweli kuhusu Julie Ward, msichana wa Kiingereza aliyeuawa nchini Kenya mwaka 1988. Julie alikuwa mpenzi wa wanyama na alifanya kazi ya kupiga picha za wanyama katika Hifadhi ya Masai Mara. Siku moja, aliondoka Nairobi kwenda kufanya kazi yake, lakini hakurudi tena...
Kwenye Mada kwa ufupi,
Ushahidi wa hili , siku kama ya jana ilitakiwa Taifa lote concentration iwe Kwa Mkapa maana mambo ya Maendeleo tutawapa Waarabu na Wachina kama PPP lakini cha kushangaza kuna watu walijifungia sehem kutafuta kupitishwa nafasi ya Ubunge badala ya kuhamasisha Watanzania na...
Maneno meengi kuipigia debe Taifa Stars na hasa Wakenya walipo amua kuwa against sisi kwa kila jambo hasa kutusaidia kutokana na sisi kushindwa kujipigania na tukijipigania tuna kumbana na nguvu ya dola au kutekwa na kupotezwa.
Wako wapi hao milioni 13 wanaccm wasijae kiwanjani kuipigania "timu...
Mambo yanayoendelea nchini kila mmoja anajua, watu wanatekwa, kuumizwa, na kuuwawa lakini viongozi wetu wa kiislam mpo kimya na wengine mmekuwa watetezi juu ya mambo ya haya. Kimsingi mimi ni Muislam lakini kwenye kusimama upande wa haki nawapa kongole viongozi wa madhehebu ya kikristo. Mnafanya...
Wanaukumbi.
KILA BOSS ANA BOSS WAKE
Viongozi wa Ulaya wakiwa wamepangwa kwenye korido ya Whitehouse Marekani wakisubili kikao na Trump. Hi fedhea aisee Je wangekuwa wa Afrika watu wamgeponda sana lakini wa Ulaya dunia ipo kimya, mtu kama Putin, huu upuuzi hataki kabisa.
Trump, anawadharau sana...
Nakumbuka siku zile kuna mtu alikaa kimya kwa utulivu huku akiombewa na Mchungaji Mwamposa,naamini hata huko msikitini huwa anaomba Vivyo hivyo tulimuona na kikweta naye akiwa kanisani ingawa hatujui kama aliombewa
Hapa nataka kusema hakuna kitu kibaya kama kumdhihaki Mungu,najua watu wengi...
Ally Kamwe acha upimbi wa kuwagawa Watanzania kisa yanga inadhaminiwa na GSM au Kikwete na wanakupa kula
Yanga ilikuwepo kabla ya Uhuru hata Kikwete ni mtoto mdogo Sana kwenye hii timu
Atadondoka na kuondoka na yanga itabaki
Tundu Lissu ni shabiki Lia Lia wa yanga na ameshakuwa mwanachama uko...
UMOJA NA MSHIKAMANO VYA TAWALA HOTUBA ZA VIONGOZI MKUTANO WA SADC
Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umehitimishwa jijini Antananarivo Agosti 17, 2025, huku viongozi hao wakihimizana, umoja, mshikamano na ushirikiano kama njia ya msingi ya kujikwamua...
Wananchi, wanachama na viongozi wa Chadema wakisali sala ya kuiombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ukumbi wa Mahakama ya Kisutu.
Viongozi wa Umoja wa Ulaya na wale wa Jumuiya ya kujihami NATO wametangaza siku ya Jumapili kuwa wataambatana na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky mjini Washington kwa mazungumzo muhimu na Rais Donald Trumpyaliyopangwa kufanyika siku ya Jumatatu.
Rais wa Halmashauri ya Umoja wa Ulaya Ursula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.