viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo huenda ikawa sababu ya mgongano wa viongozi wa dini

    My people, Haya yanayoendelea sasa ni kiporo cha mambo ya nyuma ila bahati mbaya kiporo hiki kinapashwa na ubwabwa wa leo,ndio maana tunaona huu msuguano ambao unaendelea hivi Sasa Ukiangalia historia huko nyuma TEC imekuwa ikilaumiwa kama kizingiti cha baadhi ya mambo ya Waislamu au haki zao...
  2. Keynez

    JamiiForums Tanzania Embu waza viongozi ambao Africa tunapata wangekuwa na silaha za nyuklia, ingekuwaje?

    Wakati mwingine tushukuru kwa kila jambo. Waafrica huwa tunalia sana kwa nini hatuna nguvu duniani na kutamani na sisi tungetawala dunia. Ila embu waza aina ya viongozi tunaowapata karibu nchi zetu nyingi. Ukimaliza, waza hawa viongozi wangekuwa na access ya silaha za nyuklia. Kwamba nchi...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania wakiitaka kupata HAKI ya kweli wasiwategemee wanasiasa na viongozi wa dini

    Wanasiasa wote duniani ni wachumia tumbo wapo kwaajili ya matumbo yao na famila zao na ndiyo wasaliti wakubwa kwa jamii zao. Viongozi wa dini na waumini wao ndiyo wasaliti wakubwa wa wananchi kwani wamesaliti UAFRIKAWAO na ASILI ZAO na kufuata imani,mila na desturi za WAKOLONI ambao ni warabu...
  4. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nimeota Viongozi wa Vyombo wakijiuzulu

    Leo tarehe 02 December nimeota Viongozi watatu wakijiuzulu nyadhifa zao Pili, kuhusu utekaji na mauaji hili nimeota halitatolewa maelezo. Maana yake Hana taarifa kuhusiana na hilo, hajui kama watu wanatekwa na kuuwawa pamoja na nepotism, ufisadi na kujilimbikizia Mali pia haya hayafahamu
  5. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana kuongoza kizazi hichi kwa viongozi waliopitwa na wakati

    Kwanza mnatakiwa kabla hamjafanya chochote kutoa Taarifa kwa umma inabidi mtulie, muichambue kwa makini, vijana wa leo wanajua mambo mengi na wanauwezo mkubwa wa kuchakata mambo. Hii comment hapo chini imenifurahisha sana ikiiilenga shirika la umeme kwa kutoa kanusho.
  6. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Dharau kwa viongozi zimezidi, guyz³ 🎵

    Vijana wa leo sio wa miaka ya 70
  7. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Dharau kwa viongozi zimezidi, guyz³ 🎵

    Vijana wa leo sio wa miaka ya 70
  8. Ileje

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Boniface Mwabukusi: Viongozi acheni kudogodesha mauaji mliosababisha!

    Viongozi wajiepushe na Kauli za Kudogodesha mauwaji waliyoyasababisha kwa kutokuwajibika kwao. Walipuuza Mazungumzo na kudhihaki kila jitihada ya Mashauriano. Watu waliwaona na kutambua Maiti za ndugu zao kwenye picha na mitandao ya kijamii wakiwa wameuawa wana kwenda Mochwari miili hamna bado...
  9. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kama viongozi hawamtaki Mo basi wamfukuze tu. Kutuletea kocha wa ovyo na kumpangia kikosi sio

    Kagoma, kibu, chamue na kante sio wakuwekwa benchi na akina maema, budo, kamara, na wengine. Kiukweli kama Dp world anataka timu mpeni tu. Huyu budo tunae mwaka sasa hana chochote basi tu. Mnatukosea sana washabiki.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa upinzani na wanaharakati ndiyo WASALTI wakubwa

    Viongozi wa upinzani na wanaharakati ndiyo WASALTI wakubwa serikali itamalizana na kila mtu kwa uwazi siyo kupitia wawakilishi wa upinzani na wanaharakati ambao wanapokea bahasha na kupotea. Serikali ifanye mikutano na kufungua ofisi za ufuatiliaji kero za wananchi kwa uwazi siyo kwa uwakilishi...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Itafutwe namna serikali izungumze na viongozi wa upinzani na wanaharakati kuona tunamalizaje haya Mambo. Maana!

    Habari za Sabato! 1. Ndugu Watanzania nichukue nafasi hii Kwa sehemu yangu kama raia wa Nchi hii kama mlivyo nyie. Kuzungumza machache kama sehemu ya maoni na mchango wangu. 2. Binafsi nipo kwenye hali ya Wasiwasi mkubwa na hali inayoendelea. Naamini sio mimi pekee yangu nipo katika hali hii...
  12. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania Kijana: Viongozi ndio chanzo cha vijana kufanya maandamano

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka ameendelea na ziara yake maalum ya kukutana na kuzungumza na vijana katika Mkoa wa Ruvuma ambapo ameonya dhidi ya watendaji wa serikali wanaokwamisha shughuli za vijana kuwa hawatavumiliwa. Akiwa wilayani Songea leo Ijumaa tarehe...
  13. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya Viongozi wa CHADEMA kuidharau amri ya Mahakama yatupiliwa mbali

    Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kesi ya kudharau amri ya Mahakama iliyokuwa imefunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake dhidi ya viongozi waandamizi wa CHADEMA wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake wa Tanzania...
  14. Heparin

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Roma Mkatoliki: Siku hawa wanaoitwa wanaharakati, wakosoaji wa serikali na viongozi wakiamua kukaa kimya, ndiyo mtajua thamani yao

    Aminini nawaambieni. Siku hawa wanaoitwa wanaharakati, na hawa wanaoikosoa serikali na viongozi wakiamua wanyamaze wakae kimya wasiongee kitu, ndio mtajua thamani yao. Na zaidi mtauona umuhimu wa kukosoa!! Hakuna kikubwa wanachopata zaidi ya kupoteza vingi, Sana sana nyie ndio mnafaidika!!
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Crescentius Mgori: Kuna Viongozi wana matatizo ya Afya ya Akili ndani ya Simba SC

    “ Kuna watu wanajiona bila wao baadhi ya Mambo ndani ya Simba hayawezi kwenda nadhani wanatatizo la afya ya akili . Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba Sc Crescentius Mgori, akizungumza kupitia Crown Fm Novemba 27,2025.
  16. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Viongozi 10 wa Afrika waliowahi kufikishwa ICC

    BBC. 1. Uhuru Kenyatta (Kenya) Uhuru Kenyatta Rais mstaafu wa Kenya. Alifunguliwa mashitaka Machi 2011 kwa makosa matano ya uhalifu dhidi ya ubinadamu. Kenyatta alidaiwa "kulidhibiti kundi la Mungiki" na kulielekeza kufanya mauaji, uhamisho, ubakaji na aina nyingine za unyanyasaji wa...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Lugha gongana zinazopelekea idara nyingi za Serikali na viongozi wao sasa kuwa wanaingiliana majukumu

    Yani nilishangaa kikosi cha zimamoto na trafiki wanashika bunduki kipindi cha mo29.Hapo mshapata picha kuwa idara nyingi ni lugha gongana kwa sasa. Majuku ya idara sio kuwa sehemu ya eneo naweza kusema jeshi la polisi kiufupi lilo kufa kabisa. Idara ya zimamoto ilitakiwa kuwa idara siyo ya...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwanini watoto wa marais au viongozi ndio wanaharibu nchi?. Hili limeonekana nchi nyingi

    Mimi nikitaka kujua kiongozi au raisi naanza kuangalia mwanae tu maana nitapata CV zake zote.Nchi ambazo zilikuwa na utawala wa hovyo utaanza kupata historia ya watoto wao.
  19. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna Umuhimu wa Viongozi wa Juu wa Kisiasa Kuangaliwa Afya ya Akili?

    Afya ya Akili inahusu hali ya mtu kiakili na kihisia, ikiwa ni pamoja na uwezo wake wa kufikiri, kujieleza, kudhibiti hisia, na kujihusisha na watu wengine katika njia za afya. Ni hali ambapo mtu ana uwezo wa kukabiliana na changamoto za kila siku, kutatua matatizo, na kufanya maamuzi ya busara...
  20. Ngengemkenilomolomo

    JamiiForums Tanzania List ya viongozi wenye uwezo mdogo

    Wakuu hii ndo list ya viongozi ambao nazidi kuona wana uwezo mdogo na hawatoshi katika nafasi zao 1: Chalamila 2. Msando 3. Nchemba 4. Tarimba 5. Muliro Nimejiridhisha kutokana na kauli zao wanaongea ili kumfurahisha mtu fulani, hawaoni aibu wala haya Ongezea wengine
Back
Top Bottom