Katika saa za mapema za Jumamosi asubuhi wakati wa mfungo wa Ramadhani, huku sehemu kubwa ya Tehran ikiwa bado kimya, makombora ya Israeli na Amerika yalikuwa tayari yamerushwa angani. Ndani ya dakika moja, mashambulizi matatu yaligonga maeneo matatu tofauti katika mji mkuu wa Iran. Kufikia...
Wakuu,
Nauliza tu
Kwanini hawa viongozi wastaafu walivyotambulisshwa shangwe limekuwa kubwa mno
Hapo Pinda, Warioba na Majaliwa walivyotambulishwa shangwe lilikuwa kubwa mno lakini alivyotajwa Nchimbi vibe halikuwa kubwa hivyo
Ina maana kweli Samia hana anayemheshimu?
Nakumbuka Nyerere alipomuweka ndani Mshelisheli aliyesema serikali ameiweka mfukoni, walikuja watu kumuomba Nyerere amsamehe, akakataa! Akaja Askofu Makarios wa Cyrus. Nyerere akasema huyu siwezi kumkaidi. Akatoa sharti. Kuwa aondoke nchini nikimuachia...
Sera ya "Elimu Bure" ilikuja kama mkombozi kwa wazazi wengi wa Kitanzania wenye kipato cha chini. Lengo lilikuwa wazi: kuhakikisha kila mtoto anapata haki ya msingi ya elimu bila kikwazo cha kifedha. Hata hivyo, uhalisia mtaani na mashuleni kila uchwao unazidi kuthibitisha kuwa, huenda elimu hii...
Prayer for YOU!
Father God,
Tonight I lift up my Jf family to You. Every mother, every father, every business owner, every leader, every person carrying silent battles that nobody else sees.
Lord, Your Word says You give sweet sleep. So I declare sweet sleep over their homes tonight.
For the...
Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI Reuben Kwagilwa, amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuendelea kuwasimamia watendaji walio chini yao ili watatue changamoto za wananchi kwa wakati, badala ya kusubiri ziara za viongozi wakuu ndipo hatua zichukuliwe.
Maelekezo hayo...
Kila mara tunaambiwa kuwa umaskini wetu unasabanishwa na kutawaliwa na wakoloni na kuendelea kugandamizwa na mabeberu.
Sasa kama ni hivyo mbona viongozi wetu wao siyo maskini, au wao hawajathiriwa na ukoloni na ubeberu?
Najaribu kufikiri kuwa kuna namna Viongozi wa Kisiasa ni lazima nao wawe na taaluma ya Uongozi (Governance) kama wanavyo toa matamko kwa waandishi wa Habari
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna Faida ya Kuwa na Kiongozi Mcha Mungu ,kiongozi Mwenye Hofu ya Mungu ,kiongozi mwenye moyo wa Huruma ,upendo ,ukarimu na unyenyekevu kama ilivyo kwa Mama na Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Kwa Hakika tumepata kiongozi wa Mfano...
Wote kipaumbele chao ni kuendelea kubaki madarakani. Ili dikteta aendelee kubaki madarakani lazima awe na hela za kuwalipa wapambe, wanajeshi na vyombo vingine vya dola. So akili ya dikteta siku zote imefocus kwenye hela na uchumi.
Kama nchi ina resources kama mafuta basi akili yote ya dikteta...
Kufuatia kujitokeza kwa wingi kwa vitendo vya ulaghai wa Watu wachache wanaowarubuni Wananchi kutoa fedha ili waunganishiwe huduma ya Maji katika Kitongoji cha Makurunge, Kata ya Kiluvya Mkoani Pwani, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeweka mikakati ya pamoja na...
Watu wenye ushawishi wanapoongea hadharani na kutumia maneno yenye kuleta taharuki mara nyingi wanaonekana kuzungumza moja kwa moja kwenye media badala ya njia rasmi.
Je, hii ni kwa sababu hawajui njia sahihi za kufikisha malalamiko kwa viongozi husika, au tayari wamejaribu njia hizo na...
Inakuwaje kero ndogo inayoweza kutatuliwa ndani ya wilaya au mkoa inasubiri hadi Waziri Mkuu au hata Rais afike ndipo ichukuliwe hatua?
Ndani ya kila eneo kuna Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi wa Halmashauri pamoja na watendaji wengine wengi waliokabidhiwa mamlaka ya kusimamia...
Katika kuimarisha utawala bora, uwajibikaji wa viongozi, na ufanisi wa utekelezaji wa sera za maendeleo, inapendekezwa kuanzishwa kwa mfumo rasmi wa Action Plan Governance Framework utakaoweka wajibu wa wazi kwa viongozi wanaoingia madarakani, hususan Rais au Mawaziri.
Mfumo huu utalenga...
https://www.youtube.com/watch?v=D7Mr4uLn7tQ
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara, Amani Golugwa, amekemea vikali madai yanayosema viongozi wa chama hicho, akiwemo yeye na Makamu Mwenyekiti Bara John Heche, wanafaidika na kufungwa kwa Mwenyekiti wao, Tundu Lissu. Akizungumza nje ya Mahakama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.